Chato: Wananchi wafurahia DC Katwale kuhamishwa. Wadai alijikita kufanya kampeni za ubunge kuliko kutatua kero zao

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Kichwa cha habari chajieleza na kimepigiwa mstari.

Katwale anawaza kuwa mkuu mbunge tu. Anachowaza ni kumg'oa Kalemani.

Alipoteuliwa ukuu wa wilaya Chato hakuwa na muda kutatua kero za wananchi. Masalani pamoja na Chato kuwa karibu na ziwa Victoria bado kuna shida ya maji kubwa.

Yeye kikubwa ni alijizatiti kuwa na makundi na kuwa vikao vya kuweka mikakati ya kumg'oa Kalemani tu.

Sasa amehamishwa. Wananchi kila kona ya mji wa Chato wanafurahia.
 
Je!!! ni majungu au ni khabari za kweliiii
Jana Mh.Rais kasema yeye hana makundi.
TAFAKARI...
 
Kichwa cha habari chajieleza na kimepigiwa mstari.

Katwale anawaza kuwa mkuu mbunge tu. Anachowaza ni kumg'oa Kalemani.

Alipoteuliwa ukuu wa wilaya Chato hakuwa na muda kutatua kero za wananchi. Masalani pamoja na Chato kuwa karibu na ziwa Victoria bado kuna shida ya maji kubwa.

Yeye kikubwa ni alijizatiti kuwa na makundi na kuwa vikao vya kuweka mikakati ya kumg'oa Kalemani tu.

Sasa amehamishwa. Wananchi kila kona ya mji wa Chato wanafurahia.
Mbona mwenyekiti wa halmashauri Mhe Christian Manunga anafanya kampeni za kumtoq kallemani? _
 
Manunga lipumbavu hilo ndio liwe libunge la Chato? Labda kwa kutumia nguvu za ushirikina, maana nasikia huwa anapaa. Vi hela vyake vya shule yake ya hovyo vitaishia kwenye kampeni

Kalemani hatarudi, hata amalizie hela zake kwenye kampeni, huyu Kalemani ndio ile timu ambayo Mkuu wa Majeshi anasema ilisahau katiba.

Katwale anarudi hapo kwa nguvu zote, Kalemani kwa kutumia uhusiano wake na jiwe alikuwa anachochea Katwale afungwe jela na apoteze kazi
 
Wote mnajisumbua Hilo Jimbo ni la kijana wa JPM
 
We chawa wa Dr.Medard Kalemani mwambie huyo mtu mfupi wako akatafute shughuli nyingine ya kufanya. Jimbo litaenda na yeyote kati ya hawa;Katwale,Magembe na Dotto James (kama ataingia ulingoni) ila siyo Kalemani.

Wewe na watu wako mliwapiga figisu sana Katwale na Magembe mbele ya aliyekuwa Katibu Mwenezi Paul Makonda alipokuja Geita. Na kitendo cha Makonda kubadilishiwa majukumu kimefungua milango zaidi kwa usiowapenda kunyakua Jimbo 2025.
 
Manunga lipumbavu hilo ndio liwe libunge la Chato? Labda kwa kutumia nguvu za ushirikina, maana nasikia huwa anapaa. Vi hela vyake vya shule yake ya hovyo vitaishia kwenye kampeni

Kalemani hatarudi, hata amalizie hela zake kwenye kampeni, huyu Kalemani ndio ile timu ambayo Mkuu wa Majeshi anasema ilisahau katiba.

Katwale anarudi hapo kwa nguvu zote, Kalemani kwa kutumia uhusiano wake na jiwe alikuwa anachochea Katwale afungwe jela na apoteze kazi
Kwani hata hiyo shule ni yake sasa?
 
We chawa wa Dr.Medard Kalemani mwambie huyo mtu mfupi wako akatafute shughuli nyingine ya kufanya. Jimbo litaenda na yeyote kati ya hawa;Katwale,Magembe na Dotto James (kama ataingia ulingoni) ila siyo Kalemani.

Wewe na watu wako mliwapiga figisu sana Katwale na Magembe mbele ya aliyekuwa Katibu Mwenezi Paul Makonda alipokuja Geita. Na kitendo cha Makonda kubadilishiwa majukumu kimefungua milango zaidi kwa usiowapenda kunyakua Jimbo 2025.
Hata Katibu wa CCM Chato anashirikiana na kalemani, sio rahisi kupambana na kalemani. Fanyeni mambo mengine mkuu
 
Kichwa cha habari chajieleza na kimepigiwa mstari.

Katwale anawaza kuwa mkuu mbunge tu. Anachowaza ni kumg'oa Kalemani.

Alipoteuliwa ukuu wa wilaya Chato hakuwa na muda kutatua kero za wananchi. Masalani pamoja na Chato kuwa karibu na ziwa Victoria bado kuna shida ya maji kubwa.

Yeye kikubwa ni alijizatiti kuwa na makundi na kuwa vikao vya kuweka mikakati ya kumg'oa Kalemani tu.

Sasa amehamishwa. Wananchi kila kona ya mji wa Chato wanafurahia.
Sawa Kalemani!
 
Hata Katibu wa CCM Chato anashirikiana na kalemani, sio rahisi kupambana na kalemani. Fanyeni mambo mengine mkuu
Wapo walikuwa wameshindikana kutoka, ila Mwisho wa siku wakatolewa, itakuwa Kalemani?

Kalemani muongo muongo sana. Kwanza wale wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Jikomboe alishawapelekea ng'ombe wa mboga kama alivyowaahidi?
 
Back
Top Bottom