Rasimu ya sera mpya ya elimu ya mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 hii hapa

kagori

Member
Sep 23, 2023
10
19
Wanabodi, leo nilikuwa napitia sera mpya ya elimu nikaona niilete hapa tuijadili.

Nini maoni yako?
 
Attachments

  • 645b6728265f6387468150.pdf
    1 MB · Views: 5
wanabodi leo nilikuwa napitia sera mpya ya elimu nikaona niilete hapa tuijadili
nini maoni yako?
Haitaleta TIJA yoyote ile kwa sababu umma haukushirikishwa vya kutosha kwenye suala hili. Public Participation ilihitajika sana kwenye mchakato wa kuanzisha suala hili kabla halijarasimishwa kama walivyofanya.
Kabla suala hili halijatangazwa na kuwa rasmi, ilipaswa ufanyike utafiti wa kina (Feasibility Study) kwa kuwashirikisha Wataalamu mbalimbali pamoja na umma wote kwa ujumla.
 
kuna matangazo kama haya hapa hapa
 
Attachments

  • Cap.PNG
    Cap.PNG
    96 KB · Views: 7
Haitaleta TIJA yoyote ile kwa sababu umma haukushirikishwa vya kutosha kwenye suala hili. Public Participation ilihitajika sana kwenye mchakato wa kuanzisha suala hili kabla halijarasimishwa kama walivyofanya.
Kabla suala hili halijatangazwa na kuwa rasmi, ilipaswa ufanyike utafiti wa kina (Feasibility Study) kwa kuwashirikisha Wataalamu mbalimbali pamoja na umma wote kwa ujumla.
Tukikaa kusubiri wajinga kama nyie hatutafika mbali
 
Back
Top Bottom