kifanyike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Urithi wa nyumba ya babu yenye nguvu za kiroho. Je, iuzwe hata kwa hasara, ipangishwe, ichukuliwe mkopo benki ama kifanyike kipi?

    Hello wanajamvi, great thinkers. Wiki chache zilizopita kuna babu yangu upande wa mama alifariki Katika mali alizoacha kuna nyumba na warithi ni watoto zake akiwemo mama yangu, mama wadogo zangu wawili na wajomba zangu wawili. Sasa tatizo linapokuja ni kwamba hakuna anaetaka kurithi hio...
  2. Gnyaisa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wasomi wetu wamekosa mvuto, nini kafanyike?

    Zaidi ya miaka 15 iliyopita wakati nikiwa ningali mwanafunzi wa shule ya msingi, ndoto yangu kubwa ilikuwa kufikia elimu ya Chuo Kikuu. Wakati huo sikuwa na matamanio ya kuwa daktari bingwa, mwandishi nguli au mwanasheria aliyebobea kwa sababu niliamini nikifika Chuo Kikuu nitayafikia matamanio...
  3. minisalmin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tofauti za Kiuchumi (Kati ya walionacho na wasionacho), Nini kifanyike?

    Sote tunakubali uwiano usio na usawa wa kiuchumi kwa maana ya wingi wa wasionacho na uchache wa walionacho unaopelekea baadhi ya mambo ama tabia zetu na hata mahusiano yetu kuathirika kwa namna moja ama nyingine. Leo ningepende kurununa (share) nanyi baadhi ya mawazo yangu juu ya nini kifanyike...
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kiongozi asipendelee kwao kama Hayati Dkt. Magufuli alivyoipendelea Chato?

    Ni wazi kuwa rais Magufuli aliipendelea sana wilaya ya Chato katika kupeleka maendeleo. Alijenga uwanja wa ndege wa kimataifa, alijenga hospitali kubwa ya rufaa ya kanda, alijenga chuo cha Veta, alianza kujenga hoteli ya nyota tatu, mipango ya kujenga uwanja wa mpira. Na mambo mengine mengi...
  5. Abiri

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike kuimarisha Demokrasia ya Tanzania ?

    Neno Demokrasia linamaanisha utawala wa watu (chanzo ; kamusi huru). Ili demokrasia iwepo wanahitajika watu wenye kuanzisha utawala wao ambao utawaongoza kwenye nyanja mbalimbali katika jamii husika. Demokrasia ya Tanzania Tanzania ni kama nchi nyingine zenye kufata demokrasia hii ni kwa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kwenye hali hii ya tofauti ya majina?

    Naombeni ushauri wa nini kifanyike. Mdogo wangu amesoma hadi chuo kikuu. Jina la ubatizo alilolitumia shule ambalo liko kwenye vyeti vyake ni tofauti na jina alilopewa na wazazi kabla ya ubatizo. Jina hilo la kabla ya ubatizo liko kwenye hati za mashamba aliyoachiwa na baba mkubwa, nauliza nini...
  7. kyagata

    JamiiForums Tanzania Biashara yangu imedoda, nimekosea wapi na nini kifanyike kuiimarisha?

    Habari wakuu! Nimefungua biashara ndogo ya mtaji wa kama 7.5m hivi. Biashara nimeifungua rasmi Jumatatu ya week hii. Biashara yangu inadeal na uuzaji wa vitu kama battery za magari, oil na matairi ya magari. Location ya biashara iko eneo zuri tu la barabarani na uzuri zaidi eneo limechangamka...
  8. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike Tanzania iwe miongoni mwa nchi zilizoendelea duniani?

    Tanzania ni nchi katika dunia au Bara lá afrika ambayo ina kila rasilimali zinazohitajika katika maendeleo mfano madini,Ardhi nzuri, watu wachapakazi na vivutio vingi vya utalii Pamoja na hayo bado nchi ya Tanzania umaskini ni jambo lililokithiri sana hususa ni kwa vijana jambo linalopelekea...
  9. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Changamoto 10 zinazosababisha watu kutokuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi. Na nini kifanyike?

    1. Umbali Kutokana na umbali ulipo kati ya mataifa mbali mbali. Ni vigumu kupata na kuanzisha mawasiliano na wasafirishaji kwa haraka na ukaribu. Wanunuaji na wauzaji huwa mara nyingi hawapati mda wa kukutana na mawasiliano binafsi huwa sa nyingine ni vigumu. Umbali pia husababisha...
  10. MRAMIRA

    JamiiForums Tanzania SoC01 Athari za mfumo wa elimu na ongezeko la wasomi wasio na ajira, nini kifanyike

    UTANGULIZI Kwa muda mrefu tumekuwa tunajiuliza nini hasa muarobaini wa ajira kwa wahitimu nchini? Kwanini wasomi hawaajiriwi au kuajirika? Upatikanaji wa ajira ni suala mtambuka ambalo watanzania wanajiuliza bila kupata majibu ya maswali haya: Je suala ni wasomi wenyewe je ni ukosefu wa stadi...
  11. NURURASHID

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tozo za miamala kichocheo cha kuporomoka kwa uchumi, nini kifanyike

    Katika Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2021/22 Serikali imedhamiria kukusanya mapato kutoka kwenye tozo za miamala ya simu, Tozo hizi ambazo katika macho ya watanzania wengi zinaonekana kandamizi na zisizo kubalika zilianza kutumika rasmi 15 July mwaka 2021 suala lilo zua mijadala ya...
  12. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike kuondoa fikra ya kuajiriwa miongoni mwa wimbi kubwa la vijana Tanzania

    NINI KIFANYIKE KUONDOA FIKRA YA KUAJIRIWA MIONGONI MWA KUNDI KUBWA LA VIJANA TANZANIA. UTANGULIZI. Suala la ukosefu wa ajira limekua tatizo kubwa sio Tanzania tu bali dunia nzima. Tanzania ina idadi kubwa ya vijana ambao hawajaajiliwa pia bado kila mwaka idadi kubwa ya vijana wanahitimu...
  13. Thailand

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike Serikali iweze kupata pesa baada kuachana na hii tozo kandamizi na wapi pa kuwekeza

    Katika hali isiyo ya kawaida maisha ya mwanadamu hasa mtanzania yanazidi kuwa magumu sana. Huku anadaiwa kodi ya nyumba na kuiendeleza familia na ndugu zake, huku anatakiwa kushiriki michango mbalimbali ya serikali ya kijiji, huku michango ya msikitini na makanisani inamsubiri yeye, huku mambo...
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ikiwa makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki hayatabadilika nini kifanyike?

    Jambo wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Ni ukweli usiopingika kwamba makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki yanawaumiza kichwa wananchi wanyonge, hasa ukizingatia kwamba watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha kama Rais, Makmu wa Rais, Waziri...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Asiyetaka tozo ya kizalendo atupe njia mbadala ya kupata fedha

    Spika Ndugai amesema wabunge wameshapitisha tozo ya kizalendo kwenye miamala ya simu na sasa ni sheria hivyo asiyeitaka atupe njia mbadala ya kutufikisha 2025 Roho wa Bwana akamshukia mtumishi wake Jerry Slaa mbunge wa Ukonga naye akajibu; Wabunge tuanze kulipa kodi. Labda kama Spika ana swali...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa watu unaokufa. Je, inahitajika kuusisimua kwa kuwaongeza watu kodi ili kuusimamisha tena?

    Kwanza nikiri kabisa kabla, mimi sio mchumi. Kwa sauti nyingi za viongozi wetu, ni uchumi umeshuka na kunahitajika jitiahada ili kuurudisha katika sehemu yake Swali langu ni moja tu, Njia inayoitumia serikali kuweza kurudisha uchumi unaokufa ni sahihi au ndio inaudidimiza zaidi? Mimi...
  17. jeff mahugi

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu na nini kifanyike

    ELIMU KUCHUKIWA Habari wanajamvi natumai hamjambo napenda kuanza kama ifuatavyo wahitimu wengi hivi karibuni wamekua hawafurahishwi na usomi wao pamoja muda mwingi na nguvu nyingi walizo tumia katika kukamilisha masomo hayo ambayo walidhani ndio ufunguo wa maisha yao. hali ambayo imekua ni...
  18. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la mwenzetu kuchomwa moto, nini kifanyike matukio ya wivu wa mapenzi yasijirudie?

    Kikao kimefunguliwa rasmi, tunajadili nini kifanyike, ili adhabu za wivu wa mapenzi zipungue katika jamii zetu. Wakati tukijadili hilo usisahau kunipa vote yako kwenye hili chapisho. Bofya ifunguke kisha click kwenye vote: Story of Change - Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni
  19. S

    JamiiForums Tanzania Napenda kuendelea na elimu ya juu, ila mkopo bado nabahatisha. Kipi kifanyike ili usiwe wa kubahatisha?

    MAOMBI YENYE KUBAHATISHA kawaida kila mtu mwenye uhitaji ni lazima ajitutumue kuhakikisha anafanikiwa kwenye malengo yake alojiwekea kwa namna moja ama nyingne katika mazingira aliyopo na kulingana na hali alonayo. Ni mara nyingi nimesikia, nimejionea na nimejaribu nami pia katika kuhakikisha...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Maboresho katika elimu yatakayomsaida mwanafunzi kujiendeleza kimaisha pindi amalizapo elimu au akwamapo njiani kabla ya kumaliza

    Ni wazi kwamba mifumo wa elimu yetu hapa nchini Tanzania haijaweza msaidia mwanafunzi kujisimamia na kuendesha maisha yake bila utegemezi wa wazazi/walezi au kuajiriwa.Kwa kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira kwa vijana na kutokuwa na thamani ya elimu yetu ya msingi na sekondari katika ajira...
Back
Top Bottom