Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 879
- 4,125
Tumeona Naibu Waziri Mkuu amerejea nyumbani lakini kinyume na matarajio wananchi wamegoma kumpokea kwa kiwango kilichokusudiwa.
Juzi waziri wa fedha na timu ya mawaziri kadhaa imetunga mbeya lakini wananchi wamegoma kujitokeza kwenye mikutano waliyofanya.
Katibu mkuu mdogo wetu Chongoro ameenda Katavi na Rukwa lakini alichokutana nacho huko its like siyo kiongozi mkubwa wa chama.
Katika tafakuri ya nafasi ya siasa katika jamii inaashiria watu wanaendelea kuvunjika moyo. Watu wanaendelea kutoona mambo makubwa yanayofanywa na serikali.
Unashauri waliopo madarakani wafanye nini kurejesha imani ya wananchi?