malalamiko

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama inaangaliwa na chombo gani katika dhana nzima ya 'Balance and Check? Naona malalamiko juu ya mahakama yamekuwa mengi

    Katika kuifahamu dhana ya 'Balance and Check' katika mihimili ya Dola kwa maana ya Serikali, Bunge na Mahakama sijawahi kujua hii dhana inafanya vipi katika eneo la Mahakama. Kwa mfano Bunge linapoisimamia Serikali tunaona Balance and Check na pia Shauri lolote la Serikali au Bunge kupelekwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bayport na Banc ABC wanapata wapi namba zetu za simu na kutumbua na meseji zao?

    Mimi ni mtumishi wa serikali. Kuna malalamiko yaliwahi pia kuandikwa hapa siku za nyuma lakini lile tatizo nadhani limezidi maradufu. Kampuni za mikopo mfano Bayport, Manoto Bank, ABC na zingine zimekuwa zikituma meseji za huduma zao wakati sijawahi kujiunga wala kujaza fomu zao. Kwa mfano hao...
  3. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima D naleta malalamiko kuhusu SHK.Zaid Makubuli na mada za ukabila kuhusu wanawake

    Nimejaribu kufichua ila lijafanyiwa kazi na serikali inatakiwa kuchukua sheria kali kwa watu kama hawa wakina shk zid makubuli kuhusu na chuki za kupandikiza haswa makabila. Dkt. Gwajima D nafahamu TCRA na wizara yako mnaweza kuwashugulikia wote walishiriki kutoa kipindi hiki online kuhusu...
  4. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda apandikiza waigizaji kwenye madawati yake ya msaada wa kisheria ili kumpa kiki

    Makonda bado anaendelea na michezo yake michafu ya kufanya mauzauza kwa kuandaa matukio ambayo huwa anapachika "waigizaji". Niwakumbushe tukio alilofanya akiwa RC wa DSM. *Aliwakusanya masingo mama na kuwataka wawataje akina baba waliotelekeza watoto. Ktk mkusanyiko huu akajitokeza muigozaji...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania NHIF yarudisha dawa 178 zilizoondolewa

    Kufuatia mapitio ya orodha ya Taifa ya Dawa Muhimu (National Essential Medicine List -NEMLIT) yaliyofanywa na Wizara ya Afya Aprili 30, 2024 kwa kujumuisha muunganiko,muundo na nguvu kwa dawa 178 pamoja na kujumuisha dawa nne zilizokuwepo kwenye Mwongozo wa Taifa wa Matibabu lakini hazikuwemo...
  6. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nchi inahitaji uongozi shirikishi ili kuondoa malalamiko, na chuki dhidi ya Serikali

    NCHI INAHITAJI UONGOZI SHIRIKISHI ILI KUONDOA MALALAMIKO, NA CHUKI DHIDI YA SERIKALI. Utangulizi: "Tanzania tuitakayo" Taifa letu TANZANIA ni Taifa ambalo linahitaji uongozi shirikishi ,kuanzia ngazi ya Taifa ,mkoa ,wilaya hadi mtaa, kijiji na kitongoji, ili kuifikia Tanzania tuitakayo. Kama...
  7. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Maoni na malalamiko ya wananchi wa hali ya chini yasipuuzwe

    Awamu iliyopita ilijitahidi sana kuwa karibu na wananchi hususan wale wa tabaka la chini, Kwa kuwasikiliza! Haijalishi hoja anayokuja nayo mwananchi yeyote ukiwa kama kiongozi unapaswa kusikiliza na kuwa humble! Ni vibaya mno kiongozi kukataa kusikiliza sauti ya yule anayemuongoza! Bila...
  8. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Yanga yatuma malalamiko rasmi CAF kuhusu kukataliwa goli lao.

    Leo hii Yanga imetuma malalamiko CAF kuhusu kukataliwa goli lao.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dodoma aipongeza MSD kwa uwajibikaji na kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za Afya

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ameupongeza uongozi wa Bohari ya Dawa (MSD) kwa mabadiliko makubwa yanayoendelea katika taasisi hiyo, ambayo kwa kiasi kikubwa yamewezesha kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za afya nchini, mathalani malalamiko ya uhaba wa dawa. Senyamule...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu uchaguzi nashauri kianzishwe kitengo maalumu ya ushauri nasaha kushauri wanaoshindwa

    Uchaguzi halijawahi kuwa jambo dogo Kwa wanaoshindwa duniani kote ,hata aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump aliwahi kulalamika kuchezewa faulo iliyopelekea kushindwa na Joe Biden Rais wa Sasa wa Taifa Hilo lenye demokrasia kubwa zaidi duniani. Kutokana na mfano huo wa Trump na Marekani...
  11. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania TFF na TAKUKURU Washughulikie Malalamiko ya Simba

    Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo ya kuipendelea Yanga. Kama malalamiko hayo ni kweli basi kuna uvunjaji wa sheria za nchi zinazozuia rushwa; hivyo TAKUKURU inatakiwa ilifanyia...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbona malalamiko mengi kwenye nyumba za kuficha Bati (Hidden Roof), Mafundi wanakosea nini hadi zinavuja?

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana, sasa wataalamu au mliofanikiwa kujenga hizo nyumba hebu tushauriane hapa mafundi maiko wetu hawa wanakosea wapi? Maana nataka kubadili paa langu liwe Hidden ila kila...
  13. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Malalamiko ya posho ya CHWs ya uhamasishaji wa kujikinga na ugonjwa wa mlipuko wa Marburg Bukoba

    BUKOBA MANISPAA KAGERA ,TANZANIA Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. : Kwanza Hongera na kazi katika harakati za kulipambania Taifa hasa kwenye secta ya AFYA hapa nchini. Sisi ni wahudumu wa afya ngazi ya jamii, kutoka MKOA KAGERA wilaya ya BUKOBA MANISPAA tulifanya...
  14. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Ili kumaliza migogoro inayoendelea Congo, inabidi malalamiko yote ya waasi yasikilizwe

    Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe. Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani. Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania AJIRA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri Kwa vijana baada ya kumaliza vyuo

    Karibuni.
  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kuna kipi kinaendelea? Mbona kila kona malalamiko ni ndugu kupotelewa na jamaa zao?

    Mfano ni mkoani Singida, familia tatu zinawalilia ndugu zao walio tekwa na watu wasiojulikana. Familia mbili za huko Wilaya ya Iramba, zinazoishi karibu na Loya, zinalia kupotelewa na wafanyabiashara wa mazao jinsia yao ni wanaume wawili. Wawili hao inasemekana walitekwa na gari nyeupe aina ya...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu single mothers ni kwasababu watu wengi hawajui kupiga mipira iliyokufa.

    Kama wewe sio mtaalamu wa kupiga mipira iliyokufa , hutowaweza single maza. Unajua katika mchezo wa mahusiano sio kila mchezo MTU anaweza kuutawala wote ,hivyo kupiga mipira iliyokufa hiyo kazi wanaiweza wataalamu tu, ikiwa wewe sio mmoja wao usilazimishe.. Huwezi wasikia wataalamu wa hizi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi kushirikisha Wadau wa Haki Jinai kuchunguza malalamiko ya Wananchi kuonewa na Askari

    Jeshi la Polisi nchini limesema limeona taarifa katika baadhi ya Mitandao ya Kijamii zikionyesha taarifa za Wananchi ambao wanalalamika kufanyiwa vitendo ambavyo ni kinyume cha Sheria na Haki za Binadamu na baadhi ya Askari Polisi. SACP David Misime Akitoa taarifa hiyo Disemba 21, 2023 Msemaji...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Katavi: Malalamiko ya waliofyekewa Mahindi yatua kwa Mkuu wa Wilaya

    Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, Jamila Yusuf ameeleza kuwa amekerwa kwa tukio la baadhi ya wakulima katika Manispaa ya Mpanda kufyekewa mahindi yao ambapo amesema kitendo hicho si cha uungwana katika mstakabali wa maisha ya wananchi. Jamila amesisitiza viongozi wa mtaa na kata...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia

    Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia unaohusishwa na mradi wa maliasili wenye thamani ya dola milioni 150 ambao benki hiyo inafadhili kabla ya kuanzisha uchunguzi rasmi kuhusu suala hilo. Bodi ya Benki mnamo...
Back
Top Bottom