kero

  1. JamiiForums Tanzania KERO Responded Ucheleweshwaji wa mikopo ya pesa za kujikimu (boom) kwa Wanafunzi wa Chuo

    Hello habari za majukumu. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki Ruaha (RUCU) kilichopo Iringa. Kwasasa changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za kujikimu (meals and accomodations) ambayo ni sehemu ya boom. Kitu kinachotushangaza na kutusikitisha...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Jirani yangu anafungulia majitaka, nifanyeje?

    Nainaishi tegetar maguzo. Kuna jirani anafungulia maji taka, inavyoelekea choo kimejaa hivyo mvua zinaponyesha hutukua fursa hiyo kuflash choo. Sikukaa kimya nikamueleza adha inayonikumba. Bahati nzuri naishi peke yangu (chumba, jiko, sebule ndogo na stoo) sometimes nauvuta mwenza wangu...
  3. JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania, Pitieni tena Sheria za hawa watoa mikopo mitandaoni wamekuwa kero na Wasumbufu sana

    Najua kuna watu wa bank kuu hapa. Me naona Pitieni tena Sheria zenu Kwa hawa watu au msimamishe huduma mpaka wajipange tena. How napigiwa simu 50 na msg 100 naambiwa nimemdhamini mtu kuchukua ela kwao na nimeshirikiana Nae kutapeli? Kwanini wakati wanapeana Mikopo hawakupiga simu kwangu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chato: Wananchi wafurahia DC Katwale kuhamishwa. Wadai alijikita kufanya kampeni za ubunge kuliko kutatua kero zao

    Kichwa cha habari chajieleza na kimepigiwa mstari. Katwale anawaza kuwa mkuu mbunge tu. Anachowaza ni kumg'oa Kalemani. Alipoteuliwa ukuu wa wilaya Chato hakuwa na muda kutatua kero za wananchi. Masalani pamoja na Chato kuwa karibu na ziwa Victoria bado kuna shida ya maji kubwa. Yeye kikubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nendeni mkasikilize kero za wananchi. Huko ndiyo kura ziliko

    "Nendeni mkasikilize kero za wananchi" - Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania. --- --- Makonda amezunguka mmeona mfano, Wananchi wana kero kadhaa, nyingine nyepesi tu za kutatuliwa huko chini, hawasikilizwi. Na wasiposikilizwa zile ndiyo kura zetu. Akipita mwingine akiwaambia mimi...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kutatua kero na matatizo yatokanayo na bodaboda na Bajaj nchini!

    Huduma za bodaboda na bajaj nchini zimechukuliwa kuwa za kisiasa zaidi kuliko kuwa huduma inayo hitaji udhibiti kimamilifu kwama vyombo vingine vya moto. Kinachosikitisha zaidi ni hata vyombo vya udhibiti kisheria kama Polisi, ni kama wako paralysed kutatua matatizo ya vyombo hivi. Wanasiasa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni walimu pekee ndio watumishi wenye kero ya kuhitaji madaraja mserereko?

    Salam wana JF! Kuna sintofahamu kubwa imeibuka miongoni mwa watumishi wa umma hasa wale wa kada zingine tofauti na walimu. Hii ni kutokana na namna serikali inavyoonyesha ubaguzi katika kushughulikia kero za walimu dhidi ya kero za watumishi wengine, Mfano kwa miaka miwili mfululizo sererikali...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo account za facebook zinavyodukuliwa, chukua tahadhari, chunga account yako

    Wadukuaji wanaiba account za wengine kufanyia shughuli ambazo wanaogopa kuzifanyia kwenye account zao au ndugu zao, shughuli hizi ni: kuposti picha / video za uchi, kuposti linki kwenye magroup kuziuza account, kuweka link na kuwatag marafiki kutapeli kutukana / kudhalilisha watu maarufu, n.k...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Unalichukuliaje suala la Wanasiasa kujitokeza Majimboni kutoa zawadi na kutatua kero za wananchi kwa mwaka huu?

    Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote? Kwa upande wako unachukuliaje vitendo hivi? Soma: Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro
  10. JamiiForums Tanzania Kero anazozitaka kusikia Rais Samia, zianzie hapahapa!

    1. Nani aliyewajibishwa na ile ripoti ya CAG 2022/2023? Hii ni kero kubwa sana kwangu, kwa sababu haiwezekani kuwepo na ofsi ya mkaguzi wa mahesabu ya serikali, anayelipwa kupitia kodi za Watanzania walalahai, ili hali kazi yake inakuja kuwekwa tu kwenye makabati ya...
  11. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atenga siku moja kila mwezi kusikiliza kero za watanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja "Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi...
  12. JamiiForums Tanzania Umewahi kukumbana na Kero gani katika Huduma za Afya?

    Habari, Afya ni miongoni mwa huduma muhimu na msingi katika katika Jamii yoyote. Katika kupata Huduma za Afya kuna michakato na mambo mengi katikati yake. Je, umeshawahi kukutana na kero gani katika kupata Huduma za Afya Kishingo akusaidie kuisemea?
  13. JamiiForums Tanzania Kero ya wauza maziwa Arusha kuweka maji na unga wa ngano

    Kama kichwa kinavyo jieleza. Hili ni janga la muda mrefu na hali hii inazidi kukomaa hali inayopelekea maziwa kutokuaminika kabisa. Wauzaji kuanzia wafugaji wanao kamua maziwa hadi wenye maduka wanaouza rejareja, wengi wao wanaweka maji ili maziwa yawe mengi na kisha kuweka unga wa ngano ili...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya uchafu Soko la Mbogamboga na Matunda ni kubwa Dodoma

    Hali ya mazingira katika Soko la Mbogamboga na Matunda Sabasaba ni mbaya, eneo la kuingia sokoni hapo limejaa maji na taka nyingi zimerundikwa hapo. Kama mamlaka husika hazitashughulikia jambo kuna uwezekano mkubwa wa wafanyabiashara na wateja wanaotembelea soko hilo wakakumbwa na magonjwa ya...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri 16.2.2024, Kero umeme kuisha, stiglers inawashwa

    Niseme kiukweli tupo kwenye majonzi mazito, misiba mbalimbali imetokea. lakini licha ya hayo bado kero ya umeme imezidi kushamiri na mfano mzuri nitukio la kukatika umeme pale karemjee wakati wakimuaga ndugu Lowasa. Serikali ya CCM ilituahidi kuwa kero ya umeme itaisha kuanzia tarehe 16-02-2024...
  16. JamiiForums Tanzania Mauzauza: Alichojibiwa Makonda kero ya Iringa ni ile aliyotishia kumpiga kibao Naibu Waziri

    Wakuu heshima kwenu. Poleni na msiba mkubwa sana wa kitaifa wenye historia kubwa hapa JamiiForums. Nipende kuwakumbusha kuwa akiwa ziarani Iringa ndugu Makonda alikutana na KERO ya wafanyakazi kiwanda cha karatasi mgololo ambapo kwa miaka 20 wafanyakazi hao wamekuwa wakiidai serikali mafao yao...
  17. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Kero anazotatua Makonda zinamuhitaji azunguke nchi nzima miaka 60 ijayo

    Mimi ni mtu wa imani, mpenzi wa Biblia na mqmbo chanya kwenye Quran. Kwa upeo wangu hafifu kisiasa nimeangalia malalamiko anayotatua Mh Makonda nimeona anahitaji kuzunguka nchi nzima miaka 60 ijayo angalau hadi 2084 Feb. Kwanini? 1: Matatizo anayoletewa mtu kukatwa mapanga, kunyimwa malipo na...
  18. JamiiForums Tanzania Momba: DG RUWASA Afika Jimbo la Momba Kutatua Kero ya Ukosefu wa Maji Kata ya Ndalambo na Msangano

    MOMBA: DG RUWASA AFIKA JIMBO LA MOMBA KUTATUA KERO YA UKOSEFU WA MAJI Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Eng. Clement Kivegalo amesema Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama nchini ni asilimia 79.7 lakini kwa Jimbo la Momba Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama ni sawa na asilimia 51...
  19. JamiiForums Tanzania Mabadiliko katika mfumo wa maombi ya Ajira ni kero na uonevu kwa waomba Ajira

    Kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri. Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa...
  20. JamiiForums Tanzania Mabadiliko katika mfumo wa maombi ya ajira ni kero na uonevu kwa waomba ajira

    kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri. Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…