kero

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete asema mifumo mipya mitatu ya Utumishi itasaidia kupima utendaji na kujibu kero za wananchi

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji kazi wa mtumishi yeyote aliyepangiwa majukumu na kuona kiwango cha utekelezaji wa majukumu yake...
  2. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Makonda awaonya wanawaweka ndani kwa kuwa wana kero zinazowasumbua

    📌📌 MAKONDA ABAINISHA ZAIDI YA TSH BILIONI 6 ZINATUMIKA KWA MRADI WA UMEME WA JK. NYERERE, KUFIKIA MWEZI MARCH MITAMBO MIKUBWA KUUNGANISHWA Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda katika kueleza dhamira ya Chama Cha Mapinduzi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kero ya umeme Mbeya

    Sisi wakazi wa Isyesye iliyoko mkoa wa Mbeya tunashida moja na TANESCO, hatukatai kuna mgawo wa umeme lakini kuna kero moja inayotukwaza sana wananchi: Umeme umewekwa kwa zamu lakini cha kushangaza hata siku ambazo tunatakiwa kushinda na umeme wao wanakata. Pia wakati mwingine wanarudisha umeme...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dampo katika Soko la Stereo lililopo Temeke ni kero kubwa, Mamlaka ziongeze nguvu katika kuzoa taka

    Dampo lililopo kwenye soko la Stereo hapa Tekeme, Dar es Salaam ambapo ni sehemu kwa Wauzaji wa soko hili kuhifadhi takataka baada ya wao kufanya usafi kwenye maeneo yao, limekuwa ni kero kubwa kwa Wafanyabiashara na Wanunuaji wa bidhaa katika Soko hilo. Wafanyabiashara katika soko hili kwa...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Banana - Kitunda ni kero kubwa kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia

    Barabara ya Banana Kitunda (Dar es Salaam) imekuwa ni kero kubwa sana kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia. Barabara ni mbovu na kila kipindi cha mvua usafiri ni shida na magari yanaharibika sana, tunaomba hii taarifa imfikie Mbunge wetu ni Jerry Silaa.
  6. luangalila

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli serikali haifahamu kero ya usafiri wa mabasi ya Mwendokasi?

    Ukimya wa serikali wa kutatua changamoto ya huu usafiri binafsi unanipa wasiwasi huenda serikali haifahamu izi shida ambazo wananchi wanao tumia usafir huu tunakutana nao. Jana Jumatatu pale Gerezani nilitumia masaa 3 na dakika nyingi kusubiri usafiri, imagine nimefika pale saa 10 jioni...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kimara mwisho njia ya kuelekea Matosa imekuwa kero baada ya kutomaliza maboresho ya daraja lililopo nyuma ya chuo

    Na kusababish kero kubwa kwa wananchi ni bora hata wangeliacha lilelile daraja la mwanzo kwani ni kero tu hakuna matengenezo yyte yanayoendelea na njia imefungwa. Rais na mbunge wa Ubungo liangalie hili kwa jicho la tatu TUNATESEKA
  8. 00m

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kuzuia uvutaji wa sigara iliishia wapi?

    UVUTAJI SIGARA. Ivi ile sheria ya kuzuia uvutaji sigara iliishia wapi. Maana Leo Stend nzima kahama ilikuwa inanuka sigara. Imefikia mahali watu wanavuta hadharani ata kwenye sehemu watu wanakusanyika.
  9. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 umekuwa mwaka wa mateso makali kwa wananchi, zijue kero 30 zilizosabishwa na serikali mwaka 2023

    1. Kushuka kwa thamani ya pesa yetu dhidi ya dola 2. kusuasua kwa miradi ya maendeleo 3. mikopo ya hovyo hovyo inayoathiri mzunguko wa fedha kwa wananchi 3. Wizi, ufisadi na uporaji wa mali za umma 4. Matumizi mabaya ya Gari za serikali saa 5. Kupanda hovyo hovyo kwa nauli 6. Kupanda hovyo...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mlundikano wa malori Shekilango, Ubungo Maziwa ni kero

    Kumekuwa na kero kubwa ya malori haya yanabeba kopa ni mengi mnoo na barabara imekuwa finyu. Serikali mtusaidie.
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kanisa la PAG-Bethel Nyasaka (Mwanza) na kero ya kelele kwa majirani

    Kanisa la kilokole la Bethel linalopatikana katika eneo la Nyasaka-Msumbiji, kata ya Kawekamo,wilaya ya Ilemela,mkoa wa Mwanza limekithiri kwa kupiga kelele kuzidi viwango vibakubalika kisheria. Imekua ni kawaida sasa kufungulia mziki kwa sauti kubwa tangu saa mbili asubui mpk saa nne kasorobi...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Huduma gani imekuwa Kero kubwa katika eneo lako kwa mwaka 2023?

    Mwaka 2023 unaenda mwishoni na mambo mengi yametokea. Tukiangalia huduma za kijamii pia kuna mengi yamefanyika lakini bado matatizo hayaishi. Kwa upande wako vipi huduma gani imekuwa kero kubwa kwako?
  13. luangalila

    JamiiForums Tanzania KERO Shinyanga MC

    Mamlaka inayo husika na isimamizi wa barabara za ndani ya mji Shinyanga mtu saidie kuweka matuta katika izi barabara ili kuzuia mwendo kasi wa baadhi ya madereva wa vyombo vya moto hususani bodaboda na magari . Kuna hii barabara ya Nkulila road yaan unakuta cruiser ya DFP, STM, STK...
  14. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na Changamoto kama hii?

    Salamu kwa wote, Nia yangu siyo kumsimanga mtu bali nataka tujifunze na si vinginevyo, Twende kwenye hoja ya msingi, Mtu anakupigia simu kwamba amekwama kwa jambo fulani linahitaji pesa, anaomba msaada wa kifedha kwa sababu amekama, Unamwambia haina shida ntakusaidia, unaamua kumtumia pesa...
  15. Insidious

    JamiiForums Tanzania KERO: Barabara Tabata Kimanga

    Habari, Straight to the point, hii barabara imekua ni kero na chanzo cha fedha kwa wajenzi wa barabara hio kwani wamekuwa wakifanya spot rehabilitation tu. Kila inyeshapo mvua mashimo yanarudi, hivi sasa ninavyoongea barabara hii kuanzia tabata bima-mawenzi hadi kimanga mwisho unachagua shimo...
  16. The Gojo

    JamiiForums Tanzania Kero katika stendi kuu ya mabasi Dodoma

    Habari! Nataka kufikisha kero hii kwa niaba ya wasafiri wanaoingia na kutoka katika Stand Kuu ya Mabasi, Dodoma. Kila mtu anajua kuwa ni wajibu wa raia kulipa kodi, lakini ni lazima kuwe na mantiki katika hiyo kodi. Nimeshangazwa sana na utaratibu wa ushuru uliowekwa katika stand hii ambao...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Janeth Masaburi Aitaka TARURA Dar Kutatua Kero za Barabara

    MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Masaburi ameitaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini ( TARURA) kuhakikisha inafanya kila jitihada ya kutatua changamoto za Barabara korofi kwa kuzikarabati ili kuwawezesha wananchi waweze kufanyaka kazi zao za kuitafuta riziki bila...
  18. Anti-Hacker

    JamiiForums Tanzania Kero ya kubadili njia "Route" kwa mabasi ya usafiri (daladala) ya Buza to Kawe

    Habari zenu wapendwa na Moderators. Ni kitambo sana sijaaandika kitu humu jamii forums, ila leo nimeamua kuandika hii kero ambayo imenikumba mara kadhaa. Ninaomba, hii taarifa iwafikie LATRA, SUMATRA CC, na Jeshi la Police Tanzania kitengo cha usalama barabarani, pia iwafikie umoja wa...
  19. kamdudu

    JamiiForums Tanzania TANESCO Simiyu Bariadi imekuwa kero sana

    Habari Wanajukwaa wa JamiiForums ? Natumai mko salaama. Leo ni nina kero ya muda murefu sana kutokana na umeme wa huku Bariadi Mkoani Simiyu ambao umekua ukikatika na kurudi kila wakati kutwa nzima usiku kucha kama ka mchezo flani hivi. Yaani umeme umaweza ukawaka kama dakika 30 hivi au lisaa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeni mabasi ya kutoa huduma ya usafiri DART Stendi Kuu ya Kimara Mwisho, watu ni wengi na mabasi ni machache

    Kero ya usafiri Kimara Termina ni kubwa sana muda wa kuanzia asubuhi mpaka saa 6 mchana. Msongamano wa watu ni mkubwa sana na mabasi yenu ni machache. Toeni tenda watu binafsi waingize mabasi kwenye hii njia yenu, maana inaonekana kazi imewashinda.
Back
Top Bottom