Wazanzibari wana maisha mazuri kuliko watu wa bara

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Kuna kipimo cha kupima maendeleo ya binadamu, kinaitwa HDI (human development index).

Hiki hupima elimu, umri wa kuishi na kipato cha mtu. Kinapima kuanzia 0 hadi 1.

Tanzania yote kipimo hiki kinasoma 0.529. hii ni chini na ni alama ya umaskini na kutoendelea. Zanzibar kinasoma 0.72 na ni kiwango cha juu kikiashiria maendeleo na utajiri.

Uhalisia wa hiki uko vipi?
 
Tanzania na zanzibar kumbe sio tanzania bara na visiwani oky sawa, ila kila matokeo ya darasa la saba na form 4 shule nyingi za visiwani hua zinashika mkia.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app

Licha ya kushika mkia, lakini kwanini kipato cha watu mmoja mmoja ukilinganisha Wazanzibari kipato cha kipo juu?
 
Japo wanashika mkia.. wao ndio wanapewa kipaumbele cha ajira na maksi zao mbovu... huku watu wa bara na division one zao wanakosa ajira..

Ukiwa na degree yoyote, pamoja na kitambulisho cha mkazi na cheti cha kuzaliwa cha zanzibar.. kupata ajira ni lazima... maana mashirika yote yaliyo chini za wizara za muungano kama tra, nssf, tanesco, polisi etc yakitangaza nafasi za kazi wazanzibar wana nafasi zao za upendeleo ili kulinda muungano.. kumbuka zanzibar ina watu wachache kama milion moja total population... nafasi za muungano ni nyingi kuliko idadi ya wasomi wao
 
Licha ya kushika mkia, lakini kwanini kipato cha watu mmoja mmoja ukilinganisha Wazanzibari kipato cha kipo juu?
Bandari tu ya Unguja inatosha kuwalisha raia wote pasi kufanya kazi, so linganisha na Tanganyika ndipo ugolo wako upate hitihali ya ustawi.
 
Kuna kipimo cha kupima maendeleo ya binadamu, kinaitwa HDI (human development index).

Hiki hupima elimu, umri wa kuishi na kipato cha mtu. Kinapima kuanzia 0 hadi 1.

Tanzania yote kipimo hiki kinasoma 0.529. hii ni chini na ni alama ya umaskini na kutoendelea. Zanzibar kinasoma 0.72 na ni kiwango cha juu kikiashiria maendeleo na utajiri.

Uhalisia wa hiki uko vipi?
Samahani sana, nimeshindwa kukufahamu hapa, wewe ndie ulietuletea hizi takwimu hapa, wengi wetu ndio kwanza tunazisoma hapa, sasa unatuuliza sisi uhalisia wa data hizi badala ya sisi kukuuliza wewe? Kwa nini hukuuliza huko ulikozipata au aliekupa?
 
Ikulu ya muungano(Dar na dodoma),ikulu ya Zanzibar,ofisi za bunge na huko baraza la wawakilishi,wizara zote.....ofisi nyingi za serikali wamejaa wazanzibari....biashara nyingi ni wao wanaendesha... Hawajui kulipa umeme,hawalipi kodi,....
 
Ukiwa mZanzibar ukisoma tu lazima upate ajira hata kama una div 4 tupu ma gentleman degree ama diploma ya chuo. Ajira lazima upate
 
Ukiwa mZanzibar ukisoma tu lazima upate ajira hata kama una div 4 tupu ma gentleman degree ama diploma ya chuo. Ajira lazima upate

Na ukiwa mtanganyika inajua kusoma nq kuandika unakuwa mbunge, na ukiwa na feki unapata ajira, yaani hata UDOM unaweza ukasomesha
 
Nimeangalia taarifa ya habar Itv
Viongozi wa wizara ya maji toka smz wana claim watu huko zenji hawalipi bill za maji wakipelekewa bill wana toa aya toka ktk kurhan

Maji yenyewe hayatoki halafu ulipe, na yakitoka saa nane za usiku umelala halafu zanzibar kuchimba kisima chako lazima ulipie kila mwaka
 
Nimeangalia taarifa ya habar Itv
Viongozi wa wizara ya maji toka smz wana claim watu huko zenji hawalipi bill za maji wakipelekewa bill wana toa aya toka ktk kurhan 😀😀😀

Hao jamaa ni watu wa ovyo tu, wanalipisha watu maji wakati maji yenyewe hayatoki kabisa
 
Back
Top Bottom