HESLB. Malalamiko kuhusu kubadilisha namba ya simu

Madam lyia

New Member
Nov 14, 2023
1
0
Habari Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo Cha utumishi wa umma (TPSC). Mimi ni mnufaika wa mkopo kwa bahati mbaya namba yangu ya simu ilikosewa wakati wa usajili, nmefatilia Sana bodi ya mkopo ili nibadilishe namba ya simu imeshindikana naambiwa watafanyia kazi lakin mpk leo Amna kitu . Nmeshindwa kusaini ili kupata hela maisha ni magum na hiyo hela ndo naitegemea kulipa ada pamoja na matumizi yangu mengine.
Naomba jamii forum iwasilishe hiki kitu ili bodi ya mkopo ya elimu ya juu iweze kubadilika na kutatua changamoto za wanafunzi kwa wakati kwani hiyo hela ndo kila kitu kwetu sisi wanafunzi
 
Back
Top Bottom