Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,152
Hii habari najua itawaumiza wengi sana ila kwangu ilikuwa somo zuri sana, kizuri gharama.
Zamani kulikuwa na kituo cha ubungo pale ilipo tanesco na pale mwenge kabla ya kuhamishia makumbusho.
Vile vituoo kulikuwa na mishikaki midogo yaa Mia mia, adimu sana kuipata hata uende serena kwa ubora wake.
Wauzaji waliweza kutupanga foleni na ndevu zetu kusubiria hii mishikaki, pembeni kuna ndizi na viazi na wengine walijiongeza kuwafungia wateja wakale nyumbani.
Wanafunzi siwezi kuwasemea maana hakuna aliyewaacha huyu bwana.
Baada ya miaka kadhaa alipatikana bwana mmoja pale tandika alikamatwa akiwa amechinja paka wapatao 10 plus, alipoulizwa wa nini hapa ndipo aliniacha hoi alisema anatengeneza mishikaki na ana miaka zaidi ya sita enzi hizo alipokamatwa.
Alipoulizwa anafanyia wapi akajibu ana branch ubungo kituoni mbili, mwenge mbili na ubungo kwenda Kimara ana branch kila kituo wale wa Kimara natumain tulienjoy sana hizi nyama.
Kama ulizikosa ubungo basi kituo unachoshukia lazima upite nazo, ilinichukua muda kuamini lakini moyo ukakubali tumekula sana nyama za paka na yule bwana sikujua walimshtaki ama lah.
Ila popote ulipo kama unasoma jamii forums naomba nikujuze wewe ni mwanaume shupavu kwangu 2023 kwa matendo uliyotufanyia miaka hioo kutupa nyama za paka bila kuzitambua na kutupanga foleni.
Nawatakia wote mliokula hii mishikaki happy new year in advance!