mpya

  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania JamiiForums ikikosa thread mpya kwa siku afya yangu inatetereka

    Jf inanipa uraibu mbaya Sana nimeshafanya kautafiti Yani kukiwa hakuna nyuzi mpya katika majukwaa yote huwa afya yangu inapata shida . Mfano mafua makali Kichwa kuuma Mwili kuchoka haraka Kushindwa kufanya maamuzi kwa wakati nk. Je nifanyaje niondokane na huu uraibu wa jf? Kuna wakati...
  2. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Taifa CHADEMA, John Mnyika ataongea live kupitia kituo cha ITV asubuhi

    Kijana mwenye akili nyingi,hekima, busara na upeo wa hali ya juu, John John Mnyika, Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kesho Jumatano tarehe 29.01.2020 saa tano asubuhi atakuwa hewani akitoa darasa la siasa, demokrasia na maendeleo. Madini ya Mnyika hayapaswi kupitwa na kila...
  3. magnifico

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Kabwili: “Simba walinifuata, nitafute kadi ya njano, wanipe IST mpya”

    ”Simba walinifuata, nitafute kadi ya njano, wanipe IST mpya”, hayo ni maneno ya mlinda mlango wa klabu ya Yanga, Ramadhan Kabwili ambapo amesema kuwa uongozi wa Klabu ya Simba umewahi kumlaghai ukimtaka atafute kadi ili asiweze kucheza katika mchezo wa watani wa jadi na kimuahidi akifanya hivyo...
  4. impelle

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa kwanza unaisha, siku 30 zinaenda kukamilika mwaka mpya 2020. Uzoefu mpya - China

    Mwaka mpya 2020, ni mwaka umeandamana na matukio makubwa ya kihistoria kama Marekani kumuua kwa maksudi Kamanda mkuu jeshi la mapinduzi ya Iran J. Soleimani, kutunguliwa kimakosa kwa ndege ya abiria ya Ukraine huko Iran, kushambuliwa kwa kambi za kijeshi za marekani huko Iraq na kuzusha hofu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Zitto afungua kesi ya kikatiba kupinga uteuzi wa CAG mpya

    Kiongozi wa ACT Wazalendo.,Zitto Kabwe, amefungua kesi ya Kikatiba dhidi ya mosi; Sheria ya Ukaguzi namba 11 ya mwaka 2008 kukiuka Katiba na pili Uteuzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) uliofanywa na Rais Magufuli kuwa kinyume na masharti ya Katiba. Kesi hiyo ya Kikatiba...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amualika Sultan mpya wa Oman kutembelea Tanzania wakati wowote

    Rais Magufuli amemualika Sultan mpya wa Oman kuitembelea Tanzania wakati wowote. Salamu za Rais Magufuli zimetolewa na Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi aliyeko nchini Oman alikotumwa na Rais Magufuli kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Sultan wa nchi hiyo. Source: Channel ten
  7. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Israel: Ujenzi wa mfumo mpya wa ulinzi wa chini ya ardhi

    Israel imeanza hii leo kuchimba eneo la mpaka wake na Lebanon kwa ajili ya kufunga mfumo wa kujilinda utakaopita chini ya ardhi hii ikiwa ni mujibu wa jeshi la nchi hiyo. Luteni kanali Jonathan Conrius amesema kwenye mfumo huo kutafungwa vifaa vya kutambua shughuli zozote za uchokozi. Amesema...
  8. matokeotz

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya Bajaji Tanzania

    Habari, Nafikiria kumfungulia mdogo wangu biashara ya Bajaji ili apate kitu cha kufanya ila sijui biashara hiyo sana. Je, biashara ya kuendesha Bajaji inalipa? Kwa siku mtu anaweza pata kiasi gani? Bei ya Bajaji mpya kiasi gani? Iliyo tumika kiasi gani? Kingi chochote nijue? Asante sana
  9. Kiburi si uungwana

    JamiiForums Tanzania Una uhitaji wa laptop mpya na bajeti yako ni ndogo? Basi hapa ndio mahali pake

    DELL LATITUDE 3340 RAM 4GB HDD 500GB PENTUM TSH 420000 MAIL rafaijumba@gmail.com call; 0676949728
  10. Aysenem

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya boda boda mpya 1 na used mbili ipi ninunue

    Wakuu za mwaka mpya, Mwenzangu anataka kufanya biashara ya boda boda sasa ameniomba ushauri anunue used 2 au mpya moja na ana 1.8 M. Mimi nimemwambia anipe muda ili nimshauri vizuri, kwa kuwa mimi sijui chochote kuhusiana na biashara hii nikaona nije huku wakuu. Naomba pia kujuzwa utaratibu wa...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TCRA yafichua utapeli mpya wa fedha mitandaoni

    Angalizo hilo limetolewa baada ya kuibuka kwa kundi la watu waliobuni mbinu mpya kwa kutumia fursa hiyo kufanya utapeli jijini Mwanza kwa kuwashawishi kuwa usajili wa laini za simu kwa alama za vidole kwa kutumia kitambulisho cha taifa unaendana na uhakiki wa akaunti ya benki ya mhusika...
  12. Jakamoyo msoga

    JamiiForums Tanzania Ili kuepuka usumbufu wa kufuatilia passport yangu iliyopotea mwaka jana, siwezi kuomba mpya?

    Habari, Mimi nilikuwa na Passport ya zamani ya kusafiria lakini kwa bahati mbaya Ikapotea mwaka jana, ilikuwa sio ya kielectroniki. Je kuna madhara yeyote nikijaza kuomba ya electronic upya kama mtu ambaye ni mara yake kwanza kuomba Passport ya kusafiria? Nisieleze kama nimewahi kuwa na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na CCM mpya kwa Tanzania imara: Falsafa inayojenga mtazamo chanya kwa watanzania juu ya CCM

    Tukiwa tumeuanza mwaka 2020, mwaka wenye tukio muhimu la uchaguzi mkuu , uchaguzi unaotazamiwa na wengi kuwa ndio uchaguzi utakaoanzisha mwanzo wa mwisho wa siasa za upinzani hasa wa vyama vya uchaguzi kama Katibu Mkuu wa CCM ndg.Dkt. Bashiru anavyopenda kuviita na muendelezo wa falsafa wa CCM...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Nawatikia heri ya mwaka mpya 2020

    Najua mmenimiss kiasi kwa kuwa sijapost sana hasa hasa miezi ya mwisho wa mwaka 2019. Napenda kuwaambia nawapenda sana wanajukwaa wenzangu. Bado nipo Gado sana representing Team Magufuli kisayansi ...naamini mnanielewa sana moyoni ila huwa mnanipinga hadharani. Bado nitaendelea kuwaletea...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tarehe 21/1/2020, mwanzo mpya wa Tanzania mbovu

    Zile tafiti zinasomega Tanzania ni mojawapo ya nchi ambayo wananchi wake hawana furaha ni za kweli kabisa, hata hizi sikukuu zime reflect ukweli,umaskini umeongezeka kwa kiasi kikubwa katika awamu ya tanao Watu wamekata tamaa,hela hakuna, ubabe wa wenye mamlaka hausimuliku, Rais wa nchi ana...
  16. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini kanisa linaadhimisha misa siku ya mwaka mpya?

    Hili suala linanipa taabu sana la mwaka mpya. Kwa mfano mimi Mkatoliki mwaka wa Kanisa unaanza mwezi wa kumi na moja lakini siku ya mwaka mpya wa tarehe moja January linasherekea pia usiku na asubuhi kuna misa. Kwanini lisifanye hilo kwenye mwaka wa kanisa ambao unaanza mwezi wa kumi na moja...
  17. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Muongo Mpya 2020-2030 unaanza leo!

    Leo 01.01.2020, tunaanza Muongo mpya wa Mafanikio. Kila la Heri Tanzania yetu!
  18. Nakfa

    JamiiForums Tanzania Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

    Asilimia 99.9 ya waislamu wote wa Tanzania wamesherehekea mapokezi ya mwaka mpya wa 2020 na wamefanya countdown vizuri tu. . Je wanafahamu historia ya kuanzishwa kwa sherehe za mwaka mpya CE? Je wanafahamu kalenda yao inasema leo ni tarehe ngapi, mwezi gani na mwaka gani? . Waislamu...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nawatakia heri ya Mwaka mpya wa 2020 Viongozi, wanachama na wapenzi wote wa Chadema nchi nzima. Mungu yuko pamoja nanyi

    Hakuna haja ya maneno mengi, kichwa cha habari kinajieleza. Nimeamua kwa moyo wa dhati kabisa uliojaa upendo mkuu kuwatakieni Heri ya: Viongozi , wanachama na wapenzi wote wa Chadema ikiwa ni pamoja vyama rafiki vyote tunavyoshirikiana navyo kwenye harakati za ukombozi wa nchi yetu ...
  20. Complicator

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kutuma salamu za mwaka mpya

    Huu ni uzi maalumu wa kutuma salamu za mwaka mpya,kwa yeyote nje na ndani ya nchi... Mimi natuma salamu kwa Rais wangu mpendwa Mheshimiwa John Pombe Magufuli,ninamtakia afya njema na aongezewe busara zaidi na weledi,akapate nguvu zaidi na aepushwe na hila zote za shetani. Mwaka 2020 ukawe...
Back
Top Bottom