Kuna kipi kinaendelea? Mbona kila kona malalamiko ni ndugu kupotelewa na jamaa zao?

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Mfano ni mkoani Singida, familia tatu zinawalilia ndugu zao walio tekwa na watu wasiojulikana.

Familia mbili za huko Wilaya ya Iramba, zinazoishi karibu na Loya, zinalia kupotelewa na wafanyabiashara wa mazao jinsia yao ni wanaume wawili. Wawili hao inasemekana walitekwa na gari nyeupe aina ya Toyota LC. Na tukio hilo lilitukia tokea Oktoba mwaka jana.

Tukio jingine fanani na hilo limetukia ndani ya Manispaa ya Singida, likiwahusisha wafanyabiashara wa mbao nao ni wawili wa familia moja. Kama sikosei, walitekwa na gari fanani na ile iliyotajwa hapo juu na kwa ufanano uleule wa utekwaji. Nao ni wanaume.

Kipi kinaendelea kwa aina hiyo ya kutoweshwa!?
 
Aliyeondolewa ni mwendazake peke yake, watekaji wake wote wapo hai hawajaondolewa. Weka akilini mwako hili.
 
Legacy. Not all lessons are discarded.

JKN alilalamika kuwa “wamechukua mabaya yetu mengi na kuacha mazuri yetu yote”. Tokea pale, ndio umekuwa mtindo wa warithi. Hawaachii kitu “useful practically” cha kuimarisha mamlaka na kurahisisha ulaji kilichoanzishwa na jasiri aliyetangulia.
 
Usichukulie poa hili suala , ni hatari mno
Ngoja likupate au linpate ndugu yako au jamaa yako ndio utajua machungu ya hii kitu
Sijaxhukulia poa mbona, maana kuna mzee mmoja nlimsikia anahojiwa
Anasema mtoto wakena mme wake walikuwa wantokea mbeya kuja dar,na hawajaonekana ni kama walitekwa
Kuanzia tar 6 ,Dec 2023 mpaka sahv kimyaa
Point yangu ya utekaji nasemaje,utekaji mwingine syo y mambo ya siasa wengine wamedhulumiana nk
Watu wanaamua kufanyiana umafia
Na ukiona hali kama hii ina pamba moto jua vyombo vinavyosimamia haki na sheria vina mapungufu

Ova
 
Usichukulie poa hili suala , ni hatari mno
Ngoja likupate au linpate ndugu yako au jamaa yako ndio utajua machungu ya hii kitu
Unakuta mtu anatekwa na hyo aliyetekwa hafanyi harakati za siasa
Sasa kuna msukumo gani wa yeye kutekwa?????
Siyo kila anayetekwa inahusisha mambo ya siasa
Wengine mambo ya biashara,dhuluma nk

Ova
 
Sijaxhukulia poa mbona, maana kuna mzee mmoja nlimsikia anahojiwa
Anasema mtoto wakena mme wake walikuwa wantokea mbeya kuja dar,na hawajaonekana ni kama walitekwa
Kuanzia tar 6 ,Dec 2023 mpaka sahv kimyaa
Point yangu ya utekaji nasemaje,utekaji mwingine syo y mambo ya siasa wengine wamedhulumiana nk
Watu wanaamua kufanyiana umafia
Na ukiona hali kama hii ina pamba moto jua vyombo vinavyosimamia haki na sheria vina mapungufu

Ova
Umteke unaemdai umpeleke wapi...si bora unampiga cha moto tu. Hata South Africa walokubuhu kwa visasi hawatekani...kuteka ni kujiongezea kazi na hatari. Mara nyingi kibongobongo mamlaka ndio zinazoweza kukuteka
 
Sema kuna mijitu ina dhurma sana , halafu kwenye Haki haitendeki, watu wanaamua kunyoosha rula wenyewe.,

Mwingne ukimfanyia mbaya na akiona hana cha kufanya na hawezi kutamka neno baya Anakuambia Namuachia mungu, hapo jiandae na kipapai.
 
Tofauti na kipindi hicho ilikua anayeamua ni mmoja,
Asaivi ni kama vile yeyote anayeweza akijisikia.

Nahisi tunakoelekea ndio njia nzuri ya kurudi katika kuheshimia
 
Natamani sana nakuombea hilo zali la kutekwa linitokee yani huo mkono ntakavyoutembeza
 
Back
Top Bottom