Kuna umuhimu Mke kujua kipato cha Mume?

Kuna umuhimu mmeshakuwa mwili mmoja.Atakusaidia na kufanya mipango mbali mbali ndani ya nyumba bajeti ya chakula watoto ada mavazi.

Hata jkikosa yupo tayari kusaidia maana anajua unavyojitolea kwaajili ya familia.

Na yeye kipato chake kinapaswa kijulikane chote ndyo umwili mmoja huo.
 
Umuhimu upo tena mkubwa sana. Na wanaume tunapenda wanawake zetu wajue vipato vyetu ikibidi wazishike hizo hela wao ili sisi tusiwe na matumizi ya hovyo wakati wao wanatusaidia kupanga matumizi.

Ila sasa changamoto iliyopo sasa, wanawake zetu especially hawa wa kisasa wana mentality za kibinafsi sana na wamejawa na roho za husuda na vigeugeu.

Akijua una 1milion atataka yeye ndio aipangie matumizi na atataka kukuuliza nje ya hiyo million kuna kipato kingine tena?
 
Back
Top Bottom