Ushauri: Baba hataki nimuoe binti kisa baba yake mkubwa alikuwa mwizi!

Ototo

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
1,215
1,076
Habarini za wakati huu mabibi na bwana wa JF.......!

Mimi ni kijana wa kwanza kuzaliwa kwa wazazi wangu.

Kwa sasa nina umri wa miaka 27, kama mjuavyo huo ni umri sahihi kabisa wa mimi kuwa na mwenza wa kusaidiana nae kulisongesha gurudumu la maisha...!

Na mzee wangu amekua mastari wa mbele katika kunisisitiza nioe haraka iwezekanavyo....!

Sasa mchumba niliyempata kwa upande wake yuko vizuri kuanzia tabia yake, matendo yake...! Kiukweli ni binti aliyejitunza na kujiheshimu sana, vijana wa kileo tunaita "wife material" na halikadhalika mama yake ni mama anayejishemu na kuheshimu ndoa yake sana....!

Tatizo ni pale nilipomjulisha baba yangu juu ya kutaka kumuoa huyo binti....! Baba mwanzoni alikubali na kumsifia sana yule binti maana anamfahamu,....! Tunaishi jirani tu

Ila mzee hakuishia hapo akafanya uchunguzi akagundua baba yake mkubwa na huyo binti alikua mwizi...! Na aliuwawa kwa ajili ya wizi, kwa mantiki hiyo baba yangu kasema siwezi kumuoa sababu ya baba ake mkubwa kuwahi kuuwawa kwa ajili ya wizi....!

Akiwa na maana ya kwamba hata kizazi changu kinaweza kuwa cha wizi....!

Sasa ndugu zangu hiyo sababu inatosha kweli kumuacha binti wa watu, kwa kuhofia kuja kupata kizazi cha wizi? Hivi wizi huwa nia tabia ya kimalezi au kurithi?

Ushauri wako kwangu ni muhimu sana....! Maana jf kuna ma great thinker wengi
 
Habarini za wakati huu mabibi na bwana wa jf.......!

Mimi ni kijana wa kwanza kuzaliwa kwa wazazi wangu.

Kwa sasa nina umri wa miaka 27, kama mjuavyo huo ni umri sahihi kabisa wa mimi kuwa na mwenza wa kusaidiana nae kulisongesha gurudumu la maisha...!

Na mzee wangu amekua mastari wa mbele katika kunisisitiza nioe haraka iwezekanavyo....!

Sasa mchumba niliyempata kwa upande wake yuko vizuri kuanzia tabia yake, matendo yake...! Kiukweli ni binti aliyejitunza na kujiheshimu sana, vijana wa kileo tunaita "wife material" na halikadhalika mama yake ni mama anayejishemu na kuheshimu ndoa yake sana....!

Tatizo ni pale nilipomjulisha baba yangu juu ya kutaka kumuoa huo binti....! Baba mwanzoni alikubali na kumsifia sana yule binti maana anamfahamu,....! Tunaishi jirani tu

Huwa inasemekana, mtoto hufata Sana tabia za kutoka kwa mzazi wa kike na uzao wao hasa maankoli, iyo ndio sababu baba kagoma na hakuna lingine.

Ikumbukwe hakuna mzazi anaeweza kuona tatizo na asimwepushe mwanae, unless hakupendi, ila ongea nae athamini hisia zako pia na ufanye uchunguzi baada ya kusikiliza sababu za mzee, tafuta wazee wengine pia ujiridhishe ili unapomjibu uwe well informed
 
Mahusiano siku zote ni watu wawili ukiingiza mtu wa tatu tiyali mahusiano yameshaingia dosari

Kosa kubwa mleta mada nikumwingiza baba yako katika mahusiano yako kama mtu wa tatu katika mahusiano yenu .
 
Kizungumkuti anasingiziwa tu... Tatizo ni baba yako ambapo wewe unalikuza tatizo hilo kwa kukubali baba akuchagulie mke.

Ingekuwa tabia za watu wa zamani zinahamia kwa vitukuu basi sisi tungeishi kwenye safina kama babu yetu nuhu
 
Sasa hiyo tabia ya wizi haipo kwa binti wala mama yake wala baba yake mzazi, ilikua kwa baba yake mkubwa....! Ila shukrani sana kwa muda wako boss
 
Pole sana mkuu...ila hiyo sio sababu tosha ya kufanya umuache binti wa watu...ongea na dingi vizuri usiongee nae km baba
 
Kizungumkuti anasingiziwa tu... Tatizo ni baba yako ambapo wewe unalikuza tatizo hilo kwa kukubali baba akuchagulie mke.

Ingekuwa tabia za watu wa zamani zinahamia kwa vitukuu basi sisi tungeishi kwenye safina kama babu yetu nuhu
Ushauri nitauzingatia mkuu
 
Habarini za wakati huu mabibi na bwana wa jf.......!

Mimi ni kijana wa kwanza kuzaliwa kwa wazazi wangu.

Kwa sasa nina umri wa miaka 27, kama mjuavyo huo ni umri sahihi kabisa wa mimi kuwa na mwenza wa kusaidiana nae kulisongesha gurudumu la maisha...!

Na mzee wangu amekua mastari wa mbele katika kunisisitiza nioe haraka iwezekanavyo....!

Sasa mchumba niliyempata kwa upande wake yuko vizuri kuanzia tabia yake, matendo yake...! Kiukweli ni binti aliyejitunza na kujiheshimu sana, vijana wa kileo tunaita "wife material" na halikadhalika mama yake ni mama anayejishemu na kuheshimu ndoa yake sana....!

Tatizo ni pale nilipomjulisha baba yangu juu ya kutaka kumuoa huo binti....! Baba mwanzoni alikubali na kumsifia sana yule binti maana anamfahamu,....! Tunaishi jirani tu

Ila mzee hakuishia hapo akafanya uchunguzi akagundua baba yake mkubwa na huyo binti alikua mwizi...! Na aliuwawa kwa ajili ya wizi, kwa mantiki hiyo baba yangu kasema siwezi kumuoa sababu ya baba ake mkubwa kuwahi kuuwawa kwa ajili ya wizi....!

Akiwa na maana ya kwamba hata kizazi changu kinaweza kuwa cha wizi....!

Sasa ndugu zangu hiyo sababu inatosha kweli kumuacha binti wa watu, kwa kuhofia kuja kupata kizazi cha wizi? Hivi wizi huwa nia tabia ya kimalezi au kurithi?

Ushauri wako kwangu ni muhimu sana....! Maana jf kuna ma great thinker wengi
Muulize vizuri dingi kama sababu ndio hiyo au kuna nyingine anayoijua yeye peke yake? Nakushauri mshirikishe mama labda atampa sababu tofauti na hiyo, hiyo sababu ni duni sana na haina mashiko. Muhimu zaidi muhusishe mzee anayeheshimika kwa dingi yako, nadhani watayajenga na lengo lako litatimia.

Vv
 
Mahusiano siku zote ni watu wawili ukiingiza mtu wa tatu tiyali mahusiano yameshaingia dosari

Kosa kubwa mleta mada nikumwingiza baba yako katika mahusiano yako kama mtu wa tatu katika mahusiano yenu .
Mkuu huyo binti nahitaji kumuoa sio mahusiano ya boyfriend na girlfriend, hivyo mzazi lazima ahusike
 
Wa kulaumiwa ni bamkubwa kwanini aliiba kizembe akauwawa.

Lawama zote ziende kwake.
 
Habarini za wakati huu mabibi na bwana wa jf.......!

Mimi ni kijana wa kwanza kuzaliwa kwa wazazi wangu.

Kwa sasa nina umri wa miaka 27, kama mjuavyo huo ni umri sahihi kabisa wa mimi kuwa na mwenza wa kusaidiana nae kulisongesha gurudumu la maisha...!

Na mzee wangu amekua mastari wa mbele katika kunisisitiza nioe haraka iwezekanavyo....!

Sasa mchumba niliyempata kwa upande wake yuko vizuri kuanzia tabia yake, matendo yake...! Kiukweli ni binti aliyejitunza na kujiheshimu sana, vijana wa kileo tunaita "wife material" na halikadhalika mama yake ni mama anayejishemu na kuheshimu ndoa yake sana....!

Tatizo ni pale nilipomjulisha baba yangu juu ya kutaka kumuoa huo binti....! Baba mwanzoni alikubali na kumsifia sana yule binti maana anamfahamu,....! Tunaishi jirani tu

Ila mzee hakuishia hapo akafanya uchunguzi akagundua baba yake mkubwa na huyo binti alikua mwizi...! Na aliuwawa kwa ajili ya wizi, kwa mantiki hiyo baba yangu kasema siwezi kumuoa sababu ya baba ake mkubwa kuwahi kuuwawa kwa ajili ya wizi....!

Akiwa na maana ya kwamba hata kizazi changu kinaweza kuwa cha wizi....!

Sasa ndugu zangu hiyo sababu inatosha kweli kumuacha binti wa watu, kwa kuhofia kuja kupata kizazi cha wizi? Hivi wizi huwa nia tabia ya kimalezi au kurithi?

Ushauri wako kwangu ni muhimu sana....! Maana jf kuna ma great thinker wengi
Kama mzee wako anaona huyo binti akufai basi mwambie akutafutie binti anayeona atakufaa

Ikumbukwe ya kwamba huyo binti umesema Ni wife material wakati mzee wako anaona huyo binti na familia yake mwanae anakuona haikufai kuoa kuna watu Au mtu anamsumbua huyo binti huyo anataka kumuoa
 
Mpe mimba huyo binti alafu mwambie mzee inabidi tuoane na sina namna kwa kuwa tayari ni mjauzito na sitaki mtoto wangu akose malezi yangu.
 
Back
Top Bottom