mabasi ya abiria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    Madereva wa mabasi ya abiria Tanzania hawana akili ya kuendesha usiku,tutakwisha

    Safari za mabasi za usiku zilikuwepo kitambo,Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani akazifutilia mbali. Alijua akili zetu watanzania,madereva wetu hawana uwezo wa kuendesha usiku,kichwa kimejaa bange,pombe,madeni,michepuko huku unabeba roho za watu. Watatumaliza
  2. Makamura

    Mabasi ya abiria ni machafu, Nacharo T 706 DVF wajirekebishe

    Nawasilisha hili kwa wasafiri wenzangu wa mara kwa mara na kwa wenye nafasi ya kufikisha taarifa hii kwa wahusika. Kuna kampuni ya usafirishaji abiria inaitwa Nacharo Royal Bus, ambao hufanya safari za Tanga Dar nk. Kuna hili bus lao moja usajili wake ni T 706 DVF ni chafu linanuka uvundo na...
  3. Roving Journalist

    Madereva wa mabasi ya abiria watakiwa kuacha matumizi ya vilevi kuepuka ajali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limefanya ukaguzi wa mabasi ya abiria katika Stendi Kuu ya Mabasi kabla ya kuanza safari na kuwataka madereva kuzingatia Sheria, Kanuni, Alama na Michoro ya Usalama Barabarani ili kuepuka ajali. Akizungumza Disemba 23, 2023...
  4. Teko Modise

    Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

    Hakuna tena kukosa mechi au vipindi vya AzamTv ukiwa safarini. Baada ya AzamTv kuleta ving’amuzi ambavyo unaweza ukafunga kwenye magari, mabasi ya mikoani yamechangamkia fursa. Mabasi kama Mallesa, Achimwene na Shabiby yashafungwa na wateja wana enjoy. Tumpe mzee Bakhressa maua yake ayanuse...
  5. peno hasegawa

    Kilwa: Ajali yaua saba na kujeruhu 22

    Nimeandika tu. Kuna ajali imetokea Kila leo na watu zaidi ya 7 wamefariki Dunia. LATRA wako kimyaaaa
  6. JanguKamaJangu

    Serikali yaruhusu Mabasi ya abiria kusafiri kwa saa 24

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeruhusu Mabasi ya abiria kufanya usafirishaji wa Saa 24, baaada ya kujiridhisha kiusalama, mwamko wa wananchi, huduma za mawasiliano pamoja na miundombinu ya usafirishaji. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Jumanne Sagini wakati...
  7. M

    China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

    Kwa miaka 9 mfululizo kampuni ya Yutong ya China imekuwa kinara kwa kuuza mabasi mengi zaidi duniani. Utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria imekuwa biashara kubwa yenye ushindani hasa mabasi ya umeme. Mabasi yamekuwa yakitengenezwa kwa kazi na makusudi tofauti tofauti. Kinachoangaliwa...
  8. BARD AI

    Doria ya Mabasi ya Abiria kufanyika kwa saa 24 Barabarani

    Jeshi la Polisi limetoa maagizo kwa makamanda wa mikoa yote nchini kuhakikisha wanafanya doria katika barabara zote zitakazotumiwa na mabasi yatakayokuwa yanafanya safari zake saa 24 katika kudhibiti aina zozote za kihalifu. Huo ni utekelezaji wa agizo lilotolewa, Juni 28, mwaka huu na Waziri...
  9. Kiplayer

    Betting mabasi ya abiria zinanikera

    Kuna mambo mawili binafsi yananikera katika usafiri wa mabasi ya ruti ndefu tz. 1. Mabishano ya wanaoitwa wanazi wa makampuni ya mabasi juu ya ubora wa gari zinazotumika na kipimo ni mwendokasi. 2. Betting ya basi lipi litawahi kufika eneo Fulani. Yote haya yanachochea mwendokasi na rafu...
  10. The Sunk Cost Fallacy 2

    Serikali kupitia LATRA yaruhusu mabasi ya abiria kuanza safari za mikoani Saa 11 Aflajiri

    Hamjambo! LATRA imetoa kibali cha ruhusa kwa mabasi ya Abiria wa mikoani kuanza safari kuanzia saa 11 alfajiri badala ya saa 12 kama ambavyo imezoeleka. Kwa mujibu wa Taarifa kutoka LATRA, kikao cha wadau kimeafikiana uamzi huo hasa kwa Mabasi ya masafa marefu. Kwa uamzi huu, abiria jiandae...
Back
Top Bottom