Benki Kuu ya Tanzania, Pitieni tena Sheria za hawa watoa mikopo mitandaoni wamekuwa kero na Wasumbufu sana

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,451
6,325
Najua kuna watu wa bank kuu hapa.

Me naona Pitieni tena Sheria zenu Kwa hawa watu au msimamishe huduma mpaka wajipange tena.

How napigiwa simu 50 na msg 100 naambiwa nimemdhamini mtu kuchukua ela kwao na nimeshirikiana Nae kutapeli?

Kwanini wakati wanapeana Mikopo hawakupiga simu kwangu kuniuliza au kunifahamisha?

Nilituma E mail TCRA wao wakasema BOT ndio wanahusika moja Kwa moja

Thank you
 
Ilinitokea pia nikapigiwa simu naambiwa kuna mtu nimemdhamini na ametapeli kwahyo natafutwa pia. Nikawaambia acheni ufala, mie sijui habar hizo
 
Ilinitokea pia nikapigiwa simu naambiwa kuna mtu nimemdhamini na ametapeli kwahyo natafutwa pia. Nikawaambia acheni ufala, mie sijui habar hizo

Mimi wananisumbua Sana wakati wanapeana hela hata hawakuniuliza kama namjua huyo mtu

I think mamlaka wanatakiwa kuwa na Jambo la kufanya

Imekuwa kero sanaa
 
Back
Top Bottom