Cheology
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 323
- 502
Nainaishi tegetar maguzo.
Kuna jirani anafungulia maji taka, inavyoelekea choo kimejaa hivyo mvua zinaponyesha hutukua fursa hiyo kuflash choo.
Sikukaa kimya nikamueleza adha inayonikumba. Bahati nzuri naishi peke yangu (chumba, jiko, sebule ndogo na stoo) sometimes nauvuta mwenza wangu mtarajiwa tunabarizi maisha yanakwenda.
Siku moja pamoja na kwamba niliisha mwambia mzibuaji, ni wale vijana wanaokaa kwenye majumba haya ya aidha kwa mjomba..kaka au binamu na kadhalika kwamba angalia mvua zikinyesha siku za working days nakuwa sipo fungulia maji taka lakini ukifungua usiku tumelala, weekends tumepunzika, tunateseka na harufu mbaya. Akaacha, baadae akarudia kuachia maji taka tukiwa ndani.
Nikamshauri atumie oil au mafuta taa, alitumia kidogo baadae mambo yale yale, na sasa nina mpango wa kuongeza familia. Leo ameachia tena mzigo unaonekana umeoza kabisa na harufu inaumiza.
Jamani huu sio ustaarabu...naomba msaada hapa nimejenga kibanda cha kisela. Niende wapi sasa? Japo nimejifunza kitu....Shimo likijaa gari la maji taka ni 180k ni bora kuingia gharama kuliko hii dhambi...naamini hii kero. Majirani wanai feel. Wamenyamaza