Mabadiliko katika mfumo wa maombi ya Ajira ni kero na uonevu kwa waomba Ajira

Kushdon

Member
Jan 14, 2017
15
18
Screenshot 2024-02-07 074445.jpg

Kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri.

Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa sekretarieti ya ajira ni kwamba kwa wale waliojaza profile na kueka elimu zao zote mpaka degree mfano, mfumo unagoma kuomba kazi ya ngazi za chini kama cheti na diploma. Mfumo huu naona ni bora ubaki kwa wale wanaoomba nafasi zinazohitaji elimu ya degree na kuendelea ila huku diploma na cheti naomba sana serikali itufikirie na kutuangalia kwa jicho la pili kwani mfumo huo hauturuhusu kuomba kazi za ngazi ya chini kwa wale tuliofika mpaka ngazi ya degree.

Zamani mfumo huu ulikua unaturuhusu kufuta baadhi ya elimu ilikueza kuomba kazi ya ngazi ya chini kama diploma na cheti ila kwa sasa haiwezekani kubadilisha na unatutenga sana wale ambao tulianzia cheti mpaka kufika degree au zaidi.

Ushauri wangu kwa serikali ni kwamba waweke mfumo huo wa maombi ya ajira ukubali kuomba kazi yeyote ata kama ni ngazi ya sekondari pekee bila kujali viwango vingine vya elimu ili kutusaidia katika kupunguza wimbi la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa ngazi mbalimbali, au waache mambo yalivyo kwa sasa tuendelee kuomba kazi za halmashauri kwa kutuma barua posta ili tuhusike ata na sisi tuliosoma ngazi za cheti na diploma.
 
View attachment 2896598

Wewe umesoma hadi degree halafu ufanye mtihani mmoja na mtu wa certificate uo ni uonevu. Sekretarieti hawatak jambo hilo
 
SIo tatizo la mfumo ni tatizo la Sera ya utumishi na sijui kama ipo kisheria. Hayo ni maelekezo kutuka tume ya utumishi wa umma ili kuleta usawa kwenye kada mbalimbali zenye sifa tofauti tofauti
 
Serikali imeweka huu mfumo vizuri sana.
Yaani mpaka mseme.
Madhara yake ni kwamba ukipata kazi kwa cheti cha chini huko mbele utegevu unaanza. Utafurahi mwezi mmoja tu baada ya hapo manung'uniko yataanza.
Ukiwa huna kazi hata ukiwa na PhD unakuwa uko tayari kufanya kazi za mtu wa astashahada ila ukiajiriwa na kukaa kazini miezi kadhaa ndipo madhara yataonekana
 
Naona Iko sawa tu,. Mtu una degree ukashindanishwe na mtu wa certificate, Unahisi Huyo mtoto wa certificate atakuwa katendewa haki mkuu
Hiyo kitu inaitwa over qualification pia kwenye kazi mtihani mtu ana degree halafu unampa kazi ya certificate atafanya kazi kinyonge sana halafu unakuta boss wake ana diploma sababu kazi za certificate nyingi mabosi Wana diploma
 
Serikali imeweka huu mfumo vizuri sana.
Yaani mpaka mseme.
Madhara yake ni kwamba ukipata kazi kwa cheti cha chini huko mbele utegevu unaanza. Utafurahi mwezi mmoja tu baada ya hapo manung'uniko yataanza.
Ukiwa huna kazi hata ukiwa na PhD unakuwa uko tayari kufanya kazi za mtu wa astashahada ila ukiajiriwa na kukaa kazini miezi kadhaa ndipo madhara yataonekana
Ni kweli, Kwanza mtu unaona kama unafanya kazi iliyo chini Sana ya uwezo wako, then utoro, uvivu na ujanja ujanja unaanza.
 
View attachment 2896598
Kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri.

Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa sekretarieti ya ajira ni kwamba kwa wale waliojaza profile na kueka elimu zao zote mpaka degree mfano, mfumo unagoma kuomba kazi ya ngazi za chini kama cheti na diploma. Mfumo huu naona ni bora ubaki kwa wale wanaoomba nafasi zinazohitaji elimu ya degree na kuendelea ila huku diploma na cheti naomba sana serikali itufikirie na kutuangalia kwa jicho la pili kwani mfumo huo hauturuhusu kuomba kazi za ngazi ya chini kwa wale tuliofika mpaka ngazi ya degree.

Zamani mfumo huu ulikua unaturuhusu kufuta baadhi ya elimu ilikueza kuomba kazi ya ngazi ya chini kama diploma na cheti ila kwa sasa haiwezekani kubadilisha na unatutenga sana wale ambao tulianzia cheti mpaka kufika degree au zaidi.

Ushauri wangu kwa serikali ni kwamba waweke mfumo huo wa maombi ya ajira ukubali kuomba kazi yeyote ata kama ni ngazi ya sekondari pekee bila kujali viwango vingine vya elimu ili kutusaidia katika kupunguza wimbi la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa ngazi mbalimbali, au waache mambo yalivyo kwa sasa tuendelee kuomba kazi za halmashauri kwa kutuma barua posta ili tuhusike ata na sisi tuliosoma ngazi za cheti na diploma.
hiyo sio kero sasa wewe una degree unataka kazi za cheti au diploma
 
Mimi nafikiri hamjamuelewa mtoa mada yeye kamaanisha kwa wale waliounganisha elimu unakuta mtu alianzia certificate,diploma then bachelor so kahoji kwanin wasiweke option yakumuondolea degree n diploma yake ili aombe huo uafisa utendaji na elimu yake ya certificate
 
Huyu ana degree siyo certificate, interview haiwez kua fair akishindana na certificate.....form six apige paper ya form 1!
 
Back
Top Bottom