kero

  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Abiria tunaovuka Kivuko cha Kigamboni leo ni kero tupu, kivuko kimoja tu ndio kinafanya kazi

    Leo Novemba 28, 2023 sisi Wakazi hasa wa Kigamboni tumepata changamoto ya Kivuko. Yaani leo kivuko kinachofanya kazi ni MV Kazi tu, kingine wanasema ni kibovu, watu wanachelewa makazini, Azam ameleta kivuko kidogo kimoja nacho ni kama kinazidiwa kutokana na idadi ya watu wanaohitaji kuvuka...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Trafiki wa makutano ya Mwenge ni kero na hatari kwa uchumi

    Hivi katika hali ya kawaida tu unawezaje kusimamisha Magari kwa zaidi ya nusu saa upande mmoja eneo linaingiza magari na kuyatoa mjini? Wale Trafiki ni ushamba au ujinga wanafanya pale? Hakuna sababu yoyote ya kufanya vile. Trafiki wajue kuna Wagonjwa wakati mwingine wanawahishwa Mahospitali...
  3. luangalila

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Shinyanga, Kero ya bodaboda kutoa excos kusababisha makelele hamuioni?

    Najiuliza Jeshi la Polisi usalama barabaran kama wapo macho kweli? Ukifika Shinyanga mjini bodaboda nyingi zimetobolewa excos kitendo ambacho hupelekea kelele kwa wananchi wanaoishi pembezoni ya barabara mfano, Nkulila road. Kero nyingine, zipo baadhi ya izi pikipiki guta zimefunga honi zile...
  4. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa. Wanachuo wanateseka na adha ya ukosefu wa maji hivyo kuathiri ufanisi katika ujifunzaji. Kibaya zaidi hata vijana waliojiajiri kuwasambazia maji wanachuo wamezuiwa kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi, kwani...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Umekutana na kero gani benki ambayo ilikukwaza na kukupotezea muda? Wataje hapa wajirekebishe

    Wakuu, Kuna baadhi ya benki ukienda kupata huduma unaenda umetabasamu ukitoka unatamani upasuke kwa hasira. Baadhi ya kero ya kero ni wadumu kufanya mambo mambo taratibu sana, mtu mmoja anatumia hata nusu saa halafu kikubwa kinachofanyika hakuna. Ama unakuta benki ina madirisha mengi lakini...
  6. R

    JamiiForums Tanzania KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

    Wakuu, Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo! Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Makonda atatua kero ya lift ofisi za CCM Mwanza

    Makonda kafanya jambo la kihistoria, pale ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kulikuwa na lift mbovu hatarishi lift hii iliharibika tangu enzi ya Nyerere. Mwenezi wa taifa Makonda kaamuru hiyo lift itengenezwe mara moja, safi sana sasa hivi adha ya kupanda kwa ngazi hasa kwa wazee walemavu na...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hali ya mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho ni kero tupu kama kawaida leo Novemba 15, 2023

    Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho hali ni mbaya, abiria tupo wengi lakini mabasi hakuna, kuna watu wako hapa tangu Saa 12:10 Asubuhi (leo Novemba 15, 2023) lakini hakuna msaada wowote. Hivi viongozi wetu wanaishi wapi mpaka hawaoni hii kero? Kila siku ni kilio cha Mwendokasi tu. Hapa...
  9. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Hii ni mwaka 2015 lakini mpaka leo serikali imeshindwa kutatua hii kero

    Rais Kikwete atembelea Tegeta na Mkwajuni Kujionea Athari za Mafuriko 2015
  10. Braza Kede

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kero gani umekutana nazo katika faragha na mwenza/rafiki?

    Haya twende kazi - Mmetoka zenu matembezini uko mnaingia kunako 6*6 mtu anang'ang'aniza mparamiane hivihivi na majasho mwilini bila hata kuosha mwili kwanza. - Anapenda kula denda ila sasa hiyo harufu inayotoka mdomoni mwake ni changamoto, mungu mwenyewe tu ndo anayejua. - Mmekubaliana fresh...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kulipwa mishanara, mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wameshindwa kutatua kero za wananchi mpaka Makonda aingilie kati!

    Hii inashangaza sana. Yaani wanakula mishahara ya bure tu. Wameshindwa kabisa kutatua kero za wananchi? Msemaji wa chama anahusika vipi na kero za wananchi?
  12. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania KERO: DAWASA Acheni kutuma SMS za madeni kwa wingi

    Kwanza Maji yenyewe mnayatoa kwa mgao (Hamjatangaza tu), huku Tabata hasa Kinyerezi maji mnabangaiza kuyatoa. Mkijiskia ndio mnayaachia hamfati ratiba inayoeleweka. Nirudi sasa kwenye KERO. Mnatuma sana SMS zenu kila muda mnatuma hayo madude yenu. Kuweni na weledi basi na mkiwa mnafanya...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Serikali ianzishe customer care service maalum, Wizara ya Habari na Mawasiliano haina manufaa

    Anaandika Yericko Nyerere katika Mitandao yake ya kijamii; "Nashauri Serikali ianzishe kituo maalumu cha huduma kwa wateja (special customer care) mitandaoni ambacho kitapokea shida na matatizo yote ya watz. Wizara ya Habari na Mawasiliano kinadharia haina manufaa kwa umma, na haina tija ya...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mzazi wa namna hii ni zaidi ya kero

    KUWA NA MZAZI WA NAMNA HII NI ZAIDI YA KERO. "NIMEKUBALI LAANA YA BABA" Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kijana mmoja tumekuwa tuliwasiliana Kwa takribani mwezi sasa. Amekuwa akiniomba msaada wa ushauri wa namna ya kukabiliana na yale yanayomkabili ambayo kwake anayaona kama ni matatizo...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kero ya wageni: Umewahi kutana na gari mbele yako dereva anakata huku na kule kila akifika kwenye tuta?

    Wenye gari za chini kama crown wanafanya hivi kukwepesha gari isiparuze, ila unakuta mtu anendesha Harrier, Rav 4, carina, xtrail, n.k zipo juu, kuna haja ya kufanya haya? Mbaya zaidi kusiwe na namna ya kumu overtake, hata umpigie honi kwamba una haraka hakuelewi.
  16. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Kipimo cha MRI katika Taasisi ya Mifupa MOI ni kero kwa Wagonjwa

    Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Oktoba 9, 2023 nilikwenda kumpeleka Ndugu yangu pale MOI kwaajili ya kupata vipimo kutokana na hali yake kiafya kusumbua kwa muda mrefu. Kufika pale Daktari akamwandikia kipimo cha Magnetic Resonance Imaging (MRI) ili kubaini tatizo lake. Balaa likaanza...
  17. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania Kero ya mabasi ya mwendokasi, Serikali iingilie kati

    Kama ni mtumiaji wa mabasi ya mwendokasi utanielewa hiki nachotaka kusema, imekuwa ni kero ya muda mrefu na sasa imezidi maradufu kwa sisi watumiaji wa mabasi yaendayo kasi na bahati mbaya hatuna pa kusemea. Kujazwa kwenye mabasi, kukalishwa muda mrefu kwenye foleni ya kusubiri mabasi, kukata...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kero ya Umeme, barabara yasimamisha msafara wa Chongolo. Atoa maagizo

    Msafara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo umesimamishwa na wananchi wa Msia, Kata ya Milepa, Jimbo la Kwela mkoani Katavi ili kufikisha kero yao ya umeme na barabara. Wananchi hao wamesimamisha msafara huo leo Jumanne, Oktoba 10, 2023 wakati Chongolo na Katibu wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

    Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali. ================== Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39), baba mzazi wa Sifa...
  20. Faana

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza au kuondoa kero ya upepo mkali wenye vumbi Dodoma?

    Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambatana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema...
Back
Top Bottom