kero

  1. Jamaa Fulani Mjuaji

    JamiiForums Tanzania Naona kama kupata hati pengine ni suala la wachache hapa nchini

    Wadau Naombeni msaada kidogo pengine hapa naweza kusaidiwa hata mawazo, hili jambo limenitesa sana nimekuwa nikifuatilia kupata hati ya eneo langu ambalo limepimwa na nimelipia kila kitu na risiti ninazo ila changamoto nilizokutana nazo mpaka nafanikiwa kupata invoice ya kwenda kulipia na kupata...
  2. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Morogoro litazame eneo la nane nane. Ni kero kwa foleni

    Kwaujumla watumiaji wa barabara ya morogoro eneo kuanzia Chuo Kikuu cha Jordan mpaka oilcom kumekuwa na foleni kubwa sana inayofanya watumiaji wakifika hapo kupoteza muda mwingi sana. Hakuna utaratibu mzuri uliowekwa ambao ungeruhusu magari yasiyo ya mizigo kupita kwa urahisi bila kero...
  3. Rusumo one

    JamiiForums Tanzania Kero Stendi Kuu ya mabasi Shinyanga

    Kichwa cha habari hapo juu chajieleza, natokea Mpanda na kuingia stendi kwa basi la kampuni X muda wa kutoka tukazuiliwa na traffic polisi mweusi mrefu ambaye amelewa chakari ambaye alikuwa anatoa maelekezo ya hovyo na katukalisha kwa dk 40 bila sababu za msingi hii haipo poa pombe zake...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi anayejenga lami Kigamboni baada ya daraja (Mnadani) hazingatii kanuni za ujenzi; ni kero kubwa kwa wapita njia

    Mkandarasi aliyepewa kumalizia kuweka lami eneo korofi baada ya kuvuka daraja la Kigamboni (Mnadani) amegeuka kero kubwa Sana kutokana na staili yake ya ujenzi usiozingatia kanuni za ujenzi! Kanuni za ujenzi zinamtaka Mkandarasi kutumia Alama na michoro (posters) kutoa maelekezo kwa watumia...
  5. danjaboy

    JamiiForums Tanzania Mgao wa Maji na Umeme kero kuu ya wakazi wa Jiji la Mwanza

    Huku mgao wa maji huku umeme jiji limekuwa kama wanaishi wahuni hivi mkuu wa mkoa huwezi kutatua matatizo kama haya au mpaka aje Rais? Leo umeme pia ni kero tupu maji ndo kama hivyo tunakimbizana na madumu kila siku wakati maji yapo hapa tu.
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania hii ndio sababu ya kwanini tuliandika katiba mpya, mnamchosha rais na kero zenu kwenye misafara yake

    Enzi za katiba ya zamani hapa kwetu ilikua hivi hivi kama tunavyoshuhudia kwa Watanzania, kwamba maskini wanyonge wanalaghaiwa na kunyanyaswa bila msaada wowote, hata wakifika kwa wakuu wa mikoa taswira inabaki ile ile, mpaka siku msafara wa rais utapita, kisha umpigie rais makelele hadi akuskie...
  7. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Wapangaji Wenzangu hizi kero Sasa. Asubuhi yote hii kukaa Uwani wengine ni shida

    Habarini za Asubuhi Bila shaka mu wazima wote wa Afya Mada yetu ni kuhusu hii kero ya wapangaji ninapokaa hapa yaani imekuwa shida sana Wanaamua tu kukaa uwani wengine hawana hata kazi Wengi ni wanawake unakuta labda mmoja ndio tu anafua au anafangia uwani, lakini sasa wapo njiani na karibu na...
  8. nimechafukwa

    JamiiForums Tanzania Kero tunazokutana nazo kisa tumefanikiwa kimaisha

    Wadau lengo la Uzi huu sio kubrag wala kuwaumiza watu ambao bado wanapambana kimaisha ila bado hawajatoboa. Mimi ni mjasiriamali, na naweza kusema kwamba nimefanikiwa kwa kiasi fulani kwani Turnover yangu kwa siku si chini ya million 10 hizi ni baadhi ya kero nazokutana nazo kila siku 1...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania NSSF Ni kero kwa wanufaika

    Jamani habarini kumekuwa na shida kwa baadhi ya maofisa wa NSSF kuingia ubia na waajili ya kutopeleka michango kwa wakati matokeo yake wanaoumia ni wanufaika huku mchangiaji akikosa haki zake za msingi Kitendo hiki ni cha kinyama mfano mtu unatakiwa kupewa fao lako la uzazi lkn haki hii huwezi...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

    Naona mzee katupia magwanda huenda anaenda hapo Monduli kwa shughuli za kijeshi. Any way, spika amekataliwa live mbele ya Rais Magufuli.
  11. Franky

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani Mafinga ni kero

    Wasalaam, Siku mbili izi kuna video ya Waziri wa mambo ya ndani ya nchi akiongea na viongozi wa vyombo vya usalama imeonekana kwenye mitandao ya kijamii. Waziri huyo alionekana akiwalalamikia sana traffic kwa kufanya kazi bila kuzingatia sheria, utu pia kufanya overcrowding barabarani, unakuta...
  12. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania TARURA Bagamoyo barabara ya Kaole imekuwa kero

    Kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa barabara ya Kaole(Bagamoyo Secindary hadi Kaole) imekuwa ikiwekewa vifusi ambavyo havija sambazwa. Hii ni kero kubwa. Vifusi hivi viko kati kati ya arabara na wananchi wanapita kwa taabu sana. Kaole ndiko kuna vivutio vya utalii wa wageni w kale toka...
  13. Ileje

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

    Ukiwa na matumaini makubwa ya kuwa raia namba moja nchini, ulianza kampeni mapema kwa kuandika mabango kwa mamia katika maeneo yote muhimu na pia katika structures nyingi zilizo barabarani nchi nzima! Kwa kuwa umegonga mwamba katika matumaini yako tafadhali tumia mbinu zile zile ulizotumia...
  14. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Viboko Pablo Escobar aliyowaingiza Colombia kinyemela wamezaliana hadi sasa kero

    Kwema WanaJf, Gwiji maarufu la madawa ya kulevya Pablo Escobar aliingiza wanyama kinyemela 'smuggle' Hecienda Medelin Colombia kutoka Africa mwanzoni wa miaka ya 90. Wanyama Pablo aliowaingiza walikuwa twiga, Swala, nyati, zebras, mbuni, tembo, nyumbu na viboko wote wala nyasi na mimea...
  15. Masulupwete

    JamiiForums Tanzania Nani wa kuvunja mnyororo wa michango ya harusi?

    Ninavyoona hii michango ya harusi ni mnyororo wa kutajirisha watu tu kwa kisingizio cha kuwanufaisha/ kusherehesha wanaharusi. Kiukweli, mnyororo huu itabidi ifike wakati uvunjwe (kama sio kizazi hiki basi kijacho) kwani kamwe haupo kwa maslahi ya wanaharusi kama inavyodhaniwa na wengi, zaidi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania NMB wamekataa kupokea taarifa ya kuzuia miamala baada ya kadi ya benk kuibiwa matokeo yake wahalifu wamefanikiwa kutoa pesa

    Nimesikitishwa sana na uzembe ambao Maofisa wa NMB- BANK HOUSE wameufanya na kusababisha wezi waliopora begi la kijana wangu pamoja na kadi ya Bank ya NMB wapate mwanya wa kuiba hela kwa kupitia kwenye ATM. Tukio lenyewe ni kuwa jana tarehe 27/02/2020 muda wa asubuhi kijana wangu aliporwa begi...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Wizara ya Ardhi imeshindwa kutatua kero za wapangaji nchini?

    Zaidi ya asilimia 80 ya wananchi hasa mijini wanaishi nyumba za kupanga. Kwa mji kama DSM ambapo bado kuna uhitaji mkubwa wa makazi bora, watu hutumia zaidi ya robo ya vipato vyao kulipia kodi za nyumba kila mwezi, lakini cha kushangaza, serikali haioni unyeti wa kuingilia na kusimammia sehemu...
  18. Janja PORI

    JamiiForums Tanzania Kwako Mkurugenzi mpya, BRELA mnafukuza wawekezaji

    Mwaka 2020 umeanza na fumua fumua ya hali ya juu pale BRELA lakini kwetu wadau wa BRELA na wadau wa wawekezaji tunaona ndiyo kwanza kero imeanza. Wakati wa KAKWEZI japo BRELA kulikuwa na urasimu na baadhi ya madudu lakini angalu mambo yalikuwa yanaenda, kwa sasa kusajili KAMPUNI Tanzania kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane hapa kero au tabia zinazokera za wenza wetu na changamoto zake

    Ulishawahi kuwa na mwenza (mpenzi/rafiki/mwanandoa) mwenye tabia yenye kukera lakini hata jinsi ya kumuambia unajiuliza mara mbilimbili utamuambiaje na ataipokeaje? Ana tabia ambayo, kwa kujua bila kujua inakera sio tu kwangu mimi binafsi bali hata watu wengine. Kwasababu ya upendo na kuwafanya...
  20. DISPLEI

    JamiiForums Tanzania Kero za Rushwa Trafic kituo cha Mwendo Kasi - Ubungo Kibo

    Hivi karibuni Trafic Police wanakaa sambamba na kituo cha Ubungo Kibo kuzuia magari yasipite njia ya mwendo kasi (kuelekea Ubungo). Sambamba na kituo hicho, kuna kituo cha daladala pia na bajaji zinapakia na kushusha. kutokana na pilikapilika mahali hapo, waendesha magari kuna wakati...
Back
Top Bottom