Gharama vifaa vya umeme kwa Dar es Salaam

Emmanuel Robinson

JF-Expert Member
May 29, 2013
1,497
1,133
Habari zenu wana jamii naomba mnisaidie bei za hivi vifaa vya umeme kwa Daresalaam. Na kama naweza kuelekezwa duka specific linalouza jumla.

IMG_20220525_224411_980.jpg
 
Habari zenu wana jamii naomba mnisaidie bei za hivi vifaa vya umeme kwa Daresalaam. Na kama naweza kuelekezwa duka specific linalouza jumla.

View attachment 2238679
1)bei 45 hadi 50
2)60 hadi 70
3)Elfu 50 ila pia inategemea na aina ya breaker
4)ethi road ya kawaida unapata kuanzia 15,20,30,50 hadi 70 nakushauri chukua kuanzia 50 nakuendelea,hapa unatakiwa kununua copper yenyewe na sio copy,kuitambua og nenda na sumaku ukigusanisha ikikamata sana ujue feki yani ni chuma kilichopakwa rangi ya copper.
5)Ethi ware ni green ama yellow mita moja wanauza elfu mbili mia tano hadi elfu tatu
6)Elbow ni mia 3 hadi 5
7)Solution tape ni buku
8)Tale ware mita moja twin wanauza elfu 15 hadi 20,na waya single 16mm wanauza elfu 8 hadi 12.....inategemea na fundi wako yeye anahitaji aina gani single ama twin,ila Twin ni bora zaidi kuitumia.
9)Change over switch sijajua wataka aina gani,kama zile ndogo ni kuanzia elfu 60 hadi laki moja
10)Conduty pipe ni elfu mbili hadi elfu tatu,nying ni nyeupe ila usichukua yenye kuminyika chukua ambayo ukiiminya ni ngumu.
11)Switch Socket ni elfu 8 hadi elfu 10
12)Round box ni mia 3 hadi mia 5
13)elfu mia tano hadi elfu elfu tatu.
14) elfu nne.
15)Elfu mbili hadi elfu 3
16)Holder ni elfu 2 hadi 3 ila napo inategemea na kampuni utakayonunua.
 
Ahsante sana chief
 
Huyu fundi anaenda kukuibia vitu vingi sana, hasa katika wire unapigwa pakubwa. Roller 5 za 1.5mm ni nyingi mno. Hata hizo tatu za 2.5mm ataondoka na nusu ya wire
 
Its better ungetupa pia idadi ya vyumba nikusaidie kufanya estimation, kwani mafundi wengi wa mtaani ufunfi wanajua ila shida huwa kufanya estimation ya materials, siwalaumu sana kuhusu ilo inaweza kuwa ni isue ya
1.shule
2.kushindwa kujiongeza ili kuweza kuju
3.kupiga/kuiba materils

Roughly
1.5 sq mm
Red 5 rolls
Black 2rolls
Green 2 rolls

2.5 sq mm < kwa idadi hiyo ya socket
Red 1roll
Black 1 roll
Green 1 roll

Earth wire 4sq mm inatosha sana sio 6sq mm
Tail wire 16sqmm < inayopokea umeme kutoka tanesco>
kwa mita 20 kuna uwezeka no ya kuibiwa
Huwa sio ndefu kiivo otherwise kma aliye kudesignia kaweka mbali sana main switch na nguzo ilipo

Dp swich 20pc nyingi sana
Kutaka kujua unahtaji dp switch ngap
Angalia idadi ya ac, heater,water pumb na electric fenc kama ipo,
I.e
2pc of ac 2 dp switch
4pc of heater 4dp switch
1 water pump 1dp switch
Na electric fence 1 dp switch.

Isue ya cost
Pale tronic posta kuna bei sana nenda kkoo ngoja nikuchekie no ya supplier wa jumla bei nzuri

Karib kwa ushaur wa wiring za nyumbani na viwandani.
0764749421
 
1)bei 45 hadi 50
2)60 hadi 70
3)Elfu 50 ila pia inategemea na aina ya breaker
4)ethi road ya kawaida unapata kuanzia 15,20,30,50 hadi 70 nakushauri chukua kuanzia 50 nakuendelea,hapa unatakiwa kununua copper yenyewe na sio copy,kuitambua og nenda na sumaku ukigusanisha ikikamata sana ujue feki yani ni chuma kilichopakwa rangi ya copper.
5)Ethi ware ni green ama yellow mita moja wanauza elfu mbili mia tano hadi elfu tatu
6)Elbow ni mia 3 hadi 5
7)Solution tape ni buku
8)Tale ware mita moja twin wanauza elfu 15 hadi 20,na waya single 16mm wanauza elfu 8 hadi 12.....inategemea na fundi wako yeye anahitaji aina gani single ama twin,ila Twin ni bora zaidi kuitumia.
9)Change over switch sijajua wataka aina gani,kama zile ndogo ni kuanzia elfu 60 hadi laki moja
10)Conduty pipe ni elfu mbili hadi elfu tatu,nying ni nyeupe ila usichukua yenye kuminyika chukua ambayo ukiiminya ni ngumu.
11)Switch Socket ni elfu 8 hadi elfu 10
12)Round box ni mia 3 hadi mia 5
13)elfu mia tano hadi elfu elfu tatu.
14) elfu nne.
15)Elfu mbili hadi elfu 3
16)Holder ni elfu 2 hadi 3 ila napo inategemea na kampuni utakayonunua.
Hizo wire bosi wangu nadhani Euro ndio wire nzuri na bei yake itakua juu kidogo ya hizi
 
Ok
 
Its better ungetupa pia idadi ya vyumba nikusaidie kufanya estimation, kwani mafundi wengi wa mtaani ufunfi wanajua ila shida huwa kufanya estimation ya materials, siwalaumu sana kuhusu ilo inaweza kuwa ni isue ya
1.shule
2.kushindwa kujiongeza ili kuweza kuju
3.kupiga/kuiba materils

Roughly
1.5 sq mm
Red 5 rolls
Black 2rolls
Green 2 rolls

2.5 sq mm < kwa idadi hiyo ya socket
Red 1roll
Black 1 roll
Green 1 roll

Earth wire 4sq mm inatosha sana sio 6sq mm
Tail wire 16sqmm < inayopokea umeme kutoka tanesco>
kwa mita 20 kuna uwezeka no ya kuibiwa
Huwa sio ndefu kiivo otherwise kma aliye kudesignia kaweka mbali sana main switch na nguzo ilipo

Dp swich 20pc nyingi sana
Kutaka kujua unahtaji dp switch ngap
Angalia idadi ya ac, heater,water pumb na electric fenc kama ipo,
I.e
2pc of ac 2 dp switch
4pc of heater 4dp switch
1 water pump 1dp switch
Na electric fence 1 dp switch.

Isue ya cost
Pale tronic posta kuna bei sana nenda kkoo ngoja nikuchekie no ya supplier wa jumla bei nzuri

Karib kwa ushaur wa wiring za nyumbani na viwandani.
0764749421
Mkuu nitakufuta umenigusa hapa
 
Back
Top Bottom