Polisi wasimama kijijini kutoa taarifa ya mwanakijiji aliyeshambuliwa na nyuki, wanakijiji wote wakimbia

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,684
Ni kwamba polisi walikuwa wanapita na msafari wao tu. Mara, karibu na kijiji fulani, wakamuona mwanakijiji, aliyeonekana kama anatoka shamba, akishambuliwa vibaya na nyuki.

Wakiaa hawana uzoefu wa hao wadudu, wakaona wasijihatarishe na wao bali wakimbie haraka wakawahabarishe wanakijiji wenzake ili waje kutoa msaada kwa mwanakijiji mwenzao.

Walipofika kijijini na kusimamisha gari tu, wanakijiji wote wakaanza kutimua mbio bila hata kungoja polisi wanataka kusema nini.

Polisi wakabaki kwenye mshangao wasijue la kufanya na kuondoka kurejea kule alikoshambuliwa yule mwananchi. Walifanikiwa kumkuta hai lakini akiwz hoooi musa wowote, kwa hali yake, linaweza kutokea lolote.

Hivi kwanini hivi?!! Nini kidanyike?
 
Hariri kabla ya kupost
 
Yani natamani na kuomba hili zali la kushambuliwa na nyuki lije linitokee yani huo mkono ntakavyoutembeza.
 
nyuki ni wapumbavu walishawahi kunidhalilisha katikati ya mji
walinishukia toka juu jengo nikakumbuka ile mbinu ya kulala chini ili wapite bhana kumbe walikua siwapitaji niliona swarm of killler bees linanishukia pale mavumbini nilipojilaza nikaona kukimbia napo ni mbinu ya kivita nilitoka nduki nikiwalenga bodaboda waliokua karibu yangu lengo likiwa kuwagawana nyuki ili mbinu ilifanya kaz nilivowapita tu wale bodaboda mimi nikapumua wana wakaanza kupambania uhai wao
 
Hii chai ya Mufindi pale Mtwango!!!,okay in a seriously note,ukishambuliwa na nyuki hit the ground haraka sana,protect uso wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom