Hali unayopitia katika maisha mapito tu, kaza mwendo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,638
Reaction score
220,410
1620216325451.png

Miaka ya 1980-90 kuna msichana mrembo aliishi Oyster Bay na baba yake. Baba yake alikua mfanya kazi wa ndani wa Mzungu na walipewa servants quater. Yule binti alikua na akili sana shule na alifaulu darasa la saba na kupata nafasi katika moja ya shule za wasichana za vipaji maalum Dar.

Wavulana wengi walimsumbua, hasa wale watoto wa vigogo walioishi karibu na yeye. Wengine walimdhihaki baada ya kuwalataa kingono kuwa anaishi nyumba ya kijakazi na maringo yamemjaa.

Sasa hivi yule msichana ni Mkurugenzi wa Shirika na Baba yake amemjengea nyumba nzuri anaishi kwa amani
 
Atafika tu mdogo mdogo lakini ata pambana sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
View attachment 1774282
Miaka ya 1980-90 kuna msichana mrembo aliishi Oyster Bay na baba yake. Baba yake alikua mfanya kazi wa ndani wa Mzungu na walipewa servants quater. Yule binti alikua na akili sana shule na alifaulu darasa la saba na kupata nafasi katika moja ya shule za wasichana za vipaji maalum Dar.

Wavulana wengi walimsumbua, hasa wale watoto wa vigogo walioishi karibu na yeye. Wengine walimdhihaki baada ya kuwalataa kingono kuwa anaishi nyumba ya kijakazi na maringo yamemjaa.

Sasa hivi yule msichana ni Mkurugenzi wa Shirika na Baba yake amemjengea nyumba nzuri anaishi kwa amani
Hakika kila kiumbe kaumbwa na Future.
 
ndomana wakora wanatuzid akili hata maneno na picha wengine bado tubelight
 
View attachment 1774282
Miaka ya 1980-90 kuna msichana mrembo aliishi Oyster Bay na baba yake. Baba yake alikua mfanya kazi wa ndani wa Mzungu na walipewa servants quater. Yule binti alikua na akili sana shule na alifaulu darasa la saba na kupata nafasi katika moja ya shule za wasichana za vipaji maalum Dar.

Wavulana wengi walimsumbua, hasa wale watoto wa vigogo walioishi karibu na yeye. Wengine walimdhihaki baada ya kuwalataa kingono kuwa anaishi nyumba ya kijakazi na maringo yamemjaa.

Sasa hivi yule msichana ni Mkurugenzi wa Shirika na Baba yake amemjengea nyumba nzuri anaishi kwa amani
Naiangalia hiyo gari topeni nalinganisha na content
Nakosa direction
 
sawa mama tushajua ni wewe yaani poleni from zero to hero.
 
Back
Top Bottom