Happy Birthday Joseph Mbilinyi Mbunge uliyeiletea heshima kubwa Mbeya , Mungu akupe Maisha Marefu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,617
218,040
Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia .

Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia unaitwa RAIS WA MBEYA , ulifutilia mbali mawazo hayo ya kizamani na kuonyesha mfano uliotukuka kwa kuongoza watu wasomi , Matajiri na wasio na njaa wa Mbeya ( ikumbukwe kwamba Mbeya hakuna njaa kabisa ), Umekuwa Role Model wa Vijana wengi wa Tanzania , hivi ninavyoongea umeifutilia mbali ccm Mkoa wote wa Mbeya , limebaki Jeshi la polisi na Tume ya uchaguzi tu .

Kwa niaba ya Wanasiasa wa kizazi kipya pamoja na Matajiri wenzangu wa Mbeya Mjini , Tunduma , Tukuyu na Kyela TUNAKUTAKIA A VERY HAPPY BIRTHDAY INDEED .

FB_IMG_1619865101558.jpg
 
Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia .

Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia unaitwa RAIS WA MBEYA , ulifutilia mbali mawazo hayo ya kizamani na kuonyesha mfano uliotukuka kwa kuongoza watu wasomi , Matajiri na wasio na njaa wa Mbeya ( ikumbukwe kwamba Mbeya hakuna njaa kabisa ), hivi ninavyoongea umeifutilia mbali ccm Mkoa wote wa Mbeya , limebaki Jeshi la polisi na Tume ya uchaguzi tu .

Kwa niaba ya Wanasiasa wa kizazi kipya pamoja na Matajiri wenzangu wa Mbeya Mjini , Tunduma , Tukuyu na Kyela TUNAKUTAKIA A VERY HAPPY BIRTHDAY INDEED .

View attachment 1770393
Happy Birthday Kamanda
 
A.k. a Mr II
 
Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia .

Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia unaitwa RAIS WA MBEYA , ulifutilia mbali mawazo hayo ya kizamani na kuonyesha mfano uliotukuka kwa kuongoza watu wasomi , Matajiri na wasio na njaa wa Mbeya ( ikumbukwe kwamba Mbeya hakuna njaa kabisa ), Umekuwa Role Model wa Vijana wengi wa Tanzania , hivi ninavyoongea umeifutilia mbali ccm Mkoa wote wa Mbeya , limebaki Jeshi la polisi na Tume ya uchaguzi tu .

Kwa niaba ya Wanasiasa wa kizazi kipya pamoja na Matajiri wenzangu wa Mbeya Mjini , Tunduma , Tukuyu na Kyela TUNAKUTAKIA A VERY HAPPY BIRTHDAY INDEED .

View attachment 1770393
Ishi sana BOSS
 
Kumbe naye anaficha umri wake wakati tunajua alizaliwa tarehe 1 Mei mwaka 1972?
 
Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia .

Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia unaitwa RAIS WA MBEYA , ulifutilia mbali mawazo hayo ya kizamani na kuonyesha mfano uliotukuka kwa kuongoza watu wasomi , Matajiri na wasio na njaa wa Mbeya ( ikumbukwe kwamba Mbeya hakuna njaa kabisa ), Umekuwa Role Model wa Vijana wengi wa Tanzania , hivi ninavyoongea umeifutilia mbali ccm Mkoa wote wa Mbeya , limebaki Jeshi la polisi na Tume ya uchaguzi tu .

Kwa niaba ya Wanasiasa wa kizazi kipya pamoja na Matajiri wenzangu wa Mbeya Mjini , Tunduma , Tukuyu na Kyela TUNAKUTAKIA A VERY HAPPY BIRTHDAY INDEED .

View attachment 1770393
Mkuu Sugu kaleta heshima gani hapo Mbeya? Ubunge ndio umemfanya Sugu afike hapo alipo,sana sana alikuwa akijimilikisha vyanzo vya maji na ardhi mali ya wapiga kura wake, yeye ndie alitakiwe awashukuru watu wa Mbeya kwa kuwa sasa hataimba tena muziki kwa shida kama ilivyokuwa awali, sasa kabaki kuota tu mjengo alikokuwa akizungusha kiti na kutukana watu, sasa aatatukana huko hotelini kwake.
 
Msalimie Mwakyembe
 
Back
Top Bottom