Vitu unavyopaswa kujua baada ya kuwa na umri wa miaka 35

run CMD

JF-Expert Member
May 31, 2015
2,827
3,136
1. Kudhibiti ulimi.
Siyo kila hali unaongea kuna wakati unapaswa kukaa kimya

2. Jifunze kutulia ni bora kuliko kufanya drama / kuishi maisha ya mtandaoni.

3.Kubali kuna vitu haujui na umezidiwa epuka wivu Jifunze Kwa waliokuzidi.

4.familia unayotengeneza ni Jambo muhimu haijalishi ulitoka familia gani.

5.Kazi ya kuajiriwa inaua ndoto zako.

6.Epuka watu walio na mawazo hasi na kulaumu kila Jambo.

7.Ni Bora kuwa na rafiki mmoja
✓anayekupa furaha.
✓anakusupport
✓anayependezwa na maendeleo yako.
Epuka rafiki.
✓ wavivu.
✓wanakutumia.
✓wenye wivu.

8.Utakuwa na furaha zaidi ukiacha kulaumu wazazi wako

9.Maisha yako ni jukumu lako Kwa 100%.


10. Hauitaji kusoma vitabu 100+ kufanikiwa unahitaji nidhamu na actions


Ongezea
 
Back
Top Bottom