kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwanini ukimtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la 10% kutoka katika Mshahara wako huku ukiwa na Furaha nae hukubariki maradufu?

    Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dini za wakoloni hazina maisha marefu Afrika. Watu wameanza kujua ukweli

    Jamaa ameongea maneno makubwa sana. Jamaa Kaniacha hoi mwishoni tu alivyomalizia na stiki ya kutolea meno tunaagiza china
  3. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Jina la pili la mwimbaji wa Injili Christina Shusho ni jina la nani yake?

    Tangu nianze kusikiliza nyimbo zake huyo mwimbaji namfahamu kwa jina la Christina Shusho. Hivi Shusho ni jina la baba yake na Christina au ni jina la ubini kwa familia ya aliyekuwa mumewe wake ? Naomba kufahamishwa.
  4. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa jamii kuhusu ushoga kunaupigia chapuo pengine bila kujua

    Mabibi na Mabwana! Siku za nyuma kidogo, kulikuwa na wimbi la kuona kila mtu mwenye mafanikio ni Freemason. Hii ilienda kisha ikapotea, sina uhakika ilipotelea wapi ila siku hizi sio habari tena. Sijui ndo agenda ilishatimilika au ilishakufa! Kwa sasa upepo umegeuka kwa kasi ya kimbunga, kila...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Gharama za kufanya Full Body Check-up katika Public and Private Hospitals Tanzania

    Itabidi ujikaze kupima tu, hakuna namna mzee! 😄, kila la kheri!
  6. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania Nijuzeni kuhusu snapchart

    Miezi ya hivi karibuni mwenzangu amekuwa busy sna na hii kitu na mimi binafsi sina ufahamu kuhusu matumizi yake Hebu tirirkeni hpa wakuu abc za huu mtandao angalau nijue kwa uchache maana nisije kuwa nakabia kati kumbe huku zinapigwa kaunta waletee......
  7. Dumuzii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

    Ndugu wajumbe ni hivi kuna hatua za awali as kutaka kujua kama mtoto ni wako au sio wako. Na hatua hizi huanzia tangu mtoto yupo tumboni. Kabla ya yote unatakiwa kujua kuwa mimba ni muunganiko wa Damu,nyama,mifupa na nafsi. Kwenye damu hapa watu ndio hutumia hadi vipimo kutaka kuangalia...
  8. Namche Bazar

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujua Square meters za eneo

    Heshima kwenu wana jamvi. Kuna jamaa aliniuzia eneo. Baada ya muda kupita bila mimi kwenda kutembelea eneo nahisi atakuwa amebadilisha mipaka ya eneo. Naomba mtu anayejua jumla ya hivyo vipimo ambayo vipo kwenye mita je ni jumla ni square meters ngapi kwa eneo langu lote.?? Nataka...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya pumba huko uliko

    Asalaam, Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini. Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko kwenu inafikia kiasi gani nione kama kuna uwezo wa kufanya business expansion kidogo. Natanguliza...
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye kujua dawa ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa anijuze

    Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex. Mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke. Hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika. Kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

    Hata wewe msabato unae waponda wakatoliki, kwa mantiki ya uzi huu, wewe pia unafanya ibada ya sanamu. Kwani ibada ya sanamu nini? Umewahi kusikia mashabiki wa mpira wanasema " kwenye timu hii golini kuna sanamu?" Je unadhani maana yake huwaga ni nini? Maana yake ni kwamba kwenye timu hiyo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Bmw 3series GT au 5series GT

    habari ndugu naomba kujua vizuri kuhusu bmw 3series gt 2013 - 2015 au 5series gt uzuri wake na ubaya pia
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha kujua kama mwanamke ana akili ama hana akili kwa kutazama mapishi yake

    Kama mwanamke anapika chakula anajaza chumvi nyingi kwenye mboga basi kuna uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo akawa na akili ndogo ama hana akili kabisa. Na kama chumvi inayo tumika ni chumvi hii ya kemikali ( ya dukani) basi uwezekano wa mwanamke huyo kutokuwa na akili unakuwa Mara dufu...
  14. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwanini whatsapp GB inaomba udownload official apps? GB inaondolewa?

    Wakuu habarini Nimetumia WhatsApp Gb muda mrefu sasa. Moja ya simu yangu imeomba nitafute official app kwenye playstore. Kabla ya hapo WhatsApp gb nilipatika kwa kudowload through akp kwenye search engine particularly chrome Je, ninkwamba gb whatsapp inatuagaaga au? Wajuzi msaada hapo?
  15. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua vita ya MAJIMAJI waliopigana ni mashujaa au walikosa elimu?

    Wakuu Habari za uzima? Natumai harakati zinaendelea za kulijenga Taifa. Napenda kuuliza vita ya MAJIMAJI iliyoongozwa na babu yetu kinjekitilingwale, je walikuwa mashujaa wa kutumia maji kama silaha au walikosa Elimu ya vita? Wana Historia mtupe madini.
  16. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua wanapouza miche ya MACADEMIA.

    Mimi ninaishi wilaya ya Temeke Dar es Salaam, ninahitaji kununua miche ya muda mfupi ya MACADEMIA, miche hiyo ipatikane Morogoro, Moshi na Dar es Salaam. Mnaomjua anayeiuza karibuni hapa uwanja ni wenu.
  17. Immortal Techniques

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanahitaji kujua ukweli kuhusu NHIF

    Ni vyema Serikali ije na ukweli kuhusu NHIF na siyo maneno tu Shirika limezidiwa, 1. Wanachama mpka sasa ni wangapi? 2. Michango ya NHIF inayokatwa Kwa waajiriawa na waajiri inapelekwa Kila mwezi bila kukosa? Hii ni Kwa Government/Private sectors. 3. Ni kiasi Gani Kwa Mwezi NHIF inakusanya...
  18. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kujua ukweli wa taarifa unazokutana nazo mtandaoni?

    Kukua kwa utandawazi kumepelekea wimbi la uzwalishwa wa taarifa potofu kuongezeka zaidi licha ya kuwepo tangu awali. Katika kukabiliana na wimbi hili zipo njia mbalimbali ikiwemo kuhakiki chanzo cha taarifa na kuuliza kwenye jukwaa la uhakiki kama hili la JamamiiCheck. Huwa unatumia mbinu gani...
  19. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuona jambo gani mtandaoni ukaliamini baadaye ukaja kujua si la kweli?

    Kwenye pitapita zetu mtandaoni au nje ya mtandao tunaona machapisho na kusikia vitu vingi, vingine vinashawishi kuviamini kabisa ila baadaye unakuja kugundua havina ukweli wowote. Je, ni kutu gani umewahi kukutana nacho ndani na nje ya mtandao kakiamii ila ukaja kujua siyo kweli baada ya...
  20. Donnyme

    JamiiForums Tanzania Mchakato rahisi wa kuingia Japan

    Naomba kujua jinsi gani rahisi ya kuweza kuingia na kuishi japan kwa urahisi
Back
Top Bottom