maisha

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya lockdown yatakua kama safina ya Nuhu ilipopata habari njema baada ya gharika.

  2. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Elimu ni ufunguo wa maisha

    "Elimu ni ufunguo wa maisha". Moja ya msemo ambao tumekuwa tukiusikia tangu awali. Ni kiasi gani msemo huu umeakisi maisha yako baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu?
  3. Naja naja

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu sana ila nina imani ipo siku nitafanikiwa

    Maisha yanazidi kunichachia kila kukicha, nimetafuta sana kazi bila mafanikio yoyote mpaka ninahisi nimerogwa. Mtaani thamani yangu imeshuka mno maaana nilipiga hatua kidogo ya kielimu ila nikakosa mtu wa kuniendeleza baada ya kufiwa na mama (baba yupo ila ni baba jina) hivyo nikakata tamaa ya...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa msiojua, Awamu ya pili ni ya kuyatengeneza maisha yako baada ya kustaafu

    Baada ya Nyerere kufanya makosa ya kutojiandaa na maisha baaada ya kustaafu, waliomfuata walianza kujitengenezea maisha ya kustaafu katika awamu zao za pili. Suala hili halijawai kubadilika tangu awamu ya pili hadi sasa. Kwa sasa Tanzania, Habari ya mjini ni Chato, kivuko ni Chato, vyuo ni...
  5. martinezstavo

    JamiiForums Tanzania Ni vipi kama haya maisha tunayoishi ni ndoto

    Asalaam wakuu, Kama binadamu nimekuwa najikuta nateseka sana kuishi kwenye hii dunia hasa kwenye jamii yangu ambayo inanifanya nipate huduma muhimu tu kama binadamu Kwa muda mrefu sijui imeanza lini lakini huwa nafikili ni vipi kama haya maisha yote ninayoishi ni ndoto Katika maisha yangu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la Taifa la Bima ya maisha (NIC) lipeni fedha za wateja wenu

    Shirika hili linakiuka kwa kiasi kikubwa mikataba na makubaliano walioafikiana na wateja wao hasa ihusuyo malipo ya fedha za bima zilizoiva. Jambo hili si zuri na halikubalikiki hata kidogo maana linatengeneza taswira ya ulaghai kwa wateja wenu ukizingatia hili ni shirika la umma. Mamlaka...
  7. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi ya kuzingatia 2021 ili uishi maisha yako

    Kwaheri 2020 karibu 2021 Awali ya yote tuna kila sababu ya Kumshukuru Mwenyenzi Mungu mwingi wa neema na Rehema.Mwaka 2020 umekuwa na changamoto lukuki,katika sekta zote,Kiuchumi,kiafya,kijamii na kisiasa.Lakini bado Mungu wetu ni mkuu sana! Tunafahamu kuwa tuna ndugu,jamaa,marafiki ambao...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wasomi wote ambao tunapitia maisha magumu zawadi ya mwaka mpya wimbo - Nimelimiss Bumu

    habari wadau wote wenye changamoto za kimaisha.. Vijana wengi kitaani tunapitia hali ngumu.. hii imenifanya niimbe wimbo wa kutuliwaza nimelimiss Bumu.. naombeni maoni yenu wapi nimekosea na wapi nimepatia heri ya mwaka mpya
  9. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Hebu pata picha ingekuwa wewe unaishi maisha wanayoishi hawa wenzetu wenye uhitaji maalumu

    Mungu atukuzwe kwa yote aliyoyaumba kwa kuwa hata vilivyo dhaifu huviimarisha kwa namna yake. Hebu mfano wewe uliye na kila kiungo mwilini vikiwa timilifu katika utendaji kazi; siku moja inatokea kubadilishana uzoefu na walionyimwa labda kuona au kusikia mfano; {mfano si kwa nia mbaya} -...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sielewi hatma ya maisha yangu ni ipi

    Siamini macho yangu kama inafika kipindi mtu unafilisika mpaka mawazo, yaani hujui nini cha kufanya ili maisha yasonge mbele lkn ukweli mtupu haya ndo ninayopitia Mtanzania mwezenu. Historia yangu kiufupi ni hivi, Mimi ni muhitimu chuo kikuu (UDSM) kada ya ualimu wa sanaa (Art), na kama mjuavyo...
  11. KENZY

    JamiiForums Tanzania Vichocheo vya maisha vinazungumza nini juu ya kusudio la uhai?

    Ni dhahiri kabisa pasipo uhai hakuna maisha!,kwa maana maisha ni uhai. Lakini lipo jambo moja tata kuhusu uhai!. Nalo ni kusudio la uhai. Tukijaribu kuangalia mfano wa vitu vidogo ambavyo vimetengenezwa na binadamu bila kusita vitu hivyo utapata kusudio lake.. lkn jambo lakushangaza kitu...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama kila ukipata pesa unashikwa na kiu ya pombe au kufanya ngono, kijana safari yako ya maisha itakuwa fupi na yenye misukosuko

    Sasa kumekuwa na wimbi la vijana wajinga na wapumbavu wengi sana. Wanatafuta pesa kwa bidii halafu wakizipata tu huziona ndogo kisha huamua kuzipeleka bar au lodge. Unapata laki tatu unasema hii haitoshi kujengea nyumba, haitoshi kununulia kiwanja, haitoshi kufungulia biashara ya tigopesa au...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi waandamizi jifunzeni kujitegemea, mnawatesa wasaidizi wenu kuwatumikisha kinyume na kazi zao

    Kiongozi mwandamizi hana gari binafsi yakutembelea amekalia kutumia gari ya umma kufanya shughuli za Kiserikali na shughuli za familia bila kujali masaa ya kazi kwa madreva na wasaidizi wengine. Ninaishi na mzee mmoja hapa anatumia gari ya Serikali kama yake binafsi, kila sehemu anapokwenda...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ughaibuni

    .
  15. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu kuna haja ya kuwapa semina wanachama wenu kuhusu masuala ya pesa na maisha baada ya kustaafu?

    Kwakweli walimu wana tatizo kuhusu suala la pesa. Wengi hawajui masuala ya pesa na uwekezaji. Utapeli wowote wa kipesa lazima uwahusishe waalimu kwa wingi. Ila sijajua kama ni sababu ya wingi wao au wanapigika kirahisi? Vyovyote vile, kuna tatizo. CWT andaeni semina za kuwafundisha watu wenu...
  16. comte

    JamiiForums Tanzania Wanawake kumbe wana tabu hivi katika maisha na mahusiano na wanaume?

    mnawezaje kubadili kiumbe wa mwenyezi Mungu
  17. B

    JamiiForums Tanzania Chagua kuishi maisha ya kifahari watoto wasiende shule. Kula bata sana watoto wasipate madarasa, wananchi wakusaidie

    Haya ndio maisha watu wanajiamulia, kabla ya mwaka kuanza tunajua tuna watoto wangapi wanahitaji kwenda shule ila vyumba vya madarasa havitoshi na vinahitajika vingapi ili vitoshe. Tunasakwa mtaani raia tunachangishwa ili tujenge madarasa. Wapo barabarani wanakula maisha, wanatembelea magari ya...
  18. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

    Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo. Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa...
  19. Jokajeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salome Binti aliyehatarisha maisha yangu, baada ya miaka 8 nimekutana naye tena

    Habari wakuu! Wiki hii imebadilisha mpangilio mzima wa ratiba yangu kwa kuumaliza mwaka huu. Kisa na Mkasa ni kama ninavyoendelea kueleza hapo chini. Mwaka 2012 nilikutana na Binti mmoja ambaye alijitambulisha kwa Jina la Salome, tulikutana Dar es salaam pale Mlimani City, kwenye ATM ya CRDB...
  20. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Maisha ni Watu

    Katika maisha tunayoishi tunahangaika sana kutafuta pesa,furaha,mali,nk kila siku tunapoamka kila mtu kuna kitu anawaza kichwani mwake kuhusu kesho yake,tumetofautiana kimalengo na kimawazo kwasababu ninachokiwaza mimi kitokee kesho yangu n tofauti na chako na mwisho hayo ndio maisha. Leo...
Back
Top Bottom