msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dodoma imehamia wapi? Mbona Chako ni Chako sijawaona?

    Wakuu habari zenu, nasikitika sana kuona hali inavyo endelea jijini Dodoma, jana usiku nikajisogeza maeneo ya Chako ni Chako ili kuosha rungu, sijui imekuwaje, sijakuta waoshaji, nikaenda mitaa ya uhindini nikawakuta kama watano hivi ila sijaona subwoofer ikabidi niende maisha club, nako...
  2. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada jinsi ya kuwa mjanja ushamba umenizidia.

    Mimi BabaMorgan ni mshamba licha ya kuwa nimezaliwa jijini(Amana Hospital-Ilala) huko Dar es salaam ila kwa sasa naishi huku kaskazini magharibi ushamba wangu unaanzia kwenye lafudhi licha ya kuzaliwa Dar es salaam kitu cha kustaajabisha nina lafudhi ya kisukuma na ulimi mzito kiasi kwamba...
  3. Roy Keane

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu API's bora kwa kutoa Livestream za mpira wa miguu

    Nataka kudevelop mobile app ya ku Livestream mpira wa miguu kwa ligi za ulaya. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa API's zinazotoa hii huduma anijuze . Au kama kuna alternative nyingine ningependa pia kusikia. Chief-Mkwawa et al
  4. KWANGU MATEMBEZI

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kifedha nilipie pango. Mwenye nyumba kaja kutoa vitu

    Habar wa wakuu, heri ya mei mosi. Mi nimekuja hapa kuomba msaada wenu , ninaashida ya shs 100,000/= , nikiasi cha pesa kilicho pungua kwenye kodi ya chumba nacho kaa, maana leo mwenye nyumba kajakutaka kutoa vitu vyangu , nikamwomba anivumilie mpaka kesho asubuh ili nimtafutie pesa yake Ni...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bidhaa ninayoweza kufungasha kwa hivi vifungashio na nikauza nikapata pesa

    Habari wajasiriamali wenzangu,naomba msaada tafadhali kwa hivi vifungashio hapo chini kama nitaondoa hizo label na kuunda yangu na kubandika,ni bidhaa gani haswa naweza kufungasha na nikauza na kupata faida maeneo ya dar es salaam na morogoro mjini?! nawasilisha🙏
  6. Faana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye Filamu ya Zawadi Iliyochezwa na TASUBA Tafadhali Naomba Kiunganishi

    Wandugu wapendwa; Naikumbuka hiyo filamu yenye mafunzo mengi na yenye kuburudisha ilichezwa mwanzoni mwa mwaka 2000, waigizaji ni wabobezi, wacheshi na wabunifu sana kutoka Chuo cha Sanaa Bagamoyo wakati huo, ilikuwa inaonyeshwa na Mlimani TV, mwenye nayo tafadhali tuburudike pamoja naomba...
  7. Lavan Island

    JamiiForums Tanzania Msaada nataka kufungua day care je nianzie wapi?

    Habari wana Jf nimeamua kufungua daycare baada ya kuhitimu diploma ya childhood education nimeamua nijiajiri,hivyo ninaomba mwenye uelewa wa taratibu za kufuata anielekeze tafadhali.Ushauri
  8. Mr HQ

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bleed isiyoisha kwa mwanamke aliyetoa mimba

    HABARI WANA JF, Naomba Kufahamu Kwa Mwanamke Aliyetoa Mimba kwa Kutumia Vidonge Vya Kutolea Mimba Na Kupata Bleed Isiyo Kata Zaidi Mwezi Nzima Naomba Kufahamu.👇👇👇 1.Nini Chanzo. 2.Madhara 3.Matibabu.🙏🙏🙏
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utosi wa mtoto mchanga wa wiki Moja kudunda

    Habarini za usiku wapendwa. Naomba mwenye kufahamu ni kwanini mtoto mchanga wa wiki moja utosi wake haudundi na je? io ni hali ya kawaida au ni tatizo kwa mwenye uelewa tusaidiane kupeana elimu
  10. Mohamedmteleke

    JamiiForums Tanzania Msaada wa final year project title kwa bachelor degrees

    Naombeni msaada.....nasoma chuo X hapa tz , Ni finalist na nnatakiwa kufanya final year project ili niwe awarded degree ya computer science.... Changamoto ipo hivi , tulipebdekeza project title nyingi Sana na baadae moja ikapita, Title ilikuwa chronic desease management information systems...
  11. mobakha

    JamiiForums Tanzania Msaada wa QuickBooks

    Wakuu habari zenu, naomba mwenye licence key, product nunber na validation number kwa ajili ya QuickBook Premier 2018, au sehemu yoyote ambayo naweza kupata software yake. natanguliza shukrana
  12. L

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali juu ya hints za kujisomea sana na kwa muda mrefu

    Habari za wakati huu ndugu zangu,naombeni hints za mbinu za kuweza kwanza kupata hamu ya kujisomea,pia kujisomea sana na kwa muda mrefu mno, natamani nisome hata 24hrs/7 ila tatizo kubwa ni usingizi na najikuta nakosa kabisa hamu ya kujisomea baada ya kutoka vipindi. Mimi ni mwanafunzi wa...
  13. al-baajun

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa transporter wa kunisafirishia mzigo wangu kwenda Nakonde

    Habari wadau! Nina mzigo wangu mkubwa kidogo unataka kwenda Nakonde, Zambia. Je kuna transport er Kwa nisafirishia kutoka Dar mpaka Nakonde? Msaada jamani
  14. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu simu

    Wajuzi wa Mambo nataka kuchukua simu ya Huawei Nova 2 plus au Huawei Nova 3i au oppo a 15 vipi kwa ambao wamewai kutumia simu izi ipi inafaa kuanzia ubora na kila kitu kwenye matumizi na chaguo la mwisho ni Huawei p 10 lite Chief-Mkwawa msaada tafadhali
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yapokea msaada wa silaha kutoka kwa waasi wa Iraq, kwa kupitia Iran - hali mbaya

    Kwa kweli Urusi imefikia kiwango kipya cha aibu, mpaka wanapokea misaada ya silaha kutoka kwa waasi, kainchi kadogo Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi.... Iranian networks have been working to smuggle weapons from Iraq to Russia as Moscow’s plans to quickly invade Ukraine’s capital and...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kumwombea ajira mwalimu wa certificate ku-add taarifa za chuo

    Nisaidie
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Wewe umetoa msaada gani?

    Salamu kwako. "wema hauozi" na kizuri kinajiuza ila kibaya kinaendelea kujitembeza ni takribani miaka 16 kuna faida nyingi na hasara chache zilizopatikana kwenye tovuti yetu pendwa ya jamiiforums kwa makusudio ya uzi nitaorodhesha faida kadhaa nilizopata kwenye blogu hii na jambo gani...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Nasumbuliwa na goti

    Wakuu salaam, Ni week Sasa NASUMBULIWA na goti limevimba vimba linauma alaf limekaza hata turning ya mguu kutembea imekua tatizo nachechemea tu. Nimechuliwa na kuchuliwa ila ngoma inalegea kidogo na kukaza Tena. Ni tatzo limekua likintokea Mara kadhaa huko nyuma pia Sijaumia Wala kuanguka...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Msaada maombi ya ualimu 2022

    Kuna baadhi ya kozi hazionekani kama Diploma in Physical education haipo je walioomba physical education wamefanyaje?
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kwa yeyote anayetoka mkoa wa njombe na iringa

    Natarajia mko wazima wakuu. Naomba musaada, kama kuna mtu ambae ametoka mkoa wa njombe na iringa tafadhali niadikia,niko na mambo muhimu sana nataka kujua toka njombe na iringa. Natangulia shukrani wakuu.
Back
Top Bottom