maisha

  1. D

    JamiiForums Tanzania Furaha ni nini? Nitaipataje furaha?

    Habari wanabodi Mimi ndugu yenu naishi maisha ya kawaida tu, ashukuriwe muumba nina kipato cha kuweza kubadili mboga na kadhalika, naamini nimependelewa kuliko wengi wanaonizunguka, sitaki kujikweza lakini si haba (ashukuriwe aliye juu). Naishi maisha ya kawiada (common man life), tatizo...
  2. AfricaUnited

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kufanikiwa maisha haya?

    Habari zenu wanajamvi, wakubwa zangu shikamoni! Katika maisha haya yanayoenda kasi tofauti na karne ya 19 na 20, suala la kutoboa linahitaji kuwa na akili ya kujiongeza sana na mengine mengi. Katika kufanikiwa kimaisha kuna mambo mengi sana unayafanya, lakini kuna moja tu utalifanya, basi ndio...
  3. Shadow7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli ya maisha yangu

    Kisa cha kweli kilichompata rafiki yangu. SEHEMU YA KWANZA Umasikini ulikua chanzo cha mimi kugundua mapema kabisa tofauti iliyokuepo kati ya baba na mama yangu, Nililala na baba na mama yangu chumba kimoja hadi nilipoanza darasa la kwanza hapo ndipo uhalisia ukauzidi nguvu ukimya wa kuzuga...
  4. Cpp

    JamiiForums Tanzania TCRA rungu lao lingekuwa linafika Kenya, wangeifungia Citizen maisha

    Hawa ndugu zetu Wakenya naona wameamua kuishika Serikali yetu sharubu kwa kutuita “Hamnazo”
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Niliwahi kutembea kwa mguu kutoka Posta mpaka Goba baada ya kukosa nauli

    Hakika maisha yana changamoto. Miaka 6 nyuma nikiwa katika harakati za kutafuta kazi Dar es salaam nikitokea mkoa nakumbuka nimewahi kuswaga mguu Posta- Goba baada ya mfuko kukosa mia 4 ya daladala. Hii ilijitokeza mara nyingi tu. Unatembea mpaka unajiona huna akili au hauko katika hesabu ya...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi apoteza maisha baada ya kupigwa kichwani na Mwalimu

    Wazazi waliokuwa na hamaka walivamia shule ya msingi ya Gitithia eneo bunge la Lari wakitaka kukamatwa na kuzuiliwa kwa mwalimu aliyemtandika mwanafunzi ambaye baadaye aliaga dunia. Mwanafunzi huyo aliyetambuliwa tu kama Wambui anasemekana alipigwa kichwani na mmoja wa walimu wakati alikuwa...
  7. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania Serikali fungeni shule na vyuo kuokoa maisha

    Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao! Covid haina madhara makubwa kwa vijana na watoto, wanaugua na kupona tena bila dawa za maana. Tatizo ni kuwa...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, Tuliowapa dhamana ya kulinda maisha yetu wameyaweka rehani?

    Unapata taarifa kuwa Waziri mwenye dhamana na afya za watanzania ataongea na waandishi wa habari mbele ya luninga. Kinachofuata unashuhudia Waziri na naibu wake wakijifukiza na kisha kushushia na Nircamf amabayo inawakereketa kohoni Hii yote ni baada ya Maalim Seif (Rip) ambae anaweka...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Musa Rajabu Mfinanga afariki dunia baada ya kupata Changamoto ya Upumuaji

    By Mchambuzi kupitia Twitter: TANZIA 👉Wapendwa nasikitika kutangaza kwamba rafiki yangu wakili msomi Musa Rajabu Mfinanga ameaga dunia leo kwa changamoto ileile Tafadhali tuchukueni hatua. Poleni wanasheria wote na mhimili wa mahakama.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Haya Maisha nyie acheni tu, Mzungu mwenyewe hapa alichoka kabisa

    Unajua sisi tumekua katika mazingira ambayo kuna vitu huwa tunaona vya kawaida kumbe sivyo. Yaani tunaamini ndio ilivyo kwa watu wote. Yale maisha mfano watu walikuwa wanalalamika kuwa bei ya sukari kuna kipindi imepanda nikawashauri badala ya kununua sukari wawe wananunua Asali ndo nzuri...
  11. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, kweli tangu awamu ya tano iingie madarakani gharama za maisha hazijapanda? Kuwa na huruma kwa Watumishi wa Umma

    Ndugu zangu wana JF, majibu ya PM Kassim Majaliwa yanashangaza sana na kutia ukakasi. Majibu aliyotoa kwa mbunge wa Konde kuwa kuongeza mishahara huongez gharama za maisha ni fedheha kubwa kwa watumishi wa umma. Hivi PM Majaliwa tokea umekuwa waziri mkuu wa Tanzania unataka kusema kuwa gharama...
  12. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa karne hii, je ni bado elimu ni ufunguo wa maisha

    Habari wanabodi! Bado najiuliza maswali mengi kuhusu elimu yetu na majibu sipati. Nahisi wazee wa zamani waliturocha Leo hii namkumbuka Mr Yebo alishawahi "kuimba wazeee wa zamani mna......." "Wazee wazamani mli tu............" Je bado elimu ni ufunguo wa maisha,au pesa ndio imebaki kuwa...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Tunaboresha maslahi ya Wafanyakazi, sio lazima tuseme hadharani

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imejifunza kuwa inapotangaza hadharani kuhusu kupandishwa mishahara, kumekuwa kunatengeneza gharama kubwa na kusababisha ugumu wa maisha ya wengine. Ameeleza hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Konde (ACT-Wazalendo) Khatib Haji aliyehoji ni lini...
  14. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Viongozi acheni utani wa maisha ya raia wenu, chukueni hatua za haraka kabla nchi haijageuka kuwa graveyard

    Mwaka jana tuliishinda corona kwa sababu zifuafazo: 1. Serikali ilikuwa mstari wa mbele kusimamia mapambano ya corona 2. Kulikuwa na taskforce inayoshughulika na wagonjwa wa corona. Kama mgonjwa yuko nyumbani mlikuwa hamruhusiwi kumsafirisha ila mnapiga simu anafuatwa nyumbani ili kuepusha...
  15. Naja naja

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu mpaka nataka kuwa mshirikina

    Maisha magumu sana mpaka nataka kujaribu ushirikina watu wananishauri huenda nyota yangu imefifishwa maana kila jambo linaishia njiani na kuharibika kabla halijafanyika. Nimeshaahidiwa kazi hata humu JF na baadhi ya members lakini ghafla ukungu unaingia mtu anaingia uzito hatimaye ananipotezea...
  16. Mtini

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu katika maisha; niliyoyaona katika Mahakama za Mwanzo yanatisha

    Wasalam, Leo nimependa kushare nanyi baadhi ya mambo ya kusikitisha yanayoendelea katika mahakama za mwanzo na si kwamba yanafanywa na mahakimu wote la hasha bali wachache wenye nia ovu. Naandika haya si kuwa nimesimuliwa hapana ila ni mambo yaliyonitokea miaka ya nyuma kipindi biashara yangu...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, kwa maono yako unaionaje dunia mwaka 2100 (Maisha, Teknolojua, Mazingira, Imani, n.K)

    Kwangu naona dunia kwa mwaka 2100 wengi humu tutakuwa tupo kwenye makazi yetu ya kudumu. Naiona dunia hapa kwetu tutaanza utaratibu wa mazishi kwa kuchomwa moto kwasababu ya changamoto ya ardhi. Naiona dunia miaka hio, mambo ya ushoga, usagaji, kubadili jinsia yatakuwa katika kiwango cha juu...
  18. Liverpool VPN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha maisha yangu:- Mchungaji ndie aliyesababisha nighairi kuoa na amenifanya kanisani nikuone mbali

    Unajua kwanini HUWA SIKUBALIANI NA KUOA KABISAAA... Sababu ni hiii 👇👇 Mwaka 2015 nilikutana na binti wa kichaga Facebook. Tulianza urafiki na baada ya muda mrefu tukaingia uchumba. Nilimuahidi kumuoa na kuthibitisha hili nikawa close na familia yake. Alikua anaishi na dada ake mjini Dsm...
  19. Mwanga Lutila

    JamiiForums Tanzania Tuliopitia maisha ya "Saidia Fundi" tukutane hapa

    Hii mikazi sidhani kama kuna mtu anapenda kuifanya ila kuna stage ilitubidi wengine tufanye ili tusukume siku. Wapo ambao zimewatoa, na tupo ambao hazikututoa. Niliacha hii mikazi kipindi hicho napambana life baada ya braza mmoja aliyekuwa ameshika kazi, akishachukua mpunga kwa bosi basi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda kinauzwa cha kizamani kinafaa kwa shambaboy au anayeanza maisha

    Habari Kitanda cha kizamani 4*6 mninga na godoro lake naviuza kwa pamoja elfu 70. Kipo Kigamboni mbele ya Kibada. Godoro halijachoka lipo safi. Nimeambatanisha na picha. Mawasiliano 0622 426120.
Back
Top Bottom