ELIMU KUCHUKIWA
Habari wanajamvi natumai hamjambo napenda kuanza kama ifuatavyo wahitimu wengi hivi karibuni wamekua hawafurahishwi na usomi wao pamoja muda mwingi na nguvu nyingi walizo tumia katika kukamilisha masomo hayo ambayo walidhani ndio ufunguo wa maisha yao. hali ambayo imekua ni...
Kikao kimefunguliwa rasmi, tunajadili nini kifanyike, ili adhabu za wivu wa mapenzi zipungue katika jamii zetu.
Wakati tukijadili hilo usisahau kunipa vote yako kwenye hili chapisho.
Bofya ifunguke kisha click kwenye vote: Story of Change - Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni
MAOMBI YENYE KUBAHATISHA
kawaida kila mtu mwenye uhitaji ni lazima ajitutumue kuhakikisha anafanikiwa kwenye malengo yake alojiwekea kwa namna moja ama nyingne katika mazingira aliyopo na kulingana na hali alonayo.
Ni mara nyingi nimesikia, nimejionea na nimejaribu nami pia katika kuhakikisha...
Ni wazi kwamba mifumo wa elimu yetu hapa nchini Tanzania haijaweza msaidia mwanafunzi kujisimamia na kuendesha maisha yake bila utegemezi wa wazazi/walezi au kuajiriwa.Kwa kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira kwa vijana na kutokuwa na thamani ya elimu yetu ya msingi na sekondari katika ajira...
Watanzania wanaoishi katika nyumba za hali hii ni wengi sana. Nyumba za hali hii huchangia afya mbovu. Tunapohamasisha BIMA za afya tufahamu pia tatizo linaanzia hapa.
Tasac mfumo wao nao haupatikani hewani itakikanavyo.
Kwa nini mifumo mingi inasumbua sana jamani kwa sasa?!
Mfumo wa mikopo benki mbovu mwezi unaenda wa pili sasa.
Inakwaza sana!
Salaam wana MMU
Ukatili wa kingono kwa watoto umezidi kuongezeka kadri siku zinavyokwenda. Pamoja na juhudi za serikali na jamii bado vitendo hivyo vinaendelea.
Adhabu mbalimbali hutolewa kwa wahusika wanaotenda ukatili huo lakini bado hazijaweza kuzuia mwendelezo wa vitendo hivyo.
Kila siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.