KERO Kero ya uchafu Soko la Mbogamboga na Matunda ni kubwa Dodoma

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hali ya mazingira katika Soko la Mbogamboga na Matunda Sabasaba ni mbaya, eneo la kuingia sokoni hapo limejaa maji na taka nyingi zimerundikwa hapo.

Kama mamlaka husika hazitashughulikia jambo kuna uwezekano mkubwa wa wafanyabiashara na wateja wanaotembelea soko hilo wakakumbwa na magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu.

Hizi picha ndivyo uhalisia ulivyo…
photo_2024-02-16_16-34-36 (2).jpg

photo_2024-02-16_16-34-36.jpg
 
Back
Top Bottom