Nimesikia Chongolo amejiuzulu. Katibu Mkuu mpya ni nani?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,717
Baada ya kukosa thread nzuri ya kusoma,nimeamua kuandika thread yangu.

Kwa hiyo Katibu Mkuu mpya ameshachaguliwa au bado mtutano unaendelea?

Nampongeza Rais Samia kwa jinsi alivyoweza kuleta amani katika nchi.

Naona mabadiliko yanaendelea ndani ya CCM.

Jana nimepita Mererani nimekiona Kijiji alikozaliwa Kinana,na nyumba ya Kinana.. Nyumba ya Kinana imepakwa rangi za CCM.

Kwamba Chongolo amejiuzulu nadhani ni jambo zuri.

Labda ni mabadiliko ya kawaida ndani ya CCM au kazi yake ilionekana kwamba ina mapungufu fulani.

Kuna maneno mengi kuhusu makundi ndani ya CCM lakini mimi sifahamu kuhusu makundi yoyote.

Umoja ni muhimu katika Chama. CCM sidhani kama inaweza kushindwa,lakini bado inhitaji umoja.

Kuhusu mtu anayezungumza maneno ya kukigawa Chama,kama yupo mbele yako,unamsikia,mwambie aache maneno hayo.

In fact, uovu wowote unapotokea. Wale ambao ndio wa kwanza kumsikia mtu anapotoka, anafanya makosa, wanapaswa kumweleza,pale pale. Wasipomweleza ni kosa kidogo ni kosa dogo.

Ni kama Jeshi, kama mpaka ukishambuliwa,wanajeshi waliopo pale wanajitahidi kulinda, halafu they radio for more support. Wanawaita frontline responders, nadhani.

Halafu yule mtu kama anaendelea na upotoshaji,basi,hapo ndipo anafanyiwa kikao cha kumwambia aache kuwagawa watu. Watu wote wanakusanyika kujaribu kubishana naye.

Kama bado hasikii, hapo ndipo anapopewa onyo, official warning, kwamba aache hiyo tabia.

Kama watu unawasikia wanaongea wrong view, basi waambie waache kuzungumza hivyo.

Again nasema,God's in His Heaven,and all is right with the world.
 
Uandishi mzuri. Unamfanya msomaji ahangaike kuelewa mantiki ya nyumba ya Mzee wetu Kinana ya Mererani kupakwa rangi ya CCM, haikupaswa kuwa hivyo? Au jambo hilo limekuja kwa kuchelewa? 😂😂
Tumepokea ushauri.
 
Back
Top Bottom