Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Kama nikipata nafasi ya kuzungumza na kijana mwenye umri chini ya miaka 30 ningemshauli aanze maisha ya kujitegemea akiwa na miaka 25 kuliko akisubilia afike 30,35 au 40 atakuja kupata stress hatari
Kuna umri ukifika kama haukujianda kujitegemea ukiwa na umri kuanzia 25 ukishaanza kuwa mtu mzima kuanzia 30 kuja juu cha moto utakiona mbaya zaidi kama kuna watu ulikuwa unawategemea sasa hawapo Au kuna kitu ulikuwa unakitegemea kupata kama ajira Au upewe mtaji wa biashara ndipo uanze mipango ya kutoka nyumbani uanze kujitegemea itakuja kukugharimu kwani utakuja kushanga unagonga age of 40 hujiwezi wala huna unaloliweza matokeo yake unageuka mzigo wa familia ndugu jamaa na marafiki
Part one