Habari Wakuu. Naomba kujua namna Ya kupata kazi katika mashirika Ya kimataifa.

pentoxide

Member
Jul 30, 2015
15
8
Habari wana Jamii.. Nilikua na omba kujua namna ya kupata connection ya kazi/ajira Kwenye Mashirika ya kimataifa kama vile UN,Unicef na kadhalika .. Nina Degree ya Account na CPA.

Shukran..
 
Jiunge linkeid follow izo NGO uchungulie jobs,pia follow na JTI Japan tobacco international.
 
Back
Top Bottom