kero

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Maegesho na penati za Traffic imekuwa kero kubwa Dar es Salaam

    USHURU MAEGESHO + TRAFFIC PENALTY JIJINI DAR VIMEKUWA KERO KUBWA SANA Tunaomba wizara husika ziangalie upya hizi taratibu 1. Gari moja inaweza kuta ina madeni ya miaka hadi 3. 2. Kiwango ni kukubwa mno, madeni yasiolipika. 3. Inaturudisha kwenye tatizo la zamani la Motor Vehicle...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Mwanga akagua Miradi ya Maendeleo, Kusikiliza Kero za Wananchi

    MBUNGE wa Jimbo la Mwanga Joseph Tadayo amefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kusikiliza kero za wananchi katika vijiji vinne vya kata ya Toloha na Kwakoa wilayani humo mkoani Kilimanjaro. Katika ziara hiyo Tadayo ameambatana na wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya, ambapo...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ngassa: Tutaendelea kutatua kero zenu bila kuchoka

    "... Tuliingia Mkataba nanyi Wananchi kwenye Uchaguzi Mkuu baada ya Chama chetu (CCM) kuinadi Ilani ya uchaguzi kwenu. Mkatupa ridhaa, sasa ni wajibu wetu kutatua kero zinazowakabili bila kuchoka. Tunafanya hivyo ukiwa ni wajibu wetu kikatiba na kisheria ndio maana leo kwenye Kata yenu Tumefanya...
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano Kenya: Mwanaume mmoja aandamana kwa kujifunga mnyororo kwenye nguzo na kutoa kero zake

    Mwanaume mmoja huko Kenya aandamana kwa aina yake leo kwa kujifunga kwenye nguzo na mnyororo na kuanza kuongea kero zake. Polisi walifika eneo la tukio na kujaribu kumfungua ili wamkamte huku watu wengine wakiwa wanarekodi tukio hilo. Polisi walipomuomba ufunguo, akasema mimi sina funguo. Kwa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kuna kero kubwa kwa Watumishi wa Umma wanapotaka kuhama au kubadili taasisi

    Mdau wa Jamii Forums anaeleza... Mimi ni mtumishi wa Umma kuna jambo ambalo limekuwa kero kwa Watumishi wengi, ni kuhusu kuomba uhamisho kutoka Taasisi moja kwenda nyingine au kuomba kwenda kufanya ‘interview’ ya kazi. Kuna mambo kadhaa ambayo yanafanya kuwe na ugumu katika kufanikisha hilo...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wananchi Tabata Kisukuru kero yetu kubwa ni kukosa gari la kuzoa taka na uhaba wa maji

    Mimi kero yangu au naweza kusema kero ya watu wengi huku mtaani kwetu Tabata Kisukuru ni kuwa gari la Taka halijaonekana muda mrefu na taka zimejaa kwenye nyumba nyingi mpaka zinanuka na kutengeneza wadudu. Kero nyingine ni kuwa maji ni ya shida sana yaani tunataabika kwelikweli, tupazieni...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Bar (Barmaids) Arusha wamezidi kuwa Omba Omba na wanapenda kunywa Heineken na Windhoek beer

    Wasalaam JF, Arusha ni kiboko Kila bar ukienda wahudumu hawa Barmaids ni Omba Omba wa hatari, hawa mademu wanaringia matako, kuvaa vimini skirts uniform wanadhani ndio silaha kuu, ukitumia uungwana tu wa kucheka na au ukampa ofa siku moja basi anataka akufanye danga mshika pembe siku zote hadi...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo Ianzishe Dawati la Kusikiliza Kero za Wafanya Biashara

    MHE. EDWIN SWALLE - WIZARA YA KILIMO IANZISHE DAWATI LA KUSIKILIZA KERO ZA WAFANYABIASHARA MAGETINI Mbunge wa Jimbo la Lupembe Mkoa wa Njombe, Mhe. Edwin Enosy Swalle ameshauri Wizara ya Kilimo kuanzisha dawati maalum la kusikiliza na kushughulikia kero za wafanyabiashara kutokana na changamoto...
  9. Lidafo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ofisi za kazi mkoa tatueni kero hizi wanazopitia wafanyakazi wa viwandani

    Viwanda ni katika sekta zinazotoa ajira nyingi sana kwa wananchi, Sekta hii ni ya muhimu katika ukuaji wa uchumi , Nikiwa kama mdau ambaye nimefanya kazi viwandani nathibitisha hilo kuwa viwanda vinatoa ajira kwa watanzania wengi. Pamoja na umuhimu huo, Kwa muda ambao nimefanya kazi viwandani...
  10. Just Distinctions

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

    Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya kufanya mapenzi kwenye vyoo vya kumbi za starehe na baa imekithiri na imekuwa kero

    Unabanwa haja ukiwa baa au klabu, unaenda ili ujisaidie unafungua mlango lakini haufunguliwi. Baadae anatoka mwanaume na mwanamke. Hii imekithiri sana hapa Bongo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kero Kituko Uwanja wa Ndege Zanzibar

    Naipongeza serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kufanya ukarabati mkubwa wa uwanja wa ndege wa Zanzibar, ambapo ni wazi umebadilisha taswira ya uwanja kuwa bora kuliko ilivyokuwa awali. Cha ajabu ni kwamba pamoja na ukarabati huo kuna kero mpya imejitokeza hasa kwa abiria wanaondoka/wanaotoka...
  13. Saint_Maxi

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie Jicho Kero ya usambazaji wa Umeme eneo la Ukara, Ukerewe

    Ukara wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza kuna shirika la umeme (JUMEME) linahusika na huduma ya usambazaji wa umeme wa nguvu ya jua ila kero ipo kwenye bei. Bei ni Elfu mbili 2000/= kwa kila unit, na namna ya huduma ya kila mteja katika matengenezo yao, kwasababu mita ina tatizo ukimtafuta fundi...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama ulianza kutumia Internet mapema miaka ya 1990 na 2000 njoo hapa tukumbushane Internet Cafe tulizoenda, Vimbwanga, Kero na Kumbukumbu

    MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo 😂 . Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5, tulikuwa tunalipia kwa...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Fani yako inakusaidiaje katika kutatua Kero za Jamii?

    Wengi huwa tunajifunza fani mbalimbali ili mwisho wa siku tuweze kutatua kero au changamoto za jamii; mfano: Daktari atatatua kero za wagonjwa kwa kuwatibu. Mwalimu atatatua kero za wajinga kwa kuwapa elimu na ujuzi. Mzibua vyoo atatatua kero ya kuzagaa kwa maji taka na kuelekea kwenye mfumo...
  16. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Kuongelea kero ya maegesho, Chalamila umechukua heshima yangu!

    Hawa jamaa wamekithiri mno kunyanyasa watu. Nashukuru kuwa mamlaka imegundua kuwa wanatumia vibaka.
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Chama tawala kinaagiza wakati CHADEMA Mbowe anasema anachukua kero na atampelekea SAMIA

    Mimi siamini katika mikutano ya hadhara hasa ya upinzani baada ya uchaguzi. Sababu yangu ni moja, wapinzani hawana ufumbuzi wa kero za wananchi. Hii imeoneka wakati wa Kampeni ya 255 ya CHADEMA wanasema wanachukua kero ili wazipeleke kwa rais wakati Katibu mkuu wa wa CCM anaagiza na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mikutano ya Act wazalendo sio kama ya Chadema na vyama vingine. Sisi tunaeleza kero na namna ya kutatua.

  19. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania MBIO ZA MWENGE KERO DAR

    Maeneo yanayopitiwa na mbio za mwenge wananchi wanateseka bila sababu. Chukulia mfano leo mwenge ulikuwa unaenda kuzindua barabara iliyojengwa kiwango cha zege kuanzia eneo linaloitwa sauzi mpaka matosa kuelekea njiapanda ya goba. Cha kushangaza barabara ilifungwa tangu jana kuanzia msikiti...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kamati yaanza kupokea kero za wafanyabiashara Kariakoo

    Kamati ya watu 14 ya kushugulikia changamoto za wafanyabiashara nchini imeanza kazi kwa kukutana na makundi tofauti ya wafanyabiashara. Kamati hiyo ilisema Dar es Salaam jana kuwa itafanya kazi kwa weledi, itasikiliza maoni yote na itazunguka katika masoko nchini. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dk...
Back
Top Bottom