kifanyike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bado natafuta

    JamiiForums Tanzania Je, kipi kifanyike kupunguza ukosefu wa ajira nchini?

    Hivi karibuni ajira nyingi mno zimetangazwa Tanzania katika Kada mbalimbali. Lakini hata hivyo inaonesha wazi kua uhitaji wa ajira ni mkubwa kuliko ajira zenyewe. Kwa mfano mwanzoni mea mwezi huu watu 2100+ Kada afisa maendeleo msaidizi usaili wa kuandika kwa njia ya computer, majibu yalitoka...
  2. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kukomesha utekaji

    Wakuu hii nchi inakwenda vibaya sana na naona watawala wanachukulia swala la utekaji kama drama na wamebariki watu watekwe na kisha wauwae Mwaka huu matendo ya utekaji yamekuwa mengi sna kila mmoja wetu analitambua hilo Walio tekwa ni jamaa zetu marafiki zetu Sasa Leo tuje na mbinu gani...
  3. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuiondoa CCM madarakani?

    Ni takribani miaka 33 sasa juhudi za kuiondoa CCM madarani zinafanyika nchini TANZANIA bila mafanikio yoyote. Kadri miaka inavyodhid kwenda CCM wameendelea kujiimarisha Kwa njia halali na haramu. Kwa chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu Kwa miaka ya karibuni CCM wameonekana wapo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Programmers ni kweli tunafeli ni kweli hatuna uwezo wapi tunapokwama, nini kifanyike?

    Aisee nimeshaona mijadala Mingi saana ikisema Tanzania hakuna developer mara ujanja ujanja mwingi... hapa nitaelezea sababu kuu tatu ambazo ndo zinapelekea haya mambo. 1.Ufahamu wa Technology (Elimu) yaani ni zaidi ya 60% ya watanzania wanamiliki simu janja lakini swala la matumizi sahihi ya...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuharakisha uokoaji Kariakoo

    Niende moja kwa moja kwenye mada. 1. Zije tipper trucks 10, mizigo yote iliyopo ndani ya jengo na nje ya jengo yote itolewe. Hili zoezi lingeweza fanyika toka jana, ila limezembewa, huwezi fanya uokozi na mzigo mzito bado upo juu ya jengo, jengo litaendelea titia. 2. Matofali, mabati, mbao, na...
  6. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kumsaidia Nikki Mbishi?

    Kijana Niki Mbishi anayejiusisha na shughuli za kurap amekuwa sio mtu mwenye muenendo mzuri. Amejaa jazba, malalamiko, shari, migogoro, umbeya na upotevu wa nuru. Watu wanasema ni sababu ya shughuli zake za kurap hazijawai kumletea manufaa ya kuweza kujikimu kimaisha hivyo amejaa msongo wa...
  7. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye walevi wengi Afrika. Nini kifanyike?

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya pombe nchini yameongezeka kwa kiasi kikubwa (WHO, 2023) kutokana na sababu kadhaa: 1. Sababu za Kijamii na Kiuchumi Kuongezeka kwa kipato kinachopatikana mikononi mwa watu, hasa katika tabaka la kati, kumefanya pombe iweze kupatikana kwa urahisi zaidi...
  8. realMamy

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Dawa za Hospitali kushindwa kutibu wananchi baadhi ya Magonjwa. Nini tatizo?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili. Nini kinasababisha yote haya? Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu? Au kulea ugonjwa...
  9. Trinity

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili tren ya SGR isife!??

    Nawasalimu nyote kupitia jina kuu lipitalo majina yote.! Nilitaka kutabiri muda wa anguko au kufa Kwa SGR nikakuta kumbe kuna nabii kashaa tabiri kwamba haifiki miaka 6 hii tren itashindwa kuendelea, mimi nilitaka niipe miaka 2 pekee. Sasa ipo hivi, huu mradi ni wetu sote na unatusaidia zaidi...
  10. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kwa utekaji wa watoto mashuleni maana ishakuwa ni changamoto?

    Ndugu watanzani. Maoni yenu. Kikubwa nikuhakikisha kila mmoja wetu kuwa mzazi ukiona kitendo cha kutilia shaka Amka uchunguze usije kusema niliona kabeba gunia nikajua kabeba mzigo kumbe mtoto nooooo ukiona namna uelewi fatilia uelewe utoe msaada
  11. dour

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini kifanyike kuongeza mapato ya ndani bila kutegemea mikopo katika shughuli za kiuchumi

    UTANGULIZI Ukuaji wa taifa kimaendeleo inategemea zaidi kujitegemea wa taifa kiuchumi na uzalishaji. Tanzania bado inategemea mataifa makubwa kimsaada na kukopa kama njia ya kujipatia fedha, hali hii husababisha serikali kukopa fedha kwajili ya miradi ya maendeleo ikisubiri kutumia makusanyo ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini kifanyike kutatua tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana kuelekea Tanzania tuitakayo

    Tanzania imeendelea kuungana na mataifa mengine mengi hasa yanayo endelea kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira hasa Kwa vijana. Uwepo wa tatizo la ajira katika mataifa mbalimbali duniani hakuipi Tanzania uhalali wa kuto kuchukua hatua mbalimbali kuondokana na tatizo hili kwani Kuna weza...
  13. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini kifanyike Kumaliza tatizo la maji na ubovu wa miundombinu hasa ya Barabara vijijini na mijini kuelekea Tanzania tuitakayo

    Kwa miaka mingi hadi Sasa Tanzania imeendelea kukabiliwa na changamoto katika utoaji huduma ya maji Kwa wananchi pamoja na ubovu wa miundo mbinu hasa ya Barabara nchini. Changamoto katika maswala haya zimechangia Kwa namna Moja ama nyingine kufifisha Kasi ya uzalisha Kwa ghrama nafuu, kufeli Kwa...
  14. Heavy Metal

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu yetu na Tanzania ijayo ya viwanda: Nini kifanyike?

    Utangulizi Hakuna nchi yoyote duniani iliyoendelea bila na elimu bora ambayo ndiyo chimbuko la teknolojia mbalimbali zitumikazo viwandani. Teknolojia bora ndiyo msingi wa kuifanya nchi ipige hatua kiuchumi na kimaendeleo kwa ujumla. Kadri unavyokua na viwanda vingi ndivyo unavyoweza kutatua...
  15. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 nini kifanyike ili uchaguzi uwe huru na wa haki

    Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano (1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na eliimu ya kutosha. (2) Mpaka sasa Wizara husika haijatunga kanuni za kuendesha uchaguzi huu na bado...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Athari zilizotokana na mvua, nini kifanyike kuhakikisha madhara hayo hayatokei tena ili kusaidia kuijenga tanzania tuitakayo

    UTANGULIZI Mnamo mwezi agosti mwaka 2023 mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) ilitoa tahadhari kuhusu mvua za El nino zitakazo anza kipindi cha vuli kuanzia wiki ya pili ya mwezi october mpaka wiki za mwanzo ya mwezi January 2024 na miezi mingine ya mwaka huo. Mamlaka hiyo ilitoa tahadhari...
  17. Raghmo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Migahawa na usalama wa afya za walaji. Je, tupo hatarini? Na kipi kifanyike kumaliza janga hili

    source: www.urban municipal council Utangulizi: Migahawa ni sehemu muhimu ya tamaduni ya kula katika jamii zetu, lakini mara nyingi hatufahamu yale yanayotendeka nyuma ya pazia. Wakati tunapofurahia sahani tamu au chakula cha kufurahisha, hatari za usalama wa chakula zinaweza kusahaulika au...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondoa wachuuzi Raia wa Kigeni Kariakoo?

    Wachina, Wakongo, wake ya, wanigeria na wazambia wamekuwa wengi sana soko la Kariakoo. Wachina wanapoingia kwenye umachinga maana yake uchuuzi umekuwa kipaombele cha soko Tanzania. Lakini uchuuzi huu unawaondoa watanzania sokoni kwa sababu wachina wanakopeshwa bidhaa kutoka viwandani huku...
  19. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike Simba waweze kutwaa Ramadhani cup na Masoko cup msimu ujao?

    Baada ya msimu unaoelekea kumalizika, timu hii kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu na kushinda taji la muungano, Nini kifanyike ili kujihakikishia kwamba michuano ijayo ya Ramadhani cup, Masoko cup, Diwani cup n.k iweze kuokota vikombe vingi zaidi?
  20. W

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili elimu ya Tanzania iende na mahitaji ya soko la Ajira?

    Habari wakuu, nina marafiki wengi walio hitimu chuo mwaka jana lakini mpaka sasa wanahangaika sana na suala la ajira. Nimekuja kugundua kwamba elimu ya Tanznaia haizingatii mahitaji ya soko la ajira kwa sasa na bado tunatumia elimu ya wakolonia aisee. mimi ningeshauri hatua zifuatazo zifanyike...
Back
Top Bottom