mpya

  1. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Ufisadi mpya Tanzania ni wa madaraka?

    Kwa sasa kelele zimekuwa nyingi sana nchini. Hapo kabla kelele nyingi za ufisadi wa kifedha na mali ulipigiwa sana kelele. Sasa sijui ule ulimalizwa au umezidiwa kelele na huu ufisadi mpya wa madaraka ambao unawza pia kuitwa ulevi wa madaraka? Ni nini hasa kinaendelea maana kelele zimekuwa...
  2. shakur kimboka

    JamiiForums Tanzania Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo zaidi ya 70% ya confirmed cases za corona virus wagonjwa walipoteza uwezo wao wakunusa na kutest ladha kabla hata ya kuanza kuumwa === UFAFANUZI KUTOKA KWA WATAALAMU KUHUSU DALILI HII Je kupoteza ladha na harufu ni dalili ya coronavirus...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tazama namna Covid 19 ilivyoleta taswira mpya katika miji mbalimbali ulimwenguni

    Tazama namna Corona ilivyoathiri miji mbalimbali ulimwenguni. Janga hili limesababisha watu kuwekwa Karantini ikiwemo miji mingine kuwaamuru raia wake kutotoka nje.
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

    ‪Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi (JWTZ), Lugalo‬ ‪Anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye uteuzi wake umetenguliwa‬ UPDATE: 04-05-2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa, Laurean Rugambwa akimkabidhi ofisi Mkurugenzi Mkuu Mpya Brig. Jen Dkt...
  5. Mindi

    JamiiForums Tanzania Kuwakemea Viongozi wa Dini, Magufuli Ameweka Rekodi Mpya

    Nimemsikiliza Rais Magufuli, akihutubia taifa baada ya kumwapisha Waziri mpya wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba. Kuna mengi aliyoongea JPM ambayo yanavutia mjadala. Mimi nijikite kujadili kwa kifupi alichosema Rais kuhusu Imani, Biblia na Viongozi wa Dini. Nianze kwa kumtahadharisha Rais...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Usiwalishe watoto tembele kila siku na kutokuwanunulia nguo mpya kisa unajenga.

    Huu ni ushauri kwa mzazi/wazazi. Ukitaka kujenga au kufungua biashara katu usibadili mfumo wa maisha wa wanao kwa kuwanyima baadhi ya huruma au vitu walivyokuwa wanavitarajia kutoka kwako mzazi. Mioyo yao ikiumia hutafanikiwa kumaliza ujenzi, na ukimaliza hiyo nyumba itakosa baraka...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu mpya wa mazishi kipindi cha siku za karibuni unafikirisha

    Moja kwa moja kwenye mada. Tangia see seke la haka kaupepo liongeze kasi kumekuwa na mengi ya kufikirisha. 1. Ugonjwa huu unaweza kumpata mtu yeyote lakini serikali imechagua kuweka siri utambulisho wa wanaopitiwa na haka kaupepo au hata kufa kutokana na kaupepo kenyewe. Hii ni tofauti na...
  8. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri Ummy Mwalimu kwa mkakati mpya wa kupambana na COVID19

    Great Thinkers, ujumbe unaofuata unaonesha jinsi wizara ya afya ilivyojipanga kukabiliana na COVID19, kikao alichofanya na chama cha Madakitari (chini ya rais wao Dr Osati) kinatoa matumaini mapya kwa watanzania. Mrejesho wa kikao cha wanataaluma na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waraka namba moja wa NCCR-Mageuzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020. NCCR Mpya inakuja!

    Wakuu, Huu ni Waraka namba moja wa chama. Bado ntaweka hapa namba mbili. Na nitakuwa na-update kila kinachojiri. Sisi tunahukumiwa kwa lipi? - Ndugu James Mbatia “Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu” Methali hii inajidhihirisha, kumezuka shutuma kubwa dhidi yetu ya kile wanachokiita...
  10. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Ugunduzi mpya: Covid-19 inaweza kusababisha mgando wa damu mwilini

    Madaktari kutoka nchi zilizoendelea wamegundua kwamba wagonjwa wengi wa Corona wanapata stroke kutokana na damu kuganda kwenye mapafu na Figo, Hali hii huwa Ni hatari iwapo clots hizo zitafika kwenye vital organs kama moyo na ubongo, hivyo kusababishia mtu kupata stroke kutokana na damu...
  11. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Facebook Bongo DJ's burudani mpya mjini

    Habari wakuu. Kipindi hiki cha janga hili la COVID-19. Kimesababisha watu wajifungie ndani (lock down). Hivyo hata maeneo ya starehe yamepungua watu. MaDJ wakubwa wakaamua kuanzisha group Facebook. Ambapo huko wamewekeana ratiba (schedule) week nzima. Kuanzia asubuhi mpka usiku mnene. Mfano...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Harmonize balozi mpya wa CRDB Bank. Kijana anachanja mbuga asee

    Jeshiii aka tembooo ndio balozi wa benki maarufu Tanzania CRDB Bank. Haya siyo mafanikio ya kubeza asee. Huyu jamaa anakoelekea hamtokaa muamini.
  13. MUBIKU

    JamiiForums Tanzania Jihadharini na offer mpya inayotolewa na mtandao wa Tigo

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza. Kuna ofa inatangazwa na tigo ukitoa hela na kuituma unapata 20,000 huo ni wizi mtupu nakushauri usijaribu kufanya hivo utambulia makato ya elfu 8 na kupewa elfu 2 tu au usipate chochote. Sasa hiyo ofa yao imelenga kujikusanyia pesa tu nasiyo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mpya: Askari polisi wa kituo cha Mbalizi Mbeya wafanya Ibada kituoni kuomba Mungu atuepushie janga la Corona

    Askari polisi wa kituo cha Mbalizi mkoani Mbeya leo wamefanya Ibada kituoni hapo kutimiza maelekezo ya Rais Magufuli ya kufanya maombi dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Ibada hiyo iliongozwa na mkuu wa kituo afande Lusekelo na kuhudhuriwa na mkuu wa wilaya. Source ITV habari. My take; Tukio hili...
  15. Tindo

    JamiiForums Tanzania Hivi wakati wa Katiba ya mwaka 1977, na mchakato wa katiba mpya 2011-2014 uchumi ulikuwa imara kiasi gani?

    Ndugu wanajamvi kuendana na kichwa changu cha habari, najaribu kuuliza uimara wa kiuchumi uliokuwepo 1977 wakati tunapata katiba hii, na uimara wa uchumi uliokuwepo 2011-2014 wakati wa mchakato wa katiba mpya chini ya rasimu ya Warioba? Kuna lugha tuliyopewa siku mbili hizi na serikali kuwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Dodoma, utaratibu huu mpya wa kuomba fremu za biashara katika stendi mpya ya mabasi na soko jipya unastahili pongezi

    HALMASHAURI ya jiji la Dodoma imezindua mfumo rasmi kwa njia ya mtandao ambao utatumika kila mwananchi kujaza fomu ya maombi ya kupata kibanda cha biashara katika miradi ya soko kuu la Job Ndugai pamoja na stendi kuu iliyopo Nzyuguni ikiwa ni jitihada za kupambana na ugonjwa wa COVID-19. Hayo...
  17. hp4510

    JamiiForums Tanzania Nahitaji HP Desktop Mpya

    Naitaji Desktop Mpya yenye Specifications za kisasa kabisa na window 10 genuine. Kioo cha inch 14 CPU i7 Microsoft Office DVD room Ram 8gm Kwa mtu yeyote mwenye nayo ani- DM
  18. K

    JamiiForums Tanzania CHINA DASHENG BANK (CDBL), Benki mpya inayotishia soko.

    Taarifa za fedha za mabenki kwa robo ya tatu ya mwaka 2019 zimetolewa kuanzia mwezi wa tisa mwishoni na mwezi wa kumi katika vyombo mbalimbali vya habari hasa magazeti kama ambavyo kanuni ya mabenki na taasisi za fedha ya mwaka 2014 inaelekeza. Kiujumla kumekuwa na kupanda kwa faida kwa mabenki...
  19. KiponzaOne

    JamiiForums Tanzania Msanii mpya wa WCB (Zuchu) ni sifuri

    Diamond ametuletea msanii gani? Yani haka kasichana kanakoitwa Zuchu kweli ndio kaje kushindana kwenye hili soko lenye waimbaji mahiri wa kike kama Nandy, Ruby, Maua Sama, Vanessa, Jide na wakali wengine wa kike wa hapa bongo? Kweli? Kwa sauti ile? Pengine kwa kuwa ni mtoto wa yule mama ndio...
  20. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tablet mpya

    Galaxy Tab A mpya haijatumika inauzwa 32GB storage, 2GB RAM na 8MP rear na 5MP selfie. Bei ni 450k Mpya kabisa Location : Ilala, Dar es salaam Mawasiliano: 0759007696(WhatsApp) 0712625416(normal) Karibu jipatie
Back
Top Bottom