Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,786
5,611
Hakuna tena kukosa mechi au vipindi vya AzamTv ukiwa safarini.

Baada ya AzamTv kuleta ving’amuzi ambavyo unaweza ukafunga kwenye magari, mabasi ya mikoani yamechangamkia fursa.

Mabasi kama Mallesa, Achimwene na Shabiby yashafungwa na wateja wana enjoy.

Tumpe mzee Bakhressa maua yake ayanuse angali hai.

IMG_8740.jpeg
 
View attachment 2818129
Wapumzike sasa kumuweka Mkojani
 
54 Reactions
Reply
Back
Top Bottom