msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada Power bank kama hii nitapata wapi?

    Habarini za majukumu nina shida na Power bank Kama hii huwa zina 2600mah ..mwanzoni nilipata ilikuja na simu ya mtu itel zamani sana. Je, kwa Sasa naweza pata? Niko Arusha.
  2. Comm Dev Expert

    JamiiForums Tanzania Msaada: Any idea ya Written Interview Afisa Ustawi wa Jamii Daraja la II?

    Wataalamu mambo vipi, kuna ndugu yangu aliomba nafasi kama Thread tittle inavyojieleza hapo juu hivi karibuni na tarehe 18 ya Jumamosi anatakiwa akafanye usaili (Written) Nilikuwa naomba kwa mwenye Idea yoyote au vitu vya msingi vya ku- focus key intention hapa ni kufaulu maana nimekuwa nikiona...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye Hotuba ya Bajeti za Wizara ya Fedha na Wizara ya Viwanda 2022/2023 tafadhali

    Jamani wananzengo. Naomba mwenye hizo documents namuomba ikiwezekana atuwekee hapa au anipe hata inbox nitashukuru sana.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ngorongoro tunawapa pointi za bure Kenya za kiplomasia. Tanzania tuna wasomi na viongozi wasio na Msaada kwa Taifa

    Habari JF, Kenya sio Muda wanaingia kwenye Uchaguzi mkuu hivyo sio rahisi kujihusisha kwenye huu mgogoro wa Ngorongoro labda wawe na mfumo imara sana katika Uongozi wa Nchi ambao hautegemei Rais anae kuwepo madarakani. Kinachofanyika Kenya ni kujizolea points za mezani kupitia huu mgogoro huu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada please header files source code sizielewi

    Habari wadau hope mpo poa Niende kwenye mada sisi wengine kuclaim mambo ni mwiko tunataka kujua programming very in deep Sasa km ww ni programmer hope umewah kutumia preprocessors like stdio.H conio.H math.H iostream nk hizo ni preprocessor ambazo zinadefine in built in functions like...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye ajita portal inaishia hapa

  7. R

    JamiiForums Tanzania Msaada TTCL Copper Internet

    Habari za wakati wadau; Kwa ambao wamewahi kutumia huduma za TTC internet kwa upande wa Copper Cable connection naomba mnipe mrejesho juu ya utendaji wake ukoje katika speed na kadhalika installation cost ni sh ngapi means vifaa na ufundi total ni sh ngap nimeenda TTCL wameniambia vifaa...
  8. saidi01

    JamiiForums Tanzania Msaada guys, Windows 7 inagoma kustart

    WINDOWS 7 Inagoma kustart na siba utaalam Wa computer, msaada guyz.
  9. mwandorobo

    JamiiForums Tanzania Gari kuzima relini

    Naomba kujuzwa Je, ni nini kinasababisha gari kukwama wakati wa kuvuka reli pindi treni inapokaribia?
  10. Hussein J Mahenga

    JamiiForums Tanzania Wadau, msaada: Natumia PC Dell Vostro yenye sifa zifuatazo, ila inachemka sana

    Wadau, Kwanza niweke wazi, mimi si mtaalamu sana wa PC. PC yangu ni DELL VOSTRO yenye specifications hizi kwenye picha. Ila sasa, inachemka sana. Shida inaweza kuwa nini?
  11. contask

    JamiiForums Tanzania Kuomba mkopo na Chuo JKT inakuaje?

    Samahan Wana jf nimechaguliwa jkt mujibu wa sheria 2022 .msaada kuhusu kuapply mkopo na chuo ukiwa JKT
  12. Cathy Diwani

    JamiiForums Tanzania BAKWATA wana haki kisheria kugawa mali za wanandoa baada ya kuvunja ndoa?

    Salaam wakuu, Mdogo wangu ndoa yake imevunjwa na baraza kuu la Waislamu(Bakwata) kupitia kwa kadhi wa baraza hilo mkoa fulani huku Bara. Baada ya kuvunja ndoa hiyo baraza hilo linataka mdogo wangu na mtalaka wake watafute watathmini wakakague mali walizochuma kwenye ndoa ili baraza hilo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata dawa hii iliyogundulika ya kutibu cancer

    Ndugu wapendwa nawasalim!!!!! Tumepata tatizo kwenye familia kaka yetu amegundulika na ugonjwa wa cancer, amekuwa ana patwa na maumivu makali na kukata tamaa ya kuishi. Jana nimeona kwenye vyombo vya habari AZAM TV na magazetini wameripoti kuna dawa imegunduliwa huko Marekani ambayo imetibu...
  14. Namuchi braver

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi inayofundisha mpira wa miguu Tanzania bara ipo?

    Tafadhari mwenye kujua shule inayofundisha mpira wa miguu na kutoa elimu ya shule ya msingi kwa Tanzania bara naomba anijuze.
  15. Chura

    JamiiForums Tanzania Nina-solve vipi huu msala?

    Wajuvi naomba msaada wa Kitaalamu, Unatoka zako Job mwanao wa damu anakupigia simu uende mahali mkale vyombo, unamsisitiza wewe umepumzika anakwambia hata maji tu na msosi basi unaamua kwenda. Umeenda kujiunga nao kupiga Vyombo ila ww ukawa hunywi, mwana na manzi yake wakawa wanaagiza sana...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ofisi za wanaoshughulika na ajira portal zipo sehemu gani kwa Dar es Salaam?

    Nimekuwa na tatizo kidogo kuhusiana na mfumo wa ajira portal ie online application. Hapo wameweka namba za msaada kama ukihitaji kuwapigia. Lakini hizi namba huwa aidha hazipatikani kabisa au unaambiwa ziko busy! Sasa nimeamua kufuatilia ofisini na ndio maana naomba maelekezo kwa anayefahamu...
  17. crazyrider

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kazi au Connection ya Kazi

    Habari wakuu, Umri wangu ni miaka 28. Nimekuja kwenu kuomba ajira au mtu yoyote anayeweza kunisaidia kupata ajira au Connection. Jinsia: Me Elimu: Bachelor Degree of Banking and Finance. Ninapoishi: Dodoma Uzoefu wa kazi : Sina uzoefu mkubwa kwenye Carrier yangu zaidi ya kufanya Field mara...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Msaada Ajira Portal ya Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Wakuu Portal ya Tume ya Utumishi wa Mahakama ni Pasua kichwa, kila ukijaribu ku register ili ufanye application haikubali ukipiga simu ya maulizo unajibiwa "linafanyiwa kazi na watu wa IT" na deadline imekaribia. Kuna ambaye amejaribu amefanikiwa kutuma application anisaidie ? Au ndio janja...
  19. MD Maziku

    JamiiForums Tanzania Msaada wenye past paper ya Operation officer TAA

    Msaada wenye past paper ya Operations Officer TAA
  20. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Anuani ya Jesuit Refugee Service

    Heshima kwenu wakuu. Natumai mmeamka vyema kabisa, naomba mwenye kufahamu anuani ya Jesuit Refugee Service (JRS) anisaidie niweze kutuma barua ya maombi ya kazi wakuu. Natanguliza shukran kwenu. Thanks.
Back
Top Bottom