maisha

  1. D

    GE2020 Watanzania tusiyumbishwe, chagua CCM, chagua Magufuli chagua maendeleo na maisha yako. Usindanganyike!

    Kwa hali ilivyo kwa sasa na maendeleo yaliyofikiwa tukae chini na kufikiri kwa makini tuchague CCM kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Tusifanye ushabiki na wala tusifanye hamaki na kuchagua kwa mihemko tutajuta sana. Ninaamini Watanzania wamekuwa makini muda wote linapofikia suala la...
  2. E

    Kama uchumi wako ni wa kipato cha kati na umeendekeza kugawagawa pesa kwa wanawake kamwe hutokuja kuendelea

    Hii ni nzuri kidogo na inaeleweka. Mkuu kama unaona maisha yako ni ya uchumi wa kipato cha kati na unaendekeza kugawa pesa kwa wanawake kamwe hutokuja kuendelea. Utabakia hapohapo. Wanawake wafundishwe kujitafutia. Mbona wanawake wakizungu wao ukienda nao hotelini wanajilipia wenyewe ina...
  3. Chakorii

    Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya kila siku

    Habari ya mchana watu wangu wa nguvu kabisa mnaendeleaje na afya zenu jamani..mmeshapata lunch jamni maana ndo muda wenyewe huu Siku zilizopita tulizungumzia vitu ambacho hatuvipendi katika maisha yetu ya kila siku lkni tunakuwa hatuna namna. Watu mlitiririka sana. Sasa leo tunazungumzia vitu...
  4. G Sam

    Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

    Hapa ndipo daraja la Tshs bilioni 700, fedha ambazo hata hazikujadiliwa na bunge zinatumika. Eneo ni Kigongo-Busisi. Kwakweli Bunge la Ndugai litajibu haya mbele za Mungu! Nawaza tu bilioni 700 Tshs ambazo ni hela nyingi sana yani hata Richmond haioni nusu yake. Kama zingetumika kwa mtu kuona...
  5. FRANCIS DA DON

    Nini kifanyike kudhibiti matumizi mabaya ya Bima?

    Nadhani ‘Life insurance policy’ ni moja ya vyanzo vikubwa sana vya mauaji. Unless otherwise hakikisha yule beneficiary hajui, otherwise atakutafutia namna akuue ufe kabla ya siku zako ili aanze kufaidi matunda ya bima aliyowekewa. Pia bima kubwa imekuwa ni chanzo cha wahindi kuchoma moto...
  6. CHADEMA

    GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
  7. J

    GE2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

    Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha. Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua...
  8. Chakorii

    Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

    Habari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...🧚‍♀️🧚‍♀️ Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..😅😅tujifurahishe tu hakuna namna🥂🥂🥂 Huo ulikuwa ni utangulizi tu 😅😅ngoja nirudi kwenye uzi sasa🤪🤪🤪 Aiseh hakuna kitu sipendi...
  9. Kiburi si uungwana

    Kuku ni utajiri ulio ndani ya sayansi na utaalamu na siyo mazoea

    Kuku ni mingoni mwa wanyama wanaopendwa sana duniani kwasababu huliwa na karibu watu wote,huzaliana kwa wingi, huishi popote na hula chochote. Kwasababu hizo kuku ndiyo ndege pekee aliyeenea kwa wingi duniani na kuliwa sana kuliko mnyama yoyote. kwa takwimu za sasa za dunia ni kuwa mahitaji ya...
  10. C

    GE2020 Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli licha ya ugumu wa maisha, uonevu kwa wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi?

    Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi? NAHITAJI MAJIBU
  11. Infantry Soldier

    Kwanini nyumba yako unaiita "kakibanda kangu"? Mungu hapendi kujishusha sana. Having too much humility is self destructive

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania jifunzeni kujishusha lakini isiwe too much. Mungu hapendi mjishushe sana. Having too much humility is self destructive; Unakuta mtu alikuwa anaishi katika nyumba ya kupanga vyumba viwili chumba na sebule, lakini kwa...
  12. Civilian Coin

    Furahia kuwa Askari katika Maisha yako na Don Nalimison

    Your can be a soldier without combat and army, be a soldier in your destiny, be a soldier to your carrier and have fun being a self soldier. Myself iam a soldier in my position as musician &advisor, appreciate yourself as being a soldier . Everyone is a Soldier in his/her life...
  13. Liverpool VPN

    Maisha magumu kwangu tu au tupo wengi?

    .......YNWA...... Moderator FUTA HUU UZI. Please DELETE
  14. Mkogoti

    Unapitia Maisha magumu ebu jifunze kwa huyu kiumbe

  15. Civilian Coin

    Mapenzi yana nguvu ya kubadilisha maisha na kila kitu. Sikiliza hii

    LOVE HAS POWER TO CHANGE LIFE AND IMPOSSIBLE. Being engaged in Love stress and depression can run away and you be come relaxed. . This animated video song #POWER OF LOVE# is for showing True Love in Society and between Couples, enjoy it by watching now.
  16. fungi06

    Mambo niliyojifunza kuhusu maisha nikiwa nimeshachelewa

    Nazani mimi sio mtu pekee kukaa na kujua kua nimekosea baada ya kosa kujitokeza. Lakini mimi kabla sijaendelea kosea us long am not dead man kuna baazi ya vitu nilikosea na kujua nimekosea nikiwa nimechelewa kwa namna moja au ingini ikiwa. 1. Wengi tunatumia miaka 20 kuofia kua tunafwatiliwa...
  17. kidochi og

    Aslay na Mario nawakubali sana, pamoja na ustaa wao wanaishi maisha ya kawaida sana

    Ni wasanii wa bongo freva ambao ukiachilia mbali mond, kiba, konde. Wana wafuasi wengi Sana kwenye mitandao ya kijamii. Hiyo inaashilia ukubwa wao na ni kiashirio cha kwamba wanakubalika sana mtaani. Pia ni wasanii ambao hawategemei kiki au promo yeyote ile ili wasogeze muziki wao. Kutokana...
  18. Civilian Coin

    Kitabu Cha Maisha ya Don Nalimison Kiko njiani!!!

  19. Erythrocyte

    GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi. ===== LIVE FEED: MBOWE: HATUOGOPI TBC WALA...
  20. maji ya gundu

    Nyimbo gani inaendana na hali yako ya mahusiano?

    Hope mpo good mapopo wenzangu Kulingana na maisha yako ya mahusiano nyimbo gani inaendana na hali yako ya mahusiano Binafsi "cry no more" ya breezy ndo inanifariji kidogo Pia nyimbo ya Khalid "bad luck"
Back
Top Bottom