Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: CCM ya-test mitambo, yazindua Kituo cha Huduma kwa Wanachama na Watendaji

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,605
59,481
Published on Aug 17, 2020

Kuelekea Uchaguzi mkuu 2020 Chama cha Mapinduzi kimezindua kituo maalum cha mawasiliano lengo kuu likiwa ni kuhakikisha wanakuwa na mawasiliano ya karibu na wanachama na watendaji wa chama icho Katika kipindi cha uchaguzi mkuu Akizingumza mapema leo jiji Dodoma katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally amesema kuwa mfumo huu ni matokeo ya uboreshaji wa utendaji na kuwasiliana na wanachama ambapo mpango huu alishapitishwa na Kamati Kuu ya Chama hicho

IMG_20200817_170105.jpg
IMG_20200817_170108.jpg
IMG_20200817_170042.jpg
 
Copy na kupaste kutoka chadema digitali, hizi information centre chadema imeanzisha since 2010 ila polis huzivamiaga kila uchaguz na kuweka watu ndan
Nakumbuka 2015 chadema walifanya hivi ila kilichowakuta Allah ndie anajua zaidi
Lowasa ndio aliefanya sio hao Cha Domo,na lowasa alitoka CCM na huo mpango na alivyoondoka alifia mbali wataweza wapi Wana Sacco's?
 
CCM Elections Information Centre ya nini wakati NEC wapo? Hivi Centre ikionesha CCM inaanguka au imeanguka mahali fulani kabla ile Centre ya NEC haijatoa, watakuwa watulivu kweli? Elections Information Centre lazima iwe NEC na si vinginevyo!
 
Wanafanya Makosa Nategemea Police Wajionee Wenyewe
 
CCM Elections Information Centre ya nini wakati NEC wapo? Hivi Centre ikionesha CCM inaanguka au imeanguka mahali fulani kabla ile Centre ya NEC haijatoa, watakuwa watulivu kweli? Elections Information Centre lazima iwe NEC na si vinginevyo!
Wanajiandaa kufanya umafia mambo yakiwa hayaendi sawa upande wao!Ni kama 2015 kule Zanzibar,centre ya CCM walipoona Maalim anaongoza basi wakaamrisha vyombo vya dola kuzingira jengo la ZEC na kumfanya Jecha apindue meza kwa kufuta uchaguzi!

Yaani mpiga kura yuleyule,chumba hicho hicho ila matokea ya urais Zanzibar yanafutwa na ya urais yanakubaliwa,ilikuwa aibu ya karne kwa zanzibar!
 
Kituo Kama hicho wakianzisha wapinzani ati wamevunja Sheria.
Published on Aug 17, 2020
KUELEKEA UCHAGUZI, CCM YATESTI MITAMBO! ONA DKT BASHIRU ALIVYOZINDUA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA... Kuelekea Uchaguzi mkuu 2020 Chama cha mapinduzi kimezindua kituo maalum cha mawasiliano lengo kuu likiwa ni kuhakikisha wanakuwa na mawasiliano ya karibu na wanachama na watendaji wa chama icho Katika kipindi cha uchaguzi mkuu Akizingumza mapema leo jiji Dodoma katibu mkuu wa ccm Dkt bashiru ally amesema kuwa mfumo huu ni matokeo ya uboreshaji wa utendaji na kuwasiliana na wanachama ambapo mpango huu alishapitishwa na kamati kuu ya chama hicho
 
Back
Top Bottom