Kuna wale waliodanganywa na wachonga hadithi kwamba Wayahudi hawakuwepo pale ila walikusanywa kutoka Ulaya na Mwaka 1947 wakapelekwa pale baada ya kukataa kupelekwa Uganda huu ndiyo wakati wa kuyaondoa matongotongo akilini.
Nimewatufutieni clip hii kwa makusudi. Hii vielelezo vyake vyote vipo...
Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF
Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila...
Vita ya Kagera ya mwaka 1978/79 iliyopiganwa ili kuokoa mipaka yetu ilikuwa ya aina yake.
Tulifanikiwa kushinda lakini ilituachia maumivu pengine mpaka leo.
Moja ya vivutio ilikuwa ni uzalendo mkubwa wa wapiganaji wetu kutoka JWTZ.
Palikuwa na Majenerali walioongoza brigedi mbalimbali...
Habari wana JF.
Kuna Ndoa imevunjika hapa ndoa ya miaka 15.
Mke alizaa kabla ya ndoa, sasa mama huyu alimficha mtoto,
Huyu mtoto alikuwa anaishi na Baba yake.
Mume alijua kwa mawasiliano ya simu Mama alipokuwa anaongea na mwanae.
Na mtoto ana umri wa miaka 20.
Mume wa ndoa kazaa naye...
Nimesikia katika online TV moja kuwa timu ya Far Rabat ikinolewa na nabi kipara former kocha wa yanga , haitashiriki shirikisho kulingana na Sheria mpya , sote tunajua awali ilikuwa ilikuwa ukitolewa hatua hii unaangukia shirikisho kama ilivyokuwa Kwa yanga mwaka Jana.
Kwa anayejua atusaidie...
Habari, mwenye kujua kampuni kongwe inayohusika na usafirishaji mizigo kutoka Uk ilionunuliwa kupitia ebay au amazon ama duka lolote, nitashukuru kwa msaada
Wakuu kwa anayetumia Vodacom M-Pesa Visa kulipia online naomba kujua ada ni asilimia ngapi. Nimeuliza customer care kupitia Whatsapp yao naambiwa ni 10%. Siamini kama ni ghali hivyo maana naona Safaricom ya Kenya wanachaji 3.5%.
Zamani nilikuwa natumia Mastercard yao haikuwa ghali kiasi hicho...
Katika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James.
19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile.
Watu...
Raisi Samia sasa ameanza kuwa myeyushaji na mpotoshaji na hili ni la kusikitisha sana. Watanzania wamekuwa na hii katiba zaidi ya miaka 30 lakini ni zaidi ya miaka 10 sasa tunaongelea katiba mpya. Bunge la katiba liliundwa, maoni ya katiba mpya yalikusanywa kwa gharama kubwa na leo unataka...
Nasikia mto Ruvu unaanzia mbali huko, ninaomba nipate elimu ya mto huu. Kwamba maeneo unayopita tofauti ni majina mto ni ule ule. Msaada wajuzi wa mambo.
Katka picha
Moja kwa moja kwenye mada naomba kujua stahiki za mtumishi anapokuwa " UHAMISHO WA MUDA" ambao nafikiri ni siku 90 au 120 kama sijakosea.
Mimi Niko uhamisho wa muda hivyo naomba kujua haki zangu na ikiwezekana wajuzi niwekee ni sheria za kiutumishi zinasimamia jambo hili.Naona boss ananichezea...
Wataalamu wa masuala ya kiasiasa na hata wa lugha ya kiswahili naomba kujua tofauti ya maneno haya.
Makamu, Naibu na msaidizi.
Kuna makamu wa Rais, Naibu katibu, na Katibu msaidizi.
Kwa Nini isiwe naibu mwenyekiti, au makamu wa katibu, Naibu mwenyekiti?
Kwa kweli sijui kwa Nini Yako hivi...
Mimi sio mtaalamu wa masoko yoyote ya dunia, nimekuja hapa kuuliza bei za mafuta katika soko la dunia ni bei gani?
Dhumuni la kuuliza bei ni kutaka kulinganisha bei ya hapa tanzania ni sawa kwa uwiano na bei za dunia?
Kuna komenti moja nimesoma humu jamaa kasema bei ya pipa moja iran na urusi...
Mke wangu mbegu nyingi humtoka baada ya kusex naye nashindwa kuelewa maana bado hatujapata mtoto na mimi ndo mtoa bikira karibia mwaka sasa
Embu nipeni shule maana hasikii maumivu yoyote kama nilivyo ambiwa kuwa kunaweza kukawa na kitu kama kidole kina zuia mbegu kwenda mbele
Hakika shetani ana trick za ajabu sana anapotaka kutenda au anapotenda uovu wake kwa kuwatumia watu waovu hususani viongozi wenye dhamana kubwa za kuongoza nchi na wananchi wa nchi yetu..
Hebu twende pamoja, soma na sikiliza hii👇👇👇
Mkataba wa DP WORLD ni zaidi ya mkataba tu!
• Kumbe kulikuwa...
Ngoja nitafute sasa Video Clips zake nione akiwa na Wazungu (Wenye Lugha yao hii ya Kiingereza) huongea nao kwa Kujiamini na Mikogo aliyonayo kama akiwa anasoma katika Karatasi kwa Kuandikiwa na huenda wanaoijua hiyo Lugha (Kiingereza) zaidi yake.
Binafsi nijiweke tu Wazi kuwa sijui Kiingereza...
Silence is polite, silence gets people’s attention, further more, silence at the wrong time could be crushing weakness.
Tunaweza kufahamu ujinga wa mtu kwa kutazama anachokiongea. Tunaweza kufahamu huyu mtu anawaza Nini au alikuwa anawaza nini kwa kusikiliza anachokiongea.
Hivyo mtu akikaa...
Mabingwa watetezi Yanga SC wanaanza mbio za kulitetea taji la NBC kwa kumenyana na KMC.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 katika Dimba la Azam Complex
Katika mechi 10 walizokutana kwenye ligi kuu tangu wapande daraja msimu wa 2018/19, KMC wameshinda mara moja pekee dhidi ya Yanga, huku sare...
Jambo la kushangaza ni kwamba watu wanageuza mada walianza na kuupiga mwingi . Mara mtulivu.
Sasa anapongezwa kwa ukimya . Upi huo maana bila kuvuja mkataba wa bandar haya tungeyajuaje si alikiwa kimya pia.
Lakini tunajua alivyo ng'aka pale ndugai aliposema nchi inauzwa ..mama hana majibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.