kifanyike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Tumekosea wapi ? Na nini kifanyike baada ya mvua hizi?

    Tangu January Hadi katikati ya mwezi huu( April) tumekuwa tukisikia na kushuhudia mvua kubwa zikinyesha Kwa baadhi ya mikoa nchini Tanzania. Kwa mtazamo wangu haya ni matokeo ya ubinafsi wetu juu ya mazingira yanayotuzunguka. Wiki Moja iliyopita niliongea na mdau mmoja ambaye Yuko mkoani Mbeya...
  2. Worlddaz

    JamiiForums Tanzania Uchumi ni nini na uchumi ukue nini kifanyike?

    Uchumi ni nini na nini kafanyike ili uchumi ukue nazungumzia uchumi mkubwa kama UCHUMI WA NCHI.. Na uchumi na uchumi ukishuka ni nini kimeshuka.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondoa kero ya kukatika umeme mara kwa mara?

    Kwa umri wangu huu ninapoingia miaka 60 sijawahi kushuhudia umeme kuwa stable hapa nchini kwetu Tz. Kuna sababu nyingi zimekuwa zikitolewa ambazo zimekuwa zikijirudia hizohizo miaka yote: 1. Maji kupungua bwana la mtera 2. Kukosekana kwa mvua 3. Hitilafu ya mitambo 4. Mitambo kufanyiwa...
  4. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mume ajipiga punyeto mkwe akiwa mjamzito. Nini kifanyike?

    Hellow, Kuna mkasa umetokea hivi karibuni kuna familia mke ni mjamzito ni mimba ya pili lakini mwanaume anajichua. Mke alishajaribu kuongea nae lakini inaonesha mwanaume ndio anazidi kuendeleza kujichua. Nini kifanyike?
  5. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Nini kifanyike kuondoa Uhaba wa Sukari kuendelea kujirudia kila mwaka Tanzania?

    Uhaba wa sukari nchini Tanzania ni tatizo linaloathiri sana wananchi na uchumi kwa ujumla. Hali hii inaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Uzalishaji duni: Uzalishaji wa miwa, malighafi ya sukari, unaweza kuathiriwa na mambo kama hali mbaya ya hewa, magonjwa, au mbinu duni...
  6. Half american

    JamiiForums Tanzania Kifanyike kipi kuboresha Mikopo kausha damu iwe na manufaa kwa wakopaji?

    Habari wakuu, nmeona kipindi cha ripoti maalum ITV kuhusu mikopo kausha damu. Malalamiko ni mengi sana licha ya kuwepo kwa uhitaji wa mikopo na wengine kufikia hatua ya kuomba hii mikopo isitishwe. Dhamana zinazowekwa na kiasi cha mkopo haviendani kabisa. Kwa maelezo ya wanawake wengi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Polisi wasimama kijijini kutoa taarifa ya mwanakijiji aliyeshambuliwa na nyuki, wanakijiji wote wakimbia

    Ni kwamba polisi walikuwa wanapita na msafari wao tu. Mara, karibu na kijiji fulani, wakamuona mwanakijiji, aliyeonekana kama anatoka shamba, akishambuliwa vibaya na nyuki. Wakiaa hawana uzoefu wa hao wadudu, wakaona wasijihatarishe na wao bali wakimbie haraka wakawahabarishe wanakijiji wenzake...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wale tuliokula mishikaki ya paka enzi za kituo cha Ubungo na Mwenge tujuane, nini kifanyike tusile tena?

    Hii habari najua itawaumiza wengi sana ila kwangu ilikuwa somo zuri sana, kizuri gharama. Zamani kulikuwa na kituo cha ubungo pale ilipo tanesco na pale mwenge kabla ya kuhamishia makumbusho. Vile vituoo kulikuwa na mishikaki midogo yaa Mia mia, adimu sana kuipata hata uende serena kwa ubora...
  9. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kutokomeza mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

    Mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari limekuwa suala endelevu hadi serikali imebidi kuanzisha utartibu wa kuwarudisha shuleni baada ya kujifungua. Je kumekosekana mwarobaini wa hili tatizo? Wewe kama mdau bainisha mbinu au mikakati mizuri inayoweza kutumika kupunguza au kutokomeza...
  10. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kukomesha ubakaji na ulawiti kwa watoto?

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimekuwa vikiongezeka kila leo, vitendo hivyo vikihusisha ulawiti, na ubakaji. Ijapo kumekuwa na sheria ya vifungo vya miaka kadhaa hadi vifungo vya maisha gerezani lakini bado inaonekana adhabu hiyo haitoshi kwa kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikiongezeka siku...
  11. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kwenye bongo fleva ya Sasa?

    Wakuu mambo vipi ? Kutokana na maoni ya mashabiki wengi wa huu muziki wetu pendwa wa bongo fleva kwamba muziki wa Sasa hauna ladha kama muziki wa zamani , Je nini kifanyike? Tufanye kama zamani au vipi? Na generation ya sasa hivi wanasemaje kuhusu muziki wetu wa Sasa tuendelee nao au kama...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike wananchi waanze kutokeza kwenye mikutano ya viongozi wa CCM na serikali wakiwemo mawaziri?

    Tumeona Naibu Waziri Mkuu amerejea nyumbani lakini kinyume na matarajio wananchi wamegoma kumpokea kwa kiwango kilichokusudiwa. Juzi waziri wa fedha na timu ya mawaziri kadhaa imetunga mbeya lakini wananchi wamegoma kujitokeza kwenye mikutano waliyofanya. Katibu mkuu mdogo wetu Chongoro...
  13. Faana

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza au kuondoa kero ya upepo mkali wenye vumbi Dodoma?

    Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambatana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema...
  14. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili ubaguzi wa aina hii uondoke? Je, Afrika tunaweza jitegemea?

    Habari JamiiForums, Katika pita pita zangu nimebahatika kukutana na hii clip, hii clip inaonyesha mabinti wadogo wakipewa medali na miongoni mwao alikuwepo binti mwenye asili ya rangi nyeusi akarukwa na mpaka mwisho hakupewa. Binafsi huwa siamini sana kama rangi nyeusi tunaonewa ila naamini...
  15. vnn

    JamiiForums Tanzania Mwajiri anapokataa kukuthibitisha kazini bila sababu ya msingi nini kifanyike?

    .
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Nyerere kutuingiza AU, SADC, EAC na hatimaye Muungano yatatutesa hadi kiama. Nini kifanyike?

    Ukweli usemwe Mwalimu Julias Kambarage Nyerere aliwahi kusema kuwa katika uongozi wake yapo mambo mazuri alifanya na pia yapo ya kipuuzi ambayo alifanya. Akaendelea kusema anashangaa wanaomfuatia wanayaacha yenye tija na kuendeleza yale mabaya yake. Katika mambo ya kipuuzi aliyoyafanya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuboresha Uhusiano kati ya Raia na Vyombo vya Usalama?

    Je, una maoni au ushauri utakaoboresha uhusiano kati ya Raia na Vyombo vya Usalama? Usikose kujiunga nasi katika mjadala wenye tija utakaolenga kutafuta suluhu ya kuimarisha uhusiano kati ya raia na Vyombo vya Usalama Julai 25, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi 2 Usiku, kupitia Twitter Space ya...
  18. gstar

    JamiiForums Tanzania Prof Shivji: Nini kifanyike ili kujitoa kwenye mkataba wa DP-World?

    Baada ya hotuba ndefu nimenukuu haya machache kutoka kwa Prof Shivji juu ya nini kifanyike ili kujitoa kwenye mkataba huu wa kinyonyaji wa DP- World. naandika kama anavyo sema:- "Kwa ujumla kwa kuhitimisha, mkataba huu sisi wanasheria tunauita honoracy provisions na tukikubaliana hivyo je kuna...
  19. Mary Abely

    JamiiForums Tanzania SoC03 Chanzo cha malalamiko juu ya mfumo wa kodi, suluhu ni lipi ili kuhamasisha walipa kodi

    UTANGULIZI Kodi ni muhimu kwa kila mwananchi, kwa maana hutoweza kuiwajibisha serikali kama hulipi kodi. Pia ni muhimu kulipa kodi ili kupata huduma bora kama elimu, ulinzi, afya na miundombinu. Mbali na umuhimu wa kulipa kodi, Tanzania imekua ikikumbwa na malalamiko juu ya juu ya sheria tofauti...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuwalinda Watoto wenye ulemavu katika dunia ya kidigitali?

    Dunia kwa sasa inapitia mapindizu makubwa ya kidijitali, watoto limekuwa miongoni mwa kundi muhimu ambalo linastahili kulindwa na kuongozwa katika suala zima la matumizi ya kidijitali. Zaidi ya wadau mbalimbali kusisitiza umuhimu wa kuwalinda watoto katika wakati huu wa mapinduzi ya kidijitali...
Back
Top Bottom