kifanyike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kujenga umoja wa kitaifa kunatugharimu kupoteza lugha zetu za makabila yetu. Nini kifanyike?

    Ninawasalimu kwa jina la chama pendwa CCM. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba hili jambo limenitafakarisha sana. Tukumbuke mara baada ya uhuru waasisi wa taifa walipambana sana kujenga umoja wa kitaifa kwa mbinu nyingi na juhudi kubwa. Kiswahili kilitumika na kinaendelea kutumika...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike mkeo anapogoma kwenda kupima vinasaba vya mtoto?

    Bwana Ali ndoa yake ina mwaka wa tano, tangu ndoa ikiwa na miaka mitatu ugomvi usio na ukomo ulianza. Ali alikuwa akimtuhumu mkewe Asha kwa kutembea na bosi wake. Mtoto wao ana mwaka wa pili sasa, Ali anasisitiza wakapime vinasaba lakini mama amekuwa mbogo, anasema bora apewe talaka lakini siyo...
  3. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Nini hasa chanzo cha bei ya vyakula kupanda zaidi ya mara dufu (inflation)? Nini kifanyike kutunusuru na janga hili kubwa?

    Tunaambiwa kuwa mfumuko wa bei (inflation rate) nchini kwetu bado ni mdogo sana, ni chini ya asilimia 5%! Wao wanauita single digit inflation. Lakini kwa miezi ya hivi karibuni, bei za vyakula muhimu sokoni vimepanda kwa zaidi ya maradufu. Yaani mfumuko wa bei wa vyakula ni zaidi ya asilimia...
  4. Shilinde_

    JamiiForums Tanzania SoC02 AFYA YA AKILI - Mawazo Potofu na nini kifanyike

    AFYA YA AKILI inajumuisha maeneo kadhaa muhimu, iwe kifikra, kihisia, kisaikolojia, na hata kitabia, bila kusahau maeneo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kadhalika. Kama unatambua uwezo ulionao, na unakabiliana na changamoto za afya ya akili, huku ukiendelea na majukumu ya kiuzalishaji, uwe ni...
  5. Amani Ne

    JamiiForums Tanzania SoC02 Visa vya watu kujiua: Sababu kuu na ushauri wa nini kifanyike

    Utangulizi Kwa mujibu wa taarifa ya WHO (2019) ni kwamba kila baada ya sekunde 40 kuna mtu anajiua kwa sababu kadha wa kadha. Tatizo la watu kujiua limekua kwa kasi na linaongezeka kila kukicha na sababu zinazokusanywa za waliojiua hutofautiana kati ya mtu mmoja na mtu mwingine. Nina rafiki...
  6. Stranger94

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la Ajira Tanzania: Nini Kifanyike

    UTANGULIZI Tatizo la ajira limekua mtambuka duniani Kwa sasa, nchi nyingi duniani zimekua zikikutana na changamoto hii hususani katika kipindi hiki ambacho dunia inashuhudua anguko la uchumi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo athari za ugonjwa wa virusi vya Corona pamoja na vita...
  7. luddo17

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nini/kipi kifanyike ili tuwe na elimu bora Tanzania?

    Nikiwa kama mdau wa elimu, nafahamu kwamba kufundisha na ujifunzaji ni mchakato mgumu sana. Unahitaji utekelezaji na ufuatiliaji. Katika insha hii, lengo langu halisi ni kuangalia cha kupaswa kufanywa ili kupatikane ufundishaji na ujifunzaji bora, yaani kwa maneno mengine, tupate elimu bora...
  8. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nini kifanyike kwa viongozi wetu tupate timu bora ya taifa letu la Tanzania?

    Kwa jina naitwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa kitanzania nina umri wa miaka 28 kwa sasa leo ningependa nizungumzie mambo mbalimbali yanayo weza kufanyika ilimradi kuweza kufanikiwa kufika mbali katika timu yetu ya taifa. Mpira ni mchezo wenye washabiki wengi sana duniani kote na...
  9. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna tatizo very serious kuhusu hiki tunachokiita mahusiano hasa ya ndoa, tumekosea wapi? Nini kifanyike?

    Wanajukwaa Mimi binafsi ni mfuatiliaji mzuri wa mambo mengi tu, mpaka nimeleta Uzi huu nimejiridhisha kuna tatizo sehemu au kuna kitu sisi binadamu au niseme Watanzania kuna sehemu tumekosea, sitaki kuhusisha dini labda Mungu tu ndio tumuhusishe. Katika utafiti wangu usiyo rasmi nimeshuhudia...
  10. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza/kumaliza ajali barabarani?

    Hapa nakaribisha michango ya namna ya kupunguza/kumaliza ajali barabarani. Nategemea kupata mawazo mapya na yanayotekelezeka. Angalizo, faini kubwa haiwezi kuzuia ajali! 1. Kuhusu mwendo kasi hasa wa mabasi ya abiria, nafikiria kuangaliwe utaratibu wa kupunguza mabasi mengi ya njia moja...
  11. Content

    JamiiForums Tanzania SoC02 TEHAMA ina athari hasi katika Jamii zaidi ya tunavyofikiri. Je, nini kifanyike?

    Tunapozungumzia maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na intanet bila shaka hutaacha kuzungumzia jukwaa linalotoa fursa za ajira, kujuajiri (yaani kuuza bidhaa au huduma kupitia internet), kurahisisha mawasiliano katika jamii zetu pamoja na kurahisisha upatikanaji wa taarifa...
  12. balimar

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza Makali ya Maisha kwa Watumishi wa Umma?

    Habari ya saa hizi waungwana!! Ni ukweli usiopingika kuwa Maisha kwa watumishi wa Umma yanazidi kuwa ni tia maji tia maji. Mathalani nyongeza ghafi isiyonyumbuka ya mshahara haifui dafu kabisa kwenye mfumuko wa bei uliojitokeza kuanzia April 2022. Nadhani wakati umefika sasa kufungua mjadala...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana, trafiki wengi wako barabarani kwa vile kuna pesa zisizo na jasho. Nini kifanyike?

    Logic ya trafiki wengi barabarani iko hivi: (something like a syllogism) 1. Kuwa barabarani ni pesa 2. Kitengo cha Trafiki ni wengi sana (kila mmoja mwenye upenyo amampeleka mwanae/nduguye utrafiki 3. Automatically ili kila mmoja lazima apate pesa, 4. Lazima kuwe na vituo vingi vya kusimamisha...
  14. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu kombozi ni ipi?

    ELIMU YETU! Hivi sasa elimu ni chombo chenye msaada mkubwa sana tofauti kabisa na ilivyochukuliwa hapo mwanzo wakati wa babu zetu kwani kwa baadhi ya watoto na jinsi ya kike ilionekana kuwapatia elimu ni suala la ajabu wakati Sasa tunaenda na kaulimbiu ukimwelimisha mwanamke umeelimisha jamii...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Watuhumiwa Mikononi mwa Polisi, nini kifanyike ili mambo yakae sawa?

    Hivi karibu kumetokea matukio yakihusisha watuhumiwa kupotea maisha mikononi mwa vyombo vya usalama. Mkoani Morogoro Askari wawili wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Hamis Hassan (30) Mkazi wa Mvuha, Jeshi la Polisi limesema marehemu aliuawa kwa kufyatuliwa risasi Mei 31, 2022. Jijini...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuisafisha CCM ili iliongoze taifa kwa ufanisi maana bado wapowapo sana

    Kwa namna upepo wa kisiasa unavyovuma hapa nchini inaonyesha wazi kwamba uwezekano wa wapinzani kuchukua nchi kwa miaka ya karibuni ni mdogo sana, ingawa sijasema haiwezekani ila dalili zinaonyesha kwamba hawana huo ubavu Kwa sababu zifuatazo: 1. Kubadilibadili hoja 2. Kuvurugana kama...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike (kiimani) baada ya mimba kuharibika?!!!

    Salaam, waungwana! Mtanisamehe, ni suala la kiimani. Kwakuwa silioni jukwaa la dini basi naamini niko sehemu salama katika jukwaa hili la habari na hoja mchanganyiko! Naualiza wajuzi, hususani wa dini ya kiislamu, nini anapswa kukifanya mume na mkewe mara baada ya mimba kuharibika (kwa bahati...
  18. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kumaliza tatizo la mimba za utotoni?

    Great thinkers, Hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la mabinti wenye umri mdogo (umri Kati ya miaka 14-20s) kupata watoto. Nini kifanyike kumaliza hili tatizo?
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kipi kifanyike ili kuwasaidia watu wenye vibamia?

    Hakuna watu wanaojichukia kama hawa waafrika wenzetu waliozaliwa na vimkuyange vifupi(below 4inches) Wanapata taabu sana kwenye mahusiano na wanakuwa hawajiamini kabisa hata kwenye kula tunda kimasihala Sasa ni kipi tukifanye ili kuwasaidie hawa jamaa zetu ambao hawakupenda wazaliwe hivyo
  20. C

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kufukuza mijusi ndani?

    Nitumie dawa gani kuwaua au ku-repel mijusi? I'm serious on this guys. sipendi kuiona mijusi kwenye kibanda changu. Mwenye uzoefu tafadhari.
Back
Top Bottom