maisha

  1. Mwanga Lutila

    JamiiForums Tanzania Tuliopitia maisha ya "Saidia Fundi" tukutane hapa

    Hii mikazi sidhani kama kuna mtu anapenda kuifanya ila kuna stage ilitubidi wengine tufanye ili tusukume siku. Wapo ambao zimewatoa, na tupo ambao hazikututoa. Niliacha hii mikazi kipindi hicho napambana life baada ya braza mmoja aliyekuwa ameshika kazi, akishachukua mpunga kwa bosi basi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda kinauzwa cha kizamani kinafaa kwa shambaboy au anayeanza maisha

    Habari Kitanda cha kizamani 4*6 mninga na godoro lake naviuza kwa pamoja elfu 70. Kipo Kigamboni mbele ya Kibada. Godoro halijachoka lipo safi. Nimeambatanisha na picha. Mawasiliano 0622 426120.
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

    Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa. (Samahani mimi sio mwandishi mzuri wa story) Kuna mwenzangu tulisoma naye O level, mimi niliendelea A level na yeye akaenda DIT kipindi hicho ikiitwa Dar Tech, hatukuonana miaka mingi sana na sikujua yupo wapi. Kwa bahati tu nikawa...
  4. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu gharama za maisha ndani ya Jiji la Tanga

    Habari za wakati huu, Ningependa kufahamu kuhusu mji wa Tanga na gharama za maisha. Baadhi ya mambo ningependa kufahamu ni pamoja na maeneo mazuri ya kuishi kwa watu wa kipato cha chini au cha kati, Gharama za kupangisha nyumba, chumba. Gharama za chakula na malazi katika lodges na guest...
  5. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!

    Kwenye uchumi ambao bei za bidhaa zinapanda kila uchwao, ili mtu uendelee ku survive na maisha, ni budi kipato kipande ili kupunguza ukali wa maisha. Hii kwa wachumi tunaiita 'Cost of living adjustment - COLA'. Ndo maana utaona salary review zinapaswa kufanyika kila mwaka, na endapo kama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo mmefanya jambo la maana kutangaza hali ya Maalim Seif, hatua yenu hii itaokoa maisha ya wengi

    Naamini Serikali ya CCM hasa ya bara itakuwa imenuna kwa taarifa za kiongozi mkubwa kama maalim kuumwa Corona kutoka public Kwa saikolojia ya Rais Magufuli ambaye yeye hataki kabisa kusikia habari za athari za korona nchini zikisambaa, naamini kabisa kuwa atakuwa hajapendezwa na taarifa za...
  7. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kupandisha bei ya sabuni kutampa maskini muda mgumu katika maisha

    Leo nimeenda kununua sabuni ya mche ya Jamaa, bei niliyoijua ni sh 2,000 kwa mche, kuanzia leo baadhi kila nilipofika nikajua nitapata kwa bei ya zamani nimeambiwa imepanda wanauza 2,200 hadi 2,400. kati ya bidhaa ambazo wasio na uwezo huhitaji haswa ni Sabuni, Sukari, mafuta... vyote hivi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hali ngumu ya Maisha kwa Wananchi: Mwalimu wa Chuo Kikuu amlilia Rais Magufuli anusuru wafanyakazi

    Mheshimiwa Rais, wafanyakazi tunakuomba msamaha FRIDAY JANUARY 29 2021 Mheshimiwa Rais, nakusalimia kwa heshima na taadhima, Mimi kijana wako naendelea kulitumikia taifa nikiwa kituo changu cha kazi hapa Mlimani, kuna jamaa wengine wanapaita Jalalani, ingawa silipendi kabisa hili jina...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wengi wa Serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi

    Wafanyakazi wengi wa serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi. Unakuta mtu ana mshahara laki saba kakopa benki kanunua gari na zingine anajenga bonge la jumba. Hela ikiingia benki wanakata anabaki na laki moja!!! Anaanza kuishi kwenye mzunguko wa madeni kopa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana. Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani...
  11. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua chochote kuhusu Maisha ya utafutaji Zanzibar

    Wakuu, poleni na Majukumu, naomba kujua kuhusu maisha ya Zanzibar, kuna rafiki yangu wa kike ameenda Zanzibar leo hii kutafuta maisha na hajui pa kufikia, nimemkataza lakini hakunisikia. Naombeni mawazo yenu nini afanye huko niweze kumshauri huko aliko. Asanteni.
  12. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tunakubalije Watanzania wote maisha yetu yashikiliwe na mtu mmoja?

    Hakika hotuba aliyotoa jana Rais wetu Magufuli imeniacha na huzuni kubwa, kwa kuwa nilichobaini kutokana na hotuba hiyo ni kama maisha yetu watanzania wote, tumeyaweka rehani na kiyakabidhi mikononi mwa mtu mmoja, ambaye ndiye Rais wa nchi. Katika hotuba hiyo tulimsikia Rais akikanusha vikali...
  13. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali Gomvi: Korona 2.0 kwani Rais Magufuli ni mbia wa maisha yenu?

    Korona 2.0 Kwani Rais ana Ubia na Maisha Yenu? Na. M. M. Mwanakijiji Naandika kama shabiki wa Magufuli; naandika kama mtu ambaye nimeelewa malengo yake na mitazamo yake, na ninaandika kama mtu ambaye sijaegesha akili yangu mahali mwenyewe nikaondoka. Nimesoma na kufuatilia mijadala ya kile...
  14. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Vitabu 31 vya kusoma mwaka 2021 ili maisha yako yawe bora zaidi

    Inapokuja kwenye mafanikio, kila mtu ana maana yake. Lakini kwa ujumla, mafanikio ni pale mtu anapokuwa bora zaidi ya alivyokuwa huko nyuma. Kifedha kama ulikuwa na kipato kidogo na kikaongezeka, umefanikiwa. Kimahusiano kama ulikuwa na hali ya kutokuelewana na wale wa karibu na ukaitatua...
  15. Francis12

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima naombeni mpigie Kura Malisa GJ amekuwa mchango mkubwa sana kwa Jamii katika kugusa maisha ya Watanzania

    Anaandika Comrade Malisa GJ. Rafiki yangu mmoja kanitumia ujumbe "Malisa mbona huombi kura?" Ikabidi nimpigie kumuuliza kura za nini? Akaniambia za tuzo. Nikamuuliza tuzo zipi? Akaniambia umependekezwa kwenye tuzo ziitwazo Tanzania Inspiration Awards. Nikamwambia sina taarifa. Akanitumia...
  16. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Maisha ya uzee mambo gani ya kufanya nikiwa najiandaa na uzee wangu?

    Za leo waungwana, uzee sasa umepiga hodi na nguvu zimeanza kuniishia. Maisha ya uzee yameshaniingia, ni vitu gani nifanye au niandae, ili nisikose mlo pamoja na majukumu mengine ya muhimu ndani ya nyumba wakati huu kabla sijakaa chini kutokana na kuishiwa kabisa nguvu ya kutafuta. Asanteni...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Nataka nihame Tanzania, Naombeni mnipe ushauri kati ya Macau na Singapore ni wapi kuzuri zaidi?

    Nina elimu kubwa tu na umri unasogea. Hela ya kujiajiri sina. Naombeni mnipe ushauri kati ya Macau na Singapore ni wapi kuzuri zaidi? Nimechagua hizi nchi kwa sababu ukiwa na passport ya Tanzania huhitaji viza kuingia. Natanguliza shukrani zangu.
  18. KENZY

    JamiiForums Tanzania Tusitishane: Hakuna maisha baada ya kifo!

    Nijuavyo wapo binadamu baadhi wameyajua matamanio ya binadamu kiujumla!,namaanisha wanajua ubongo wa binadamu unataka kusikia nini..? Unafikiria nini juu ya mambo mtambuka na binadamu anahisia zipi juu ya maisha yake!. Hilo sijasoma mahali wala mada hii sijasoma mahali bali ni fikra zangu!,na...
  19. Liverpool VPN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amepinda mgongo kila siku ili familia yake iwe na maisha bora ila leo kagundua mtoto sio wake

    ..... Nyuzi ifutwe ..... Please delete Moderator
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Leo nimekutana na kipanga jeuri wa darasani. Kweli hakuna uhusiano wa uwezo darasani na wa maisha halisi

    Kila shule na kila faculty vyuoni ina hawa viumbe wanaitwa vipanga; ni watu ambao wanafanya vizuri sana darasani aidha kwa kutumia jitihada kubwa ama uwezo mkubwa wa akili waliojaaliwa. Tatizo sio kuwa kipanga, tatizo ni kuwa kipanga jeuri, ni wale watu wanaofanya vizuri darasani na kuona kwao...
Back
Top Bottom