Wakuu
=====
Ajali zimekuwa nyingi Kila siku tunaamka na ajali tunakwama wapy?
Je, ajali za barabarani nchini Tanzania zinaendelea kutokea kwa sababu hatujui nini cha kufanya, au kwa sababu tunachukulia usalama barabarani kama jambo la kawaida?
Kwa nini madereva wanaorudia makosa hatari...
Kutokana na uzoefu na kwa kuzingatia changamoto tunazopitia sasa kadri muda unavyogea tutakuwa tuna uhaba mkubwa wa mafundi wajuzi wa kutatua matatizo ya magari kwa ufasaha ni kutokana na ukweli kwamba mafundi wengi hawana tabia ya kupenda kuongeza ujuzi wao na wanaamini kile wanachokijua...
CHADEMA ndo kinara wa harakati hizi za Ukombozi wa Nchi hii.
Mwenyekiti, Tundu Lissu yupo mahabusu, chama kimefutiwa Ruzuku, kama haitoshi chama hicho hicho kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa.
Nionavyo mimi ni kwamba, kwa mtiririko huu:-
1. Lissu hawezi kuachiliwa leo labda mpaka...
Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake wana jf popote mlipo.
Rejea mada tajwa hapo juu.
Taifa kwanza Mengine badae wakuu.
Mambo yamekuwa mengi kwa muda mchache katika Taifa letu, bila kujali itikadi zetu za vyama, tufanye nini ili taifa letu kutoka katika mkwamo huu...
Kijana akija kuomba kazi anakuja kwa unyenyekevu mkubwa tena akiwa kaweka mikono nyuma utafikiri ana staha na nidhamu ya kweli🙆♂️, kumbe hiyo ni zuga tu.
Sasa itokee umwamini umpe kazi ndo segedansi zinapoanza. Hakuna picha utakaa usiione. Kama alitakuwa awe anafanya marejesho atakuletea zile...
Kuna kasumba kubwa imewaingia watanzania.
Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa.
Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi inapigwa tu. Radio zinajadili michezo muda wote.
Nini kifanyike ili kupunguzaa na kufuta uraibu huu wa...
Maana kumepwaya kila idara ya chama. Ni kama vile kunakupoteana vile.
Hakuna anaeaminika na wa kutoa uelekeo thabiti wa chama, kwasababu ya njaa kali, unyonge wa kipato na woga. Hakuna matumani kwa wanachadema kabisa.
Kitu kizuri ni kwamba kila mwanachadema anaendelea kujishughulisha na...
Hizi ni mbinu zifuatazo ntakazotumia kuhakikisha tunakua na viwanda vya nguo
Kuanzisha viwanda vya petrochemical vyenye capacity kubwa sana
Kuanzisha viwanda vya spinning ambavyo vitakua vinachakata pamba na kuwa nyuzi (yarn) ambao hutumika kutengeneza fabric (vitambaa vya aina mbalimbali)...
Habari wanaJF,
Niko Mzumbe, katika sehemu moja hapa. Usiku usiku nlikuwa najaribu kuweka mambo sawa. Nilipanga mengi, ila nimejikuta nazima moto. Inshallah ntaendelea kesho.
USAID imeondoka rasmi katika utendaji wake wa miaka mingi. Na nchi za Africa zitahisi maumivu makubwa kwa kuwa ndo...
Natumaini ni kwema wakuu.
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).
Imenisikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
Source: BBC News Swahili
Kwanini watanzania hawana furaha...
Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie.
Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
Binafsi nimewahi kuwa na marafiki wa kiume kadhaa katika ukuaji wangu, lakini waliishia kunitaka kimapenzi kisha urafiki ukafa hapo.
Je, kuna haja ya kuwa na urafiki wa hizi jinsia mbili? na nini kifanyike kuulinda huu urafiki uendelee kuwa urafiki na siyo maswala ya mahusiano ya kimapenzi?
Lawama hazijawahi kuondoa tatizo,
Kila jambo lina faida na hasara!
Moja ya faida ya mizengwe iliyotokea katika mpira wetu ituamshe ili tuboreshe kanuni na sheria ili kulinda hadhi ya ligi!
Pasipo kunyoosheana vidole kipi kitakuwa suruhisho la kudumu ili haya mambo ya mizengwe yasiendelee kiasi...
Habari wana JF ,natumaini mu wazima wa afya .
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya watu kuonekana wanachukuliwa kwa nguvu au kutekwa na kupotea kabisa .
Kubwa zaidi katika matukio hayo kunaonekana kikiwa na watu pembeni wakishuhudia matukio hayo huku muhusika akipambana peke...
Ikitokea mume ametoka bila kuaga (kutokana na mihangaiko yetu ya kighafla ya wanaume), mke nae anatoka bila kuaga na kwenda anakokujua mwenyewe.
Wakati mwingine huenda kwao (kwakuwa ni karibu) na ajabu anaporudi mama mkwe anampigia simu mume, "amefika salama?" Mume anashangaa tu..... anyway...
Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi huadhimishwa Februari 11 kila Mwaka kuadhimisha mafanikio na michango ya Wanawake na Wasichana katika Sekta ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, na Hisabati (STEM)
Siku hii inahamasisha Wanawake na Wasichana zaidi kufuata na kujiunga na...
Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba matrafiki wanawaza pesa tu. Hii sio sawa. Mimi naona trafiki wako kwa ajili ya usalama barabarani na sio...
Mwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine .
Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala .
Kwa ujumla wanasheria wameonesha udhaifu mkubwa sana , lakini mamlaka zimeonesha udhaifu.
Hawa wabunge 19 wanamaliza...
Katika kipindi cha zaid ya miongo 3 tumeshuhudia Amani ya DRC haijawahi kuwa na Amani iliyotulia,lakini kama mnakumbuka DRC ni miongoni mwanchi zilizojiunga na EAC na baadae akapata uanachama baada ya kukidhi vigezo,sasa kama mwanachama mwenza ni lazima tujadili amani ya DRC kwa sababu ni sehemu...
Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana
Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo
Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho
Walimu wakajua tunamdekeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.