kwema wakuu,
Mdogo wenu huu mwaka nimejitafuta nataka nikanunue uwanja mwsho wa upepo uko ndani ndani.
Sasa sijui chochote kuhusiana na kununua uwanja naombeni mnipe muongozo mdogo wenu napoenda kukamilisha hii ndoto yangu maana naogopa kutapeliwa wakuu
Habari wana Jamii.. Nilikua na omba kujua namna ya kupata connection ya kazi/ajira Kwenye Mashirika ya kimataifa kama vile UN,Unicef na kadhalika .. Nina Degree ya Account na CPA.
Shukran..
Huu umeme wa TANESCO kumbe unazitambua sikukuu?
Kwamba huwepo kwenye sikukuu na kuwa zikiisha tu, ile kazi pendwa ya awamu #6 inaendelea!
Bila shaka hapa tulipo sasa itakuwa bila bila, hadi mwaka mpya.
Ipo haja ya kuingia chimboni kutafuta namna ya kutunza umeme kwa matumizi ya baadaye pindi...
Habarin ndugu zangu kwemah!!? Najua watu wengi huenda kwa waganga mbalimbali wengine wanawaganga wao binafsi au wengine utasikia kwetu nimeata au wamejizindika miili yao , swali langu mm ni ivi kwa watu kama ao huo wanaMuomba Mungu pia katika mambo mengine mengi yanayomuhitaj Mungu mfano labda...
Habarin ndugu zangu kwema?
Najua watu wengi huenda kwa waganga mbalimbali wengine wanawaganga wao binafsi.
Swali langu mimi ni hivi kwa watu kama hao huwa wanaMuomba Mungu pia katika mambo mengine mengi yanayomuhitaj Mungu?
Mfano labda kuota ndoto mbaya katika maono
Habari.
Muda wa ku renew bima za vijibanda vyangu umekaribia ila kusema ukweli kampuni niliyopo niliingia tu kwa ushawishi wa rafiki yangu anayefanya hapo ila natamani kujua kama kuna kampuni bora na ya uhakika zaidi nikishawishika nihame.
Wenye mijengo yenu mloikatia bima za moto naomba...
Habari za uzima ndugu zangu, ndio tunaumaliza mwaka huu kwa kishindo, baada ya kujichanga ndani ya mwaka huu, nimetenga bajeti ya Tsh. laki 5 kwaajili ya kubadilisha maandhari na kuatafakari mambo mapya kwa mwaka ujao wa 2024.
Baada ya kutafuakari kwa kina nimeona niende Morogoro (wanasema mji...
Muda mfupi uliopita, kulikuwa na mwanamke ambaye alitaka kujua jinsi mume wake angefanya ikiwa angeondoka bila kumwambia alikokwenda.
Aliamua kumwandikia barua akisema amemchoka na hataki kuishi naye tena.
Baada ya kuandika barua hiyo, aliiweka juu ya meza ya chumbani kisha akaingia chini ya...
Habari wanajamvi.
Moja kwa moja kwenye mada.
Hivi karibuni kumezuka taharuki ambayo haikuwa na sababu ya msingi, juu ya wapi alipo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Isdory Mpango. Makamu huyu alikuwa hajaonekana hadharani kwa takribani mwezi mzima kwa mujibu ya vyanzo vya habari ikiwamo...
Ukisoma katika biblia Mwanzo 2:24 haijalazimisha kuwa ili unganiko lenu liwe halali ni lazima ndoa ifanyike kanisani (kwa Wakristo).
Kufunga ndoa kidini ni UTARATIBU WA KIBINADAMU ULIOPANGWA AU NI UTARATIBU WA "LAZIMA" WA MUNGU?
Katika hatua za ukuaji wangu nikiwa mdogo zamani! Nilibahatika kupata kazi ya kuchunga ng'ombe huko wilaya ya Hanang!
Nikiwa huko porini nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana yakiwemo mbinu za kulinda mifugo, madawa za mitishamba ya binadam, ishara ya mmea kuashilia matukio ya njaa au hatari...
Wasalaam wana jamvi
Nimekuwa nikipita bango la Akuzamu International Church maeneo ya njia panda ya Bahari Beach kila mara.
Naomba kujua zaidi kwa mwenye undani au ufahamu wa hili kanisa.
Asanteni.
Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, baada ya kukaa na kufikilia sana nataka kununua jiko la gesi la Gesi la Plet 6 (4-Gesi + 2-Umeme), nina familia ya mimi na shemeji yenu tu na sitaki kuja kununua tena Jiko uko mbeleni ndio maana nimeamua ninunue la plet izo 6 (USHAURI UNARUHUSIWA)...
Kama swali linavyo uliza hapo juu.
Ningependa kufahamishwa taifa letu lina washauri wangapi wa kimataifa katika uchumi na kutoka nchi gani?
Mwenye kujua anijuze tafadhari.
MIMI; Hivi unajua unaibiwa sana kila siku, tena bila kujua?
WEWE; ‘Aaah wapi! Mimi ni mtoto wa mjini, siwezi kuibiwa kizembe, wewe unaongea tuu’
MIMI; Ni kweli wewe ni mtoto wa mjini, Lakini usisahau kwamba; ‘Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu’ Na inawezekana tundu ulilonasa wewe siyo bovu...
Mambo mengi sana yamezungumzwa kuhusu mapenzi na ndoa kwa ujumla. Hata hili ninaloandika ni kama kukazia tu. Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema ni kuwa mwanaume yeyote kama kichwa cha familia ndo huamua familia yake iweje. Mwanaume ndo kabeba taswira nzima ya familia yake. Mimi leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.