The Swahili people (Swahili: WaSwahili) are a Bantu ethnic group inhabiting East Africa. Members of this ethnicity primarily reside on the Swahili coast, in an area encompassing the Zanzibar archipelago, littoral Kenya, the Tanzania seaboard, northern Mozambique, the Comoros Islands, and Northwest Madagascar. More recently, Swahili identity is centered around any person of African descent who speaks Swahili as their first language, is Muslim and lives in a town on the main urban centers of most of modern day Tanzania and coastal Kenya, northern Mozambique and the Comoros, through a process of swahilization.The name Swahili is an Exonym derived from Arabic: سواحل, romanized: Sawāhil, lit. 'coasts'.
Swahili people speak the Swahili language. Swahili people's endonym for themselves is Waungwana, which means "the civilized ones." Modern Standard Swahili, derived from the Kiunguja dialect of Zanzibar. Like many other world language, Swahili has borrowed a number of words from foreign languages, particularly administrative terms from Arabic, but also words from Portuguese, Hindi and German. Other, older dialects like Kimrima and Kitumbatu have far fewer Arabic loanwords, indicative of the language's fundamental Bantu nature. Kiswahili served as coastal East Africa's lingua franca and trade language from the ninth century onward. Zanzibari traders' intensive push into the African interior from the late eighteenth century induced the adoption of Swahili as a common language throughout much of East Africa. Thus, Kiswahili is the most spoken African language though it is used by far more than just the Waswahili themselves.
Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma "Mimi sio mwepesi na sio Mwoga"
Habari zikarudishwa kwa Mtuma mjumbe kuwa Kasema never.
Komalia...
Kujifunza Kiswahili ugenini: "Kitu kilichonishangaza ni pale niliponiambia kuwa yeye lugha ya Kiswahili kaisoma Marekani... asema mimi nimekuja Afrika Mashariki kuja kukipiga msasa kiswahili changu."
Umuhimu wa kujua lugha za watu: "Mtume S.A.W. anasema mtu yeyote atakayekuwa amejifundisha lugha...
https://youtu.be/8DNwD9U2mks
WASWAHILI WA MAREKANI
Huyu mwandishi Nathaniel Mathews tunafahamiana na kwa kiasi fulani alikuwa kama mwenyeji wangu nilipokwenda Northwestern University, Chicago.
Anazungumza Kiswahili vizuri na anakipenda muda wote tulipokuwa pamoja tukisema Kiswahili.
Jambo...
Cha kushangaza hizi Tips za ongezeko la Kodi mnatoa kwa Kingereza lakini habari zingine zote mnatoa kwa Kiswahili , hii sio sawa !!! Mnahudumia walipa kodi wote Waswahili na hao wa Kingereza
TUWAJUE WASWAHILI NA USWAHILI WAO
Sifa kuu ya Waswahili ni uungwana.
Hebu tuwajue Waswahili na Uswahili wao.
Picha ya kwanza inawaonyesha Waswahili katika Baraza la Wazee wa TANU mwaka wa 1957.
Picha ya chini yake inamuonyesha Mswahili Mzee Mshume Kiyate akimvisha kitambi kumfariji Baba wa...
Kuanzia Rais mstaafu ambaye ndio God father, Rais mwenyewe, Waziri Mkuu, Mawaziri, Wabunge, MaRC, MaDC, viongozi wa CCM na wengineo wote ni WASWAHILI kwa maana Ile ya Mzee Mtei iliyodadavuliwa msibani kwake na Jenerali Ulimwengu
Waswahili huwa hawa appreciate / kupongeza hatua ya mtu ya maendeleo anayopiga utasikia tu wanakosoa nyumba/ gari yenyewe ya mkopo .
ingekuwa kukopa ni rahisi kila mtu angekopa .ukiona mtu bank imemuamini kumkopesha ujue huyo anasifa za kukopesheka , anayesema hivyo yeye hata sifa ya...
KAULI YA LEO
Neno 'SWAHILI' kimatamshi linaweza kutokana na 'ZIWA HILI' au likatafsiriwa 'SAWAHILI' kutokana na neno la Kiarabu 'SAHIL' linalomaanisha 'PWANI' likirejelea 'lugha', 'tamaduni' na 'watu' wanaoishi 'kando kando ya bahari' au 'Pwani'.
'Wamijikenda' na 'wandigo' waliwaita 'Wajomba'...
Huwa nikawasikia wanasiasa wakizungumza kwa ujasiri sana serikali inapambana "dhidi" ya maendeleo ya raia wake, wananchi wana imani "dhidi" ya vyombo vya dola, raia wana ushirikiano mzuri "dhidi" ya serikali n.k Juzi nimemsikia gavana wa Arusha anasema wananchi wana imani "dhidi" ya jeshi lao...
Ooooy! Niaje wakuu,
Kwanza kabisa Nina furaha kubwa Sana kwa siku ya Leo kuonekana tena Jukwaani hapa Mara baada ya kipindi kirefu mno tangu Enzi zile za Kina Gentamycine, Nyani Ngabu na Genge lake na Wengine wengi.
Embu Leo waswahili tushirikiane katika kuandika zile Sounds/mistari/ maneno...
Hata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana.
Kuna watu wanatamani kuona unateseka.
Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote.
Kina watu mafanikio yako yanawauma sana na haujafanya chichote.
Wanatamani uwe chizi utokwe na midenda.
Wanatamani kukuroge...
Habari za jioni mabibi na mabwana.
Kama kichwa cha habari kinavyosema kuuliza si ujinga!
Mimi ni muislamu ila hupenda kujua pia habari za watu wa dini nyingine!
Swali langu ni kama ifuatavyo:
1️⃣ Je kwaresma ipo kwa madhehebu yote ya kikristo / kikristu au ni special kwa wakatoliki peke yao?
2️⃣...
Nitatolea mfano halisi ambao nimekutana nao mimi:-
Kuna kijana mmoja alijitangaza mtandaoni anatafuta kazi, amehitimu mwaka juzi kwenye mambo ya IT.
Katika kumuhoji kweli, ikaonekana ana shida ya kazi kweli kwa sababu ata kula yake ilikuwa ni ya shida.
Nikaumiza kichwa, nikaona huyu atanifaa...
Kwamba Mwanaume hupaswi Kuchelewa kuwa na Mtoto na kwamba unatakiwa kuwa na Mtoto kuanzia Umri wa Ujana na kwamba ukiwa na Miaka kuanzia 45 kwenda mbele hadi 50 au 55 hapo ukipata Mtoto wako wa Kwanza utaitwa Mchelewaji wa kuwa na Mtoto na kwamba hutoweza Kumlea vizuri na sijui atakuwa anakuita...
Kila mara mtu anapofariki Waswahili huwa hawakosi hii misemo,
1. Maisha ni fumbo,
2. Tumeumbiwa kifo,
3. Kifo ni kitendawili
4. Tunatembea na kifo
5. Mbele yake nyuma yetu( hii hata huwa sielewei inamaanisha nini)
Mtu anapokufa unatakiwa kusikitikia marehemu na waliobaki, sio kujisikitikia...
Kwa zaidi ya miongo miwili, sera ya China kwa Afrika ilijikita zaidi katika maendeleo na miundombinu. Lakini sasa imepanua mawanda yake na kuingia ndani zaidi hadi kwenye utamaduni na lugha, ikitumia njia ya kukikuza na kukieneza Kiswahili ili kujenga ukaribu zaidi na wenzao wa nchi za Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.