Pamba Anord
New Member
- Nov 25, 2023
- 4
- 8
- Kuna watu hata wateswe mara ngapi na mapenzi, hata waachwe mara ngapi, wao kila siku wanapenda tena watu wapya.
- Kuna wengine, hawawezi kuishi bila kufanya mapenzi na (hawajaoa wala kuolewa).
- Wengine kuwa na mpenzi mmoja tu hawawezi, yaani mpaka awe na wengi ndIo anajskia yupo kwenye mapenzi sasa.
-Wengne mUda wote wanawaza mapenzi tu.
Utafiti uliofanywa na Dr. Zeki pamoja na Bartels mwaka 2000 kutoka chuo cha London na ule wa Prof. Lucy Brown kutoka chuo cha Albert Einstein mwaka 2005, uliolenga kubaini mfumo wa hisia za Mapenzi ndani ya Ubongo unavyofanya kazi, kupitia vipimo vya Magnetic Resonance Imaging (MRI) ulibaini kuwa; mtu anaweza kuwa mraibu wa mapenzi sawa na mtu ambaye anatumia madawa ya kulevya au bangi!