KAZI NZURI YA RAIS DKT SAMIA INAHITAJI KATIBA MPYA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Kumekuwa na mjadala wa Katiba mpya ambao umekuwa ukiibuka na kufifia. Mjadala umekuwa unaibuka na kufifia kwa kuwa una sura mbili. Sura ya kwanza wanahitaji katiba mpya na sura ya pili hawahitaji katiba mpya...
Mfumo mpya wa ulipaji mapato ya Serikali umekuwa ngumu sana kwa Wananchi wa kawaida.
Nitoe mfano, kama Mfanyabiashara anataka kulipia leseni yake kwa mfumo mpya lazima umtafute mtu akusaidie taratibu zote mpaka control number itoke. Mfanyabiashara kwa kazi hii anatozwa mpaka 20,000 kwa kazi...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhi (LATRA) imekusudia kuitisha mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri nchini kupokea maoni kuhusu marejeo ya nauli za mabasi ya mikoani na daladala.
Aprili 2022, LATRA ilitangaza kupanda kwa viwango vya nauli kwa daladala ilikuwa kuanzia kilomita 0 hadi 10 ilipanda...
Leo Jumapili October 8, tumemuona KELVIN KIPTUM akivunja record ya dunia ya Marathon hapo Chicago nchini Marekani kwa muda wa saa 2 na sekunde 35, akiizidi record ya KIPCHOGE aliyoweka Berlin Marathon (saa 2:01:09).
Hivyo bingwa mpya wa marathon ni KELVIN KIPTUM.
Ninarudia kusema CCM kumpoteza Magufuli ili pata hasara ya Karne moja.
Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport.
Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka.
Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku Mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia...
Je, kwa sasa jina la Bodi ya Mikopo kwa Elimu ya Juu limebadilka kutoka lile tulilolizoea la HESLB ( Higher Education Student Loan Board ) na sasa limebatizwa Jipya la Samia Suluhu Higher Education Student Loan?
Haya Poti wangu (mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu) Mobhare Matinyi naomba uanze na huu...
Ni kawaida sana kuona watu wakifuga kuku, ng'ombe, mbuzi, nguruwe, n.k. Lakini ni nadra sana kuona watu wakifuga samaki licha ya kuwa mazingira yetu yanafaa sana kwa shughuli za ufugaji samaki kutokana na kuwepo kwa maeneo yenye maji ya kutosha na hali nzuri ya hewa. Baadhi ya mataifa kama China...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed O. Mchengerwa (Mb) amewaelekeza Wakurugenzi wote wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanalipa fedha za kujikimu kwa Watumishi wa ajira mpya za Ualimu na Afya walioripoti kwenye vituo vya kazi kuanzia mwezi...
Nimekuwa nafakari sana ni kwanini Raisi Samia anasita sana kwenye maswala ya katiba na kwa mtanzamo wangu haya ni mambo ambayo yanasitisha mchakato huu
1. Kikwete na wapambe wake wanaogopa mafanikio ya katiba mpya yataonyesha Samia ni bora kuliko Kikwete kitu ambacho anajali sana Kikiwete na...
Na Kevin Lameck
Kama ipo sehemu ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amepatia katika teuzi zake za karibuni, bhasi miongoni mwake ni uteuzi wa sasa wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa.
Bwana Mobhare Matinyi, Mkuu wa wilaya ya Temeke ameteuliwa kuwa Msemaji mkuu wa serikali na...
Nimesikia katika online TV moja kuwa timu ya Far Rabat ikinolewa na nabi kipara former kocha wa yanga , haitashiriki shirikisho kulingana na Sheria mpya , sote tunajua awali ilikuwa ilikuwa ukitolewa hatua hii unaangukia shirikisho kama ilivyokuwa Kwa yanga mwaka Jana.
Kwa anayejua atusaidie...
Simu za iPhone 15 & iPhone 15 pro ambazo zimeingizwa sokoni hivi karibuni zimelalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kuwa na msululu wa matatizo
Watumiaji wengi wa simu hizo toka kampuni kinara Duniani kwa utengenezaji wa simujanja wameeleza kuwa simu hizo mpya zina changamoto ya kutoa joto...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi...
Serikali imepanga kutoa elimu ya katiba.
Inaonyesha hadi mwaka 2025 katiba Mpya itakuwa haijapatikana kwa sababu elimu itakuwa inaendelea kutolewa.
Sasa, kwanini Uchaguzi Mkuu usiahirishwe Ili ufanyike mwaka 2026 tukiwa na katiba Mpya?
Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Philip Isdory Mpango
Nawasalimu sana katika jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA!
Baada ya Salaam hizi nachukuwa wasaa huu kuwaombea afya ya siha bora Wewe, Rais wetu kipenzi Samia Suluhu, Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa Kassim na viongozi wote wa nchi hii...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo:
Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Amemteua...
ceo
gerson msigwa
hongera
katibu
maharage
mara
michezo
mkuu
mpya
msigwa
rais samia
sana
sanaa na michezo
tanesco
umeanza
umekatika
umeme
utamaduni
uteuzi mpya
vizuri
wizara ya utamaduni
Achana na watu wanao komenti kwa kukuogopa kwenye page yako huko instagram. Ukweli ni kwamba wimbo wako sio mzuri na hauendani na nyakati zilizopo.
Nakushauri ufanye tena research yako vizuri. Kisha nenda upya studio uje na wimbo mpya.
Ni hayo tu dadake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.